simu

  1. T

    JamiiForums Tanzania Message na call logs mnabaki nazo kwenye simu za nini?

    Mtu unafumaniwa na meseji ulizochati na mtu au mumeo anakuta namba mpya ambayo unawasiliana nayo kila mara hadi anaanza kuitilia mashaka. Umechati na mtu mmemaliza kwanini usifute hizo meseji au umewasiliana na mtu mmeongea mliyoyaongea kwanini usifute hiyo namba. Unaskia wanandoa wanalalamika...
  2. JamiiForums Tanzania Je, Tesla atamtoa Apple kwenye soko la simu na laptop?

    Elon Musk anakuja kwa kasi sana kwenye technology ya mawasiliano, kumbuka anamiliki satellite zake thus kwa technology za mawasiliano yupo cheap sana hata simu na laptop zake ni quality ya juu kwa bei ya chini kuliko products za apple yaani iphone na computer. Katoa tablet na simu ambayo...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa kutambua namba za mitandao ya simu Tanzania 📶

    Watu wengi hupata changamoto kujua kama namba fulani ya simu ni ya Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel au TTCL. Karibu tushirikiane kujuzana namba za mwanzo za kutambua mtandao, Tuzikusanye zote na kuweka orodha kamili VODACOM: 0754, 0755, 0743, 0745, 0746, 0769 TIGO: 0710, 0712, 0713, 0714, 0715...
  4. JamiiForums Tanzania Je, wajua? Kati ya mwaka 1998 hadi 2012, Nokia ilikuwa mtengenezaji mkubwa zaidi wa simu za mkononi duniani

    Nokia ni kampuni ya Kifinland iliyozinduliwa mwaka 1865. Hii ni kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na mawasiliano na teknolojia ya taarifa. Makao makuu ya Nokia yako Espoo, Finland. Kampuni inafanya kazi katika zaidi ya nchi 100 na ina wafanyakazi takribani 130,000 duniani kote. Nokia...
  5. D

    JamiiForums Tanzania AIBU KUBWA SANA: Hawa ndio Wakurugenzi wakubwa wa Makampuni ya mitandao ya simu Afrika Ya Mashariki. Hakuna Mtanzania hata mmoja

    Wakurugenzi Wakuu (CEOs) wa Makampuni ya Mitandao ya Simu Tanzania, Kenya na Uganda. Tanzania. 1. Vodacom - Philip Besiimire - Uganda 2. Airtel Tanzania - Charles Kamoto - Malawi 3. Yas - Pierre Canton-Bacara - France 4. Halotel - Nguyen Tien Dung - Vietnam Kenya 1. Safaricom - Peter Ndegwa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kuna yeyote humu aliyepigiwa simu au kutumiwa email na gaming board of Tanzania kuwa kapata kazi?

    Kuna jamaa angu kaniambia eti gaming board of Tanzania ishawatumia watu email na kuwapigia kuwa wamepata kazi? Je humu jf kuna mdau yeyote aliyefanya oral ambae kapigiwa na hao jamaa? maana utaratibu wao wa recruitment unashangaza sana.
  7. W

    JamiiForums Tanzania iPhone ni kama mkoba wa Gucci au Luis Vuitton wenye buku jero ndani. Ni muonekano tu lakini unabanwa matumizi, Sijutii kuhamia Android

    Nimezitumia Iphone kwa mudamrefu, nilikuwa sisikii wala sioni simu nyingine nje ya iphone, ila baada ya kuhamia android sijioni kabisa nikirudi nilikotoka. Simu za android hapa nazoziongelea ni zile topbrand Samsung, Google Pixe, One Pus, Xiaomi, Mitandao ya simu inakubana ukitumia Iphone...
  8. JamiiForums Tanzania Nataka kufanya Top up ya Simu

    Salam wana Jf. Nina Simu yangu Samsung Galaxy Note9, Storage yake 128gb, Ram 6gb. Changamoto yake: Flickering kiswahili sijajua vzuri ila Kioo ni kama kinaonesha kufifia hivi. Kazi inafanya vizuri tu hai haina Kipengele kingine. Nataka nifanye Top up nichukue Google Pixel au Samsung series...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mtandao wa Twitter Unakataa kufunguka Kwenye Simu yangu?

