simu

  1. Dr PL

    JamiiForums Tanzania Hivi tozo kwenye miamala ya simu bado mpaka leo?

    Kuna kipindi walitangaza kwamba tozo kwenye miamala ya simu zimeondolewa. Pia nakumbuka mchanganuo wa matumizi ya hizo tozo ulitolewa ikiwemo ujenzi wa vituo vya afya, barabara nk. https://www.mawasiliano.go.tz/news/rais-samia-aridhia-kuondolewa-tozo-za-miamala-ya-simu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Simu za mikopo usipolipa inakuwaje?

    Habari zenu wana jamiiforums, nilinunua simu ya mkopo kama mwezi mmoja umepita kwa sababu sikuwa na pesa za kutosha kuniwezesha kununua simu mpya. Ila sasa nimejipata, nataka niache kuilipia hiyo simu maana deni ni kubwa. Hivi nikiacha kuilipia kuna shida yoyote nitapata, ukiachana na simu...
  3. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Je,Una Mapengo kinywani na hujui wapi utapata Suluhisho la kudumu !?

    Iwapo umepoteza meno yako halisi , Unashariwa kuziba mepengo kwa meno bandia ya Kisasa Mapengo . husababisha Meno mengine Kutoka .Meno Kuoza .Meno Kuhama Kwenye Nafasi zake Meno Bandia Ya Kisasa Ya Kudumu Yapo Ya Chuma ( Ceramics) , zirconium haya yatakusaidia -Kutafuna Chakula Vizuri...
  4. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania SnapTube ni software nzuri Kwa watumiaji wa simu na waoenzi wakupakua videos za YouTube na mitandao mwingine ya kijamii.

    Habari, maelekezo hapo juu yanajieleza vyema. Wawezaipata app store.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ongeza salio kwenye simu kwa kutumia kamera ya simu yako

    Kuna app inaitwa 'Voucher Master' inapatikana Google Play store. App hii inakuwezesha kuongeza salio kwenye simu yako kwa kuskani namba za vocha kwa kutumia kamera ya simu yako kisha kuongeza salio. Inauwezo wa kusoma vocha zaidi ya 5 kwa wakati mmoja. Pia inafanya kazi kwenye mitandao yote ya...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Simu yangu inafuta majina baadhi

    Habari zenu, nina simu yangu samsung A13 nimeanza michezo wa kufuta majina niliyoyapost jana na miezi 6 iliyopita. Naombeni msaada wenu tafadhali I kwa anayejua msaada please Asanteni
  7. yello masai

    JamiiForums Tanzania Kwa laki 3.5 Ninunue simu gani?

    Wakuu nina 350k. Naomba ushauri wenu ninunue simu gani kwa hela hii. Simu inayokaa na chaji na ina designe nzuri pia isiwe single line.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kurudisha mafaili uliyofuta kwenye simu

    Umefuta faili kimakosa kwenye simu yako?. Unaweza kulipata faili ulilofuta kwa kutumia app ya 'Undelete'. Ipakue google playstore kwa kutafuta 'Undelete'
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simu za Google pixel 4a zimepata ugonjwa wa kufa battery 🔋

    Google pixel 4a kila mwenye nayo kipindi hiki zinaua betri. Huu ugonjwa ni kama umezilipukia simu za Google pixel 4a Kuuza ni ngumu Na wauzaji wa simu ukiwapelekea kufanya top up wanagoma, wanasema google pixel 4a ikishakufa betri habari imekwisha Ukibadilisha ugonjwa wa kuuwa betri ukitumia...
  10. Haruni Kassian Kadege

    JamiiForums Tanzania Je Biashara ya Simu used inalipa?

    Naomba Kupata Experience Ninatakiwa Kuwa na Shilingi Ngapi Kuuanzisha Biashara ya Simu Used From another Country? Faida Yake Ipoje? Na Changamoto Zake? Ahsante Sana!
  11. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Samsung wamezindua simu tatu za Galaxy S25 series!

    Wapenzi na wadau wa Samsung. Jana usiku Wakorea walitoa vitu vyao vutatu vya mwaka 2025, Samsung Galaxy S25, S25+ na S25 Ultra. Ya kuongea ni machache kwasababu ni upgrade ndogo kutoka S24 series. Samsung pia walituonesha Galaxy S25 Slim aka S25 Edge ambayo itazinduliwa hivi karibuni...
  12. CaramelButterfly

    JamiiForums Tanzania DSTV Tumechoka Simu za Marketing

    Mimi ni miongoni wa wakereketwa kutokana na hizi simu za marketing za DSTV. Wamekuja na njia mpya ya kupigia watu simu kwa namba tofauti tofauti binafsi. Kama mtu hajalipia kifurishi kwa muda mrefu lazima ana sababu binafsi na kama ana shida pia atawatafuta kwa namba zenu za mawasiliano ya...
  13. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Msaada wajuzi wa simu na telegram

    Kuna kitu nataka kuangalia hapa sasa inaonyesha ivi kama unajua nielekeze hapa au kama hapa uwezo pm iko wazi msaada
  14. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa, kuokota simu si bahati tena bali ni balaa

    Kuna tukio limetokea Kibaha, Kwa Mfipa, familia imevamiwa, wameibiwa vitu ndani ikiwemo na gari, wamechukua na simu za uwakala wamelazimisha wapewe na PIN, wamepewa. Kama haitoshi wamewafunga kamba mke na mume, wakawaweka kwenye mashimo ya choo tofauti, mtoto wa miezi saba hajulikani yuko...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje unanunua vocha ya simu (scratch card) unaingiza namba kwa usahihi kabisa unaambiwa namba ya vocha uliyoingiza haipo?

    Hili limeshanitokea mara kadhaa matokeo yake naishia kutupa vocha na kuweka nyingine. Siku hizi huwa sinunui sana vocha za kukwangua nanunua tu bando kwa mtandao. Leo nimekuta vocha ambazo nilikuwa nimenunua kitambo na huwa mara nyingi inakuwa kwa ajili ya msichana wa kazi. Nikataka kuingiza...
  16. Kingkongshoulder

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku update simu

    Ndugu ,naomba mtu yeyote mwenye uelewa wa jinsi ya ku update simu ya android ,simu yangu ni Samsung s 21 ultra inatumia android version ya 13 sasa nataka niipeleke kwenye 14,maarifa yenu yanahitajika
  17. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ufisadi wa kutisha ndani ya CHADEMA: Namba ya simu iliyokuwa ikitumika kukusanya pesa za “Join the Chain” siyo ya Chama!

    Aisee, nani angeweza kujua kuwa ndani ya CHADEMA kuna ujambazi wa kutisha wa fedha za wanachama na wananchi. Hiki kinyang'anyiro cha kugombea uenyekiti wa chama umeibua mambo mazito na kukianika wazi hiki chama kuwa ndani yake kuna mijizi kwelikweli. Leo katika press conference ya Lema...
  18. Kyatile

    JamiiForums Tanzania Ipi simu bora kati ya iphone 12 pro na Samsung Galaxy A35 mwaka huu 2025?

    Leo nimeenda dukani kununua Galaxy A35 yenye storage ya 256 GB na kwa bahati mbaya sikuipata. Katika kuangaza macho nikaiona iphone 12 pro used ina battery health ya 86%. Nikavutiwa kuikagua na kweli bado ina vitu kadhaa vinavyovutia ila sikushawishika kuinunua hiyo pamoja na kuwa na bei sawa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nauza simu Infinix hot 40 pro

    Nauza simu Aina Infinix hot 40 pro GB 256 Ram 16
  20. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Airtel hakuna internet wala simu hazisikiki

    Napata hili tatizo leo, naomba wahusika mrekebishe haraka
Back
Top Bottom