singida

Singida, is a city in central Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Singida Region as well as the district headquarters of Singida Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hata haya mashimo Barabara ya Singida - Arusha tusubiri Waziri Mkuu apite ndiyo tumwambie ili atoe maelekezo?

    Naziomba mamlaka za Mkoa wa Singida zitusaidie watumiaji wa Barabara ya Singida - Arusha kuboresha kipande kilichopo Manispaa kuanzia NBC Banki hadi kwenye jiwe lililopo katikati ya barabara maeneo ya Kirima Night Club. Maeneo hayo kuna mashimo ya kutisha sehemu za watembea kwa miguu ambayo...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Pigo kwa Yanga: Pacome, Job na Damaro kuikosa mechi ya Singida Black Stars Machi 5, 2026

    Mabingwa watetezi Young Africans (Yanga SC) watashuka dimbani Machi 5, 2026 katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Singida Black Stars bila wachezaji Watatu muhimu, jambo linalopelekea pigo kubwa kwa matumaini yao ya kutetea ubingwa. Yanga watakuwa bila kiungo wao, Pacome Zouzoua...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Full Time: AS otoho 2-1 Singida black Stars || Mchezo Wa Caf Confederation Cup 1 February 2026

    01 February 2026 Stade Alphonse Massamba-Débat in Brazzaville Kutoka Uwanja wa Alphonse Massamba-Débat jijini Brazzaville, katika pambano muhimu la Kundi C la Kombe la Shirikisho la CAF. Katika pambano la mwisho kati ya timu hizo mbili, lililochezwa Januari 25, 2026 nchini Tanzania, Singida...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Full Time: Singida Black Stars 1 - 0 Otôho d'Oyo | CafCC | 25 Januari, 2025

    25 January 2026 Amaan Stadium Zanzibar Tanzania MICHUANO KOMBE LA CAF SHIRIKISHO 2025 / 2026 Singida Black Stars SBS 1 - 0 Otôho d'Oyo ASO Singida Black Stars SBS Timu ya Tanzania leo imepambana na klabu ya Otôho d'Oyo maarufu kama Association Sportive Otohô ASO ya kutoka Jamhuri ya Congo...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Gamondi ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi Singida Black Stars

    Kutoka kuwa kocha mkuu wa Singida Black Stars hadi kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi ambacho ndio cheo kipya cha Miguel Gamondi ambaye kwa sasa ni kocha wa muda wa Taifa Stars. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Bodi ya Wakurugenzi wa Singida BS, leo Jumatatu, Januari 5, 2025 imetangaza...
  6. PAYE

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Amani yatawala Singida licha ya tishio la maandamano

    Licha ya kuwepo kwa taarifa na tetesi za uwezekano wa kutokea maandamano katika maeneo mbalimbali nchini, hali ya amani imetawala katika mji wa Singida, huku shughuli za ulinzi na usalama zikiimarishwa katika maeneo yote muhimu. Hata hivyo, uchunguzi uliofanyika mapema leo katika mitaa ya mji...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Watu wa Singida wamewafunika wale wa Dodoma kwa mbali

    Hii ni kwenye siasa wanasema tofauti ni kwamba Singida watoto wao walikuwa wanapelekwa shule za kaskazini kama Ilboru, Weruweru ndiyo imechangia Kitima, Mkumbo, Lissu, Nyalandu, Mwugulu na wengineo wakati Dodoma zilipendwa wakina Malecella na spika Ndugai. Je kuna ukweli?
  8. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Singida: Nilitegemea kuona Viwanda vya Ufugaji kuku

    Habari Tanzania ! Jamani imekuwaje leo hii Singida wanashindwa kuwa suppliers wa Kuku wa Kienyeji na Kisasa nchi nzima? Hivi nyie mnaotokea Singida mnajisikiaje yaani ? Karibuni
  9. Inside10

    JamiiForums Tanzania Singida: Kiongozi BAVICHA, Bodaboda Watekwa DC Atoa Msimamo

    https://www.instagram.com/p/DPcBlpUAono/?igsh=Ym9xc2VkZHB0MGNo
  10. B

    JamiiForums Tanzania Singida Big Stars 2-1 Rayon Sports, Septemba 27, 2025

    Dar es Salaam, Tanzania CAF Confederation Cup 2025-2026 Singida Big Stars 2 - 1 Rayon Sports Goal scorer for Singida B. Stars Anthony Tra Bi Tra 58' Idriss Diomande 44' Goal Scorer for Rayon Sports : Tambwe
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini hawakufikiria SGR kupita SINGIDA wakaipitisha ITIGI