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa sasa ni kiangazi kwetu kwa hiyo pilika pilika za mashambani ni nyingi sana. Kwa hiyo Muda wote tunakuwa Bize . Sasa nimepata nafasi nikawa nimepumzika nikasema nikatembelee Twitter huko maarufu kama X niangalie habari za hapa na pale . Ila naona unagoma. Kazi...
  10. JamiiForums Tanzania Ushawahi zurura kweny simu yako ukakuta neno "NFC" au watumia infinix okay

    USHAWAHI ZURURA KWENY SIMU UAKO UKAKUTA NENO "NFC" 🥲 AU WATUMIA 😂 INFINIX okay NFC NI KIFUPI CHA (Near Field Communication) NFC ni teknolojia ya wireless communication inayoruhusu mawasiliano kati ya vifaa viwili vilivyo karibu (karibu cm 4–10). Inatumika wapi? Kufanya malipo (e.g...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaotuma na kupokea pesa kwa mitandao ya Simu waongezeka

    WANAOTUMA NA KUPOKEA PESA KWENYE MITANDAO YA SIMU WAMEONGEZEKA Sekta ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeendelea kukua ambapo takwimu zinaonesha kuwa laini za simu zilizosajiliwa zimeongezeka kutoka milioni 73.5 kwa mwezi Aprili, 2024 hadi laini milioni 90.4 mwezi Aprili, 2025 sawa na...
  12. JamiiForums Tanzania Kama kuna yeyote anahitaji fremu ya wakala wa bemki ns mitandao ya simu, kuna fursa hapa

    Kama kuna Mtu anahitaji Sehemu ya kufanyia biashara ya UWAKALA ana mtaji wa Kutosha ila tu Sehemu ya kufanyia Biashara hiyo hakua nayo, Basi Suluhisho lipo hapa. Mwanzo ni mgumu hasa kwa Mtu ambae una Mtaji Tu gharama kubwa ni upande wa Vifaa au Vitendea kazi. Nipo Hapa kumpa Taarifa Mtu anae...
  13. JamiiForums Tanzania Je, Huu ni mwisho wa ubunifu mpya kwenye simu?

    Za Weekend Wakuu! Matoleo mapya ya simu tofauti katika miaka ya karibuni imenipa tafakari hii, kwamba hakuna features mpya kulinganisha na miaka ya nyuma kabla ya iOS na Android, na miaka ya mwanzo ya iphone 2007. Je, unakumbuka enzi zile kila mtu alikuwa na simu tofauti na ya mwenzake, kila...
  14. JamiiForums Tanzania Nipo tayari kuja kulaumiwa na watoto wangu lakini si kuchukua simu na kumpigia mama yao

    Naweza kusema nilijichanganya Sana kwa huyu mwanamke Ni mwanamke ambaye nimefunga nae ndoa na tuna watoto watatu Kutokana na mwenzangu kuwa mwajiriwa tumekua tukiishi mbalimbali japo sio Sana Kwa miaka mingi nimeonesha Hali ya kumpenda lakini baadae tukaanza kuingia kwenye migogoro ambayo...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa nini kuna namba za simu za kimataifa (international dialing codes) soma hapa.

    Namba za Simu za Kimataifa ni Nini? Namba za kimataifa ni viambishi namba vinavyowekwa mwanzo wa namba ya simu unapopiga kutoka nchi moja kwenda nyingine. Mfano: Ukitaka kupiga kutoka Tanzania kwenda Marekani, unaanza na +1 (ambayo ni code ya Marekani), halafu unafuata na namba ya mtu...
  16. JamiiForums Tanzania Inauzwa Simu Vivo X7 RAM 4GB kwa 64GB

    Simu aina ya Vivo X7 Dual simCard 4G 📶 Ram 4Gb 🛠️ Rom 64 ⚙️ Camera safi 📸 Touch ID ✅ Tsh 95,000/= Arusha Town 0712350159
  17. JamiiForums Tanzania Una picha ipi nzuri kwenye simu yako

  18. JamiiForums Tanzania Machimbo ya kulangulia Simu used za Batani (simu ndogo)

    Habari za majukumu wanajamvi!? Natamani kufanya biashara ya simu used za batani ila sijui pa kuzilangulia na garama za kulangua mzigo zipoje, humu jamvini hakuna linaloshindikana kwahiyo Naomba mnijuze machimbo ninayoweza kupata mzigo.soko la kuuzia tayari ninalo......natanguliza shukran
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na simu za mikopo

    Wakuu habari yenu Naomba mwenye uelewa wa teknolojