simu

  1. JamiiForums Tanzania Je, unazingatia nini unapochagua UI ya simu

    UI ya simu (User Interface) ni muonekano na njia mtu anavyokuwa connected na simu, ikijumuisha unachokiona kwenye screen yako, menus, icons, na animations. Mfano ni One UI ya Samsung, HyperOS ya Xiaomi, au MIUI, ambazo zinabadilisha jinsi software inavyoonekana na kufanya urahisi wa matumizi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Hospitali ya Wilaya ya Ubungo haiwaruhusu wagonjwa kuingia na simu kwa baadhi ya wodi, Je, ndiyo Sheria inataka hivyo?

    Naomba tuwasilishe changamoto ya Hospital ya Wilaya ya Ubungo kutowaruhusu wagonjwa kuingia na simu wodini (wodi ya wazazi na emergency kwa watoto). Hii ni hatari sana kwani ni kumnyima mgonjwa haki ya kuwasiliana na ndugu zake, na endapo akapata changamoto yoyote kabla ya ndugu kumtembelea...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Simu Bora za Kununua nchini Tanzania kwa Mwaka 2026

    Ili kupata uzoefu wa simu za kiwango cha juu (flagship) nchini Tanzania kwa mwaka 2026, Samsung Galaxy S26 Ultra ndiyo chaguo namba moja. Inapatikana madukani kwa makadirio ya TZS 3,500,000 (GB 256) hadi TZS 3,900,000 (GB 512). Kwa wanunuzi wanaozingatia bajeti, mnaweza kuangalia Nothing Phone...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kitengo cha Mapokezi Hospitali ya Rufaa Mbeya hakina huduma nzuri, kuna mtumishi anaongea sana na simu, hajali wagonjwa

    Watu wa Mapokezi ya Wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa Mbeya hawana huduma nzuri kabisa kwa Wananchi wanaofika kituoni hapo. Mfano kuna mtumishi mmoja anaongea na simu muda mwingi bila kujali wagonjwa walio mbele yake, amekuwa na kawaida ya kufanya hivyo na hajali wanaohitaji kuhudumiwa. Mbali...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi hakuna namna rahisi ya kujua Code ya mtandao wa simu kwa haraka?

    Wakuu, Nimekuwa nikipata changamoto ya kutambua code ya namba ya simu iliyokupigia au uliyopewa na mtu kwa kuangalia maana zinafanana na kila siku zinakuja mpya. Sasa hii inakua Changamoto kama mjuaavyo nchi hii imeshakua ya mabando, sasa unajikuta una dakika za mtandao mmoja tu ambazo huwezi...
  6. JamiiForums Tanzania Kati ya iPhone 17 pro max na Samsung Galaxy S26 Utra ninunue simu ipi ?

    Moja kwa moja . Nina mpango wa kuvunja kibubu ninunue simu Kali wakuu maana nimechoka kutumia kifaa Cha mawasiliano . Mwaka huu In Shaa Allaah mambo yakiwa mazuri nataka nitenge bajeti ya kununua simu isizidi Million 4 , sasa katika pitapita zangu simu zinazotrend sasa Duniani ni hizo. Lengo...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nakopesha simu za mkopo aina ya Samsung A06, A07, A16 na A17

    Habari JF Kama kichwa kinavyojieleza ninakopesha simu za mkopo aina ya Samsung. Modeli no A06, A07,A16 na A17. Njoo na kianzio Cha shillingi elfu50 kwa Samsung A06 na A07 Ili uanze kumiliki simu Yako. Viambatanisho ni namba ya NIDA, leseni ya UDEREVA au kitambulisho cha mpiga kura. Dar...
  8. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu za kutopokea simu za baba yangu mzazi

    Wakuu Salama humu ndani... Kama umesoma uzi wa mimi kutaka sana kukaa kijinini basi mambo yalianzia huku Wakuu mimi nipo salama kabisa physical lakini kichwani hapana nina pitia mengi sana kiasi ambacho nahitaji msaada wa karibu wa mawazo pamoja na cancelling... Sio kwamba jamii nayokaa nayo...
  9. JamiiForums Tanzania Simu za Mikopo Scheme Mpya za Utapeli

    Katika miaka ya karibuni, mfumo wa kununua simu kwa mkopo maarufu kama “Lipa Mdogo Mdogo” umeenea sana Afrika Mashariki. Kampuni kama Watu Credit zimejijengea jina kwa kuahidi wananchi kupata simu haraka bila kuwa na fedha zote mkononi. Ndani ya saa chache unaweza kuondoka na simu mpya uipendayo...
  10. JamiiForums Tanzania Mossad wamehack simu za wanajeshi na wanausalama wa IRGC na hii ndio meseji wanaowatumia mara kwa mara

    "Silaha zenu hazina thamani dhidi ya mashambulizi yetu ya anga. Mnakufa katika mapigano ambayo tayari mmeyapoteza. Makamanda wenu wamewauza. Wanajificha katika anasa, wakichukua pesa walizoiba, huku nyinyi na familia haziambulii chochote bali makaburi" Castle_Lite mcTobby
  11. JamiiForums Tanzania Maaajbu Ya Simu Tecno Toleo 2026

    https://www.instagram.com/p/DVagzFWlftV/?img_index=1&igsh=ZTNrdzluemlhd2dx
  12. JamiiForums Tanzania Samsung wamezindua simu Galaxy S26 Series!

    Ni February nyingine, Samsung wanatuletea S Series. Wamekuja na S26, S26+ na S26 Ultra. Kusema kweli mabadiriko ya kimuonekano ni madogo sana ukifananisha na S25 kwahiyo vichache vya kuandika.
  13. JamiiForums Tanzania Samsung A05s Yangu ina cuttoff internet wakati nimepigiwa simu msaada jinsi ya kufix

    Assalam Alleykum ndugu zangu natumai mko poa poleni kwa mfungo ,tuendelee kumwomba Mungu katika kipindi hiki Nashindwa kutumia internet pindi nikipigiwa simu ,msaada jinsi ya kufix hii shida wakuu
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini netanyahu amefunika lenzi za kamera kwenye simu yake?

    Sticker nyekundu hizo husaida kufunika lens ili isifanikiwe kuchukua picha endapo pale atakapopiga picha kimakosa hasa nakala nyeti na za usiri ukubwa. Endapo hata simu yake itakapokuwa hacked na mdudu wa kupiga picha bila yeye kutambua itakutana na lens iliofunikwa thus kushindwa kufanikisha.
  15. JamiiForums Tanzania Namna ya kuunganisha saa Casio Edifece ECB-30 na Simu ili niweze kuset Mda na jiji la nchi niliyopo ili kupata mda sahihi.

    Wakuu mwenye experience na hiki kitu please anisaidie niunganishe hii saa na Simu kwani itakua rahisi hata kuset mda pale nitakapokua nasafiri kwenda nje au kurudi Tanzania.
  16. JamiiForums Tanzania Android inauza simu mara 4 zaidi kuliko Apple kila mwaka, lakini Apple inaongoza kwa mapato

    Mwaka 2025, Android ilisafirisha simu 1,000,000,000 huku iPhone ikisafirisha 240,000,000, hivyo kwa idadi ya vifaa Android iko ligi tofauti kabisa. Hata hivyo, bei ya wastani ya iPhone ni dola 1,060 sawa na Tsh. 2.756 Milioni, ikilinganishwa na dola 370 sawa na Tsh 962,000 kwa simu za Android...
  17. JamiiForums Tanzania Nahitaji connection au links za magroup ya WhatsApp yanayohusu technology kuhusu simu, PC na mengineyo kama hayo

    Habari wakuu Kiukweli nahitaji kuongeza uelewa kuhusu mambo mifumo ya sim na mambo ya computer like androids, OS, Linux, bypassing and other like that. Hivo nilipendelea sasa kisaidiwa kupata connection hasa za whatsapp ili kukutana na wataalamu mbalimbali katika group hizo. ASANTENI SANA.🙏🙏🙏
  18. JamiiForums Tanzania TCRA: Wazazi msiwanyang'anye Watoto simu, fuatilieni wanachofanya, ulinzi wa mtoto mtandaoni ni mazungumzo

    Meneja wa Huduma kwa Wateja na Watumiaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Kadaya Baluhye, amesema kuwa kuwaandaa watoto kukabiliana na ulimwengu wa kidijitali ni njia bora ya kuwalinda kwa pamoja kama kundi na kama jamii. Ameeleza kuwa badala ya kuwazuia watoto kutumia vifaa vya...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Redmi Note 14 Pro 5G - Inauzwa (Dar es Salaam)

    Habari wakuu, nauza simu yangu binafsi ikiwa katika hali nzuri kabisa. Sababu ya kuuza ni kupata changamoto ya kifedha inayohitaji utatuzi wa haraka. Sifa za Simu: Model: Redmi Note 14 Pro 5G RAM: 8GB Storage: 256GB Battery: 5500mAh (Inakaa na chaji vizuri sana) Hali: Haina mchubuko wala tatizo...
  20. JamiiForums Tanzania Responded Manispaa ya Ubungo: Vyoo viwili eneo la Stendi ya Simu 2000 vimesitishwa kwa muda kutokana na changamoto ya kujaa maji mara kwa mara

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HUDUMA YA VYOO KATIKA STENDI YA MAWASILIANO (SIMU 2000) Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu taarifa zilizochapishwa na Jamii Forum tarehe 31 Jan 2026 zinazosema "KUSITISHA HUDUMA YA VYOO STENDI YA MAWASILIANO, KUNASABABISHA KERO KWA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…