    Kwanini wakafuata reli ya zamani toka ITIGI mpaka Tabora si wangeileta SINGIDA mjini ambapo wangepata wateja wengi na ikaendelea mpk tabora.
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa Mamalishe awataka wajasiriamali Singida kumsapoti Samia

    Mwenyekiti wa Mamalishe Tanzania, Havijawa Omary, amewaomba viongozi wa wajasiriamali wa Mkoa wa Singida kumsemea vizuri Rais Samia Suluhu Hassan, mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ili ashinde kwa kishindo katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Akizungumza jana...
  13. veyra

    JamiiForums Tanzania Niliahidi Sitacheza Tena Tanzania, Lakini Singida Imenibadilisha – Aucho

    Kiungo wa kimataifa kutoka Uganda, Khalid Aucho, amethibitisha rasmi kuwa ataichezea klabu ya Singida Black Stars, licha ya awali kutangaza hatacheza tena kwa timu yoyote ndani ya Tanzania. Akizungumza kupitia ukurasa wake wa Instagram, Aucho amesema amebadilisha msimamo wake baada ya kuona...
  14. Isenye

    JamiiForums Tanzania Mpanda vs Singida wapi pazuri kuishi na kutoboa haraka kimaisha?

    Kuna jamaa yangu kapata kazi kwenye private coy flani,kaambiwa achague kati ya Singida au Mpanda wapi anataka awe reallocated. Binafsi nimeishi singida ila mpanda sipajui coz sijawahi kufika. Ungekua wewe ungemshauri huyu jamaa aende wapi kati ya Singida na Mpanda?
  15. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa Bilionea aliyepitishwa kugombea Singida Kaskazini

    Hongera sana ponjoro mwenzangu, mimi Ponjoro wa Kinondoni nimepata amani kuona jamii ya ponjoro inakubalika sana Tanzania. Mimi pia nimepita kinondoni, asanteni sana. Kwakuwa mifumo inasomana basi ushindi ni uhakika. SASA WEWE UNAYESEMA WANANCHI HAWATUKUBALI, UNABISHA ULIKUWEPO?
  16. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea UWT Singida agalagala na kuambulia kura 12 kwa wajumbe

  17. R

    JamiiForums Tanzania Mradi wa SEQUIP Kuongeza ufaulu Singida

    Wananchi wametakiwa kushirikiana na serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kulinda miundombinu ya shule iliyojengwa ili kuongeza ufaulu wa wanafunzi mkoani Singida Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe. Halima Dendego wakati akizungumzia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya dhahabu ambayo kuna WACHINA yapo wilaya gani mkoa wa Singida na Mbeya?

    wakuu naombeni mnipe uelekeo wilaya zenye wachina kwenye machimbo au migodi ya dhahabu inayopatikana kwenye mikoa ya Singida na Mbeya NB: Kama kuna wachina kwenye mikoa ya Geita na Shinyanga mkinielekeza itakuwa poa sana wakuu.
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Husein Massanza: Ukimtaka Sowah njoo na Tsh. Bilioni 2.6 Singida BS

    Klabu ya Singida Black Stars kupitia kwa Afisa Habari wake Husein Massanza imesema mshambuliaji hakuna timu Tanzania yenye uwezo wa kumnunua mshambuliaji wao Jonathan Sowah na kubainisha kuwa kama kuna timu inajiweza ije mezani na kitita cha Tsh bilioni 2.6. "Ikitokea klabu inakuja inataka...
  20. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenge wa uhuru Singida kupitia miradi ya bilioni 62.6

    Miradi yenye thamani ya zaidi ya Sh.Bilioni 62.6 iliyojengwa katika halmashauri saba za zilizopo katika Mkoa wa Singida inatarajia kuzinduliwa na kukaguliwa na Mwenge wa Uhuru 2025 ambao utakimbizwa kwa siku saba mkoani hapa. Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe.Halima Dendego, akitoa taarifa leo kwa...
Back
Top Bottom