simu

  1. Nawezaje Kuzuia/Ku-freeze System Apps Zisifanye Kazi Kwenye Simu?

    Habari wakuu. Natumai mpo sawa kabisa, naomba msaada kama kuna App au njia ya kuzuia system apps kama vile calls na sms apps zisifanye kazi kwenye Infinix note 10. Nimejaribu ku-freezer kwa app ya freezer ila umekataa inaandika not supported. Kwa anayejua hiko kitu naomba anisaidie tafadhali...
  2. Epuka wizi wa taarifa zako binafsi kwenye simu kupitia nyaya za USB

    Salaam Wakuu, Katika kuendelea kukumbushana umuhimu wa kulinda taarifa binafsi, leo nimeona nieleze kwa ufupi suala la wizi wa taarifa binafsi unaofanywa kupitia nyaya za kuchajia simu (USB). Tazama kwenye picha hapa chini: Picha> USB Cables za aina mbalimbali Ni wazi kuwa kutokana na sababu...
  3. Mnaopenda kuomba Namba za Simu za Wanawake ndani ya Daladala muwe mnachunguza kama Madume zao tupo nao au hatupo

    Kwahiyo nyie na Minyege yenu mkipanda tu Dala Dala na kuona Wanawale wazuri (warembo) wamepanda (wapo) mnadhani kuwa pembeni zao au nyuma zao tunaowamiliki kwa Kutukuka hatupo hivyo mnaona ni njia nyepesi ya Kuwaomba Namba zao za Simu? IGP Sirro kuna Raia wako Mmoja leo asubuhi ndani ya Dala...
  4. Je, umefuta ujumbe kwenye simu yako kwa bahati mbaya? Fanya hivi kurejesha

    Umefuta Message kwa bahati mbaya ?? Kuna wakati unajikuta katika kupunguza punguza vitu basi kwa bahati mbaya ukafuta (sms) au taarifa zako muhimu. Je unatakiwa upate stressπŸ€”? Hapana! Kuna mbinu kadhaa unaweza kuzitumia ili kurejesha sms zilizopotea kwenye simu yako. Katika andiko hili...
  5. Nawezaje kutatua Iphone 6 plus, kwa sasa kuingia chaji hadi niikunje

    Ndugu zangu habari za leo?? Samahani nina shida kwenye simu yangu ya iPhone 6plus S, yaani kuchaji ni kwa shida sana maana chaja mpaka uikunje.. Nikaacha kuitumia kwa muda wa kama miezi miwili hivi. Je naweza kupata msaada wa kujua shida itakuwa ni mfumo wa kuchaji wa simu au chaja zake ndio...
  6. I

    Nifanyeje ili taarifa zangu muhimu zilizopo ndani ya simu zisiingie mikononi mwa mtu pindi ikiibiwa?

    Mimi ni mdau mkubwa wa kusevu taarifa mbalimbali kwenye account yangu ya google. Ninahofia sana kipindi nikipoteza simu, watu watakua na uwezo wa kuona taarifa mbalimbali nilizosevu kwenye akaunti ya google ikiwemo mpaka password za kuingia kwenye mitandao mbalimbali. Hivi je kuna usalama...
  7. Phone repair (programs & ma file ya kutengeneza simu)

    Salamu zangu ziwafikie wote walio jaliwa afya njema na pole kwa ndugu zangu wanao pitia wakati mgumu kiafya hasa wenye homa kali na mafua. Niende kwenye mada nisiwachoshe Sana ndugu zangu. Nimeamua rasmi kufanya kazi ya ufundi simu hii ni kutokana na hali ya kiuchumi kuwa tete kwa upande...
  8. Natafuta simu bajeti laki mbili Mbeya

    natafuta simu nipo Mbeya, bajeti yangu laki mbili. karibu itapendeza zaidi kama muuzaji atakuwa mkoani Mbeya
  9. Nashauri simu zote ziwe na lugha ya Kiswahili ili kuhimiza matumizi ya Kiswahili

    Katika kuhimiza matumizi ya kiswahili simu nashauri ziwe katika lugha ya kiswahili zote hii itasaidia pia katika matumizi ya lugha
  10. I

    Nilivyoibiwa chaja ya simu Mwanza kizembe

    Juzi juzi tu niliwasili mkoani Mwanza usiku sana nikitokea mkoa fulani. Nikasema isiwe kesi ngojea nikapumzike kabla asubuhi sijakwenda uko nilipotaka kufika. Kweli nikapata guest moja karibu na stend ya mabasi ya Buzuruga, nikalala hapo mpaka asubuhi. Asubuhi nilichelewa kuamka, nikaamshwa na...
  11. J

    Wamasai wapiga simu kwa fujo kwenye press ya Gerson Msigwa na kuzungumzia Loliondo

    Nilikuwa nasikiliza press ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ambapo kati ya mambo mengi akizungumzia suala la Lolindo na kusema kauli ya Waziri Mkuu ilikuwa sahihi. Sasa baada ya taarifa aliruhusu simu kutoka kwa waandishi na wananchi ambao wengi walikuwa ni Wamasai. Wamasai hao...
  12. Dar: RC Makalla atembelelea Masoko ya Simu 2000 na Mahakama ya ndizi Mabibo

    *RC MAKALLA AFANYA MAAMUZI MAGUMU, AAGIZA MABORESHO YA KWANZA SOKO LA SIMU 2000 NA SOKO LA MABIBO - Asema hoja Za Wafanyabiashara zina uzito hivyo waboreshewe kwanza kisha kamati ya soko Na serikali wakae kupendekeza vibanda uniform rafiki kwa wafanyabiashara. - Wafanyabiashara wapongeza...
  13. Malalamiko yangu kwa mitandao ya simu, hasa Halotel na Voda!

    Baadhi ya mitandao (kama sio yote) imekuwa na utaratibu wa kukata pesa kwenye salio la muda wa maongezi pasipo sababu. Yaani mtu hujajiunga na huduma yoyote lakini unashangaa salio limekatwa. Hivi wakikata hizo mia mia au mia mbili kwa watu laki 1 si wanapata faida sana? Kwanini wanafanya...
  14. Mrejesho kwa huduma mpya za uwakala kwa Benki ya NMB kupitia simu ya mkononi maarufu kama (NMB Pesa Fasta)

    Salaam Naomba kutoa maoni yangu kwa huduma mpya ya uwakala wa NMB maarufu kama NMB pesa fasta Binafsi ninafanya biashara ya uwakala nina miliki mashine ya NMB kwa ofisi moja pia nilifungua biashara nyingine ya uwakala kama sehem ya kuongeza mapato knilifanikiwa kupata pos ya CRDB na nyinginezo...
  15. Umoja wa Ulaya waunga mkono hoja ya simu zote kutumia chaja moja

    Umoja wa Ulaya (EU) umeridhia Kanuni zitakazolazimu simu zote zinazouzwa katika Umoja huo kuwa na 'Port' ya USB-C, uamuzi ambao ni pigo kubwa kwa Kampuni ya Apple yenye mfumo tofauti katika baadhi ya bidhaa zake EU imesema Kanuni hizo zinazotarajiwa kuanza kutekelezwa 2024 zinalenga kupunguzia...
  16. Simu Camera yake unapiga picha mpaka ndani kabisa unaona

    Nahitaji simu ya bei ya kawaida tu lakini iwe na camera kali kiasi ukimpiga mtu picha amevaa nguo unaona mpaka ndani na kama ni mwilini hadi unaona viungo vilivyoko ndani maini, figo,firigisi, utumbo n.k Natamani sana na ninawaza kuweza tengeneza simu ya namna hiyo. Huu ugunduzi ni wangu kabisa...
  17. Ni hatari sana kutumia simu hasa kuchati ukiwa barabarani

    Nazungumzia hizi busy roads za mijini na sub urban. kuna watoto wa.mjini wanajikuta wao na simu ni Alpha Na Omega. Hawatenganishwi na Tecno zao. Nawaasa sana unapokuwa katika movement barabarani, kama una sms ama simu muhimu sana ya kujibu, simama pembeni kwenye usalama malizana na mtu kwenye...
  18. Nape: Kampuni za simu acheni kutuma ujumbe ambao mteja hajaomba, hii tabia ikome

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye ametaka makampuni ya mawasiliano nchini kuacha mara moja tabia ya kuendelea kutuma ujumbe ambao wateja hawajaomba na kueleza kuwa kwa kufanya hivyo ni kuwapotezea muda wateja wao. Nape ametoa agizo hilo Mei 31, 2022 wakati...
  19. Ni game gani kwenye simu au PC ulicheza ka kufika the highest score?

    Weka screenshots za scores waje watu wakuchallenge. Namaanisha games za aina yoyote za kielekronic na zingine zikijumuisha PlayStaions. Mi jana nimekutana na haka kadude kaninusumbua mwenye aidia anipe. Kama umekacheza na unako tupigie picha kakiwa kamevurugika na baada ya kukapanga πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»
  20. J

    Waziri Nape aitaka TCRA kushughulikia malalamiko ya wananchi kuunganishwa huduma ambazo hawajaomba

    WAZIRI NAPE ATOA MAELEKEZO KWA TCRA, MAKAMPUNI YA SIMU Na Mwandishi wetu, DODOMA Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye ametoa maelekezo kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na makampuni ya simu kutatua kero na malalamiko ya wananchi kuhusu huduma za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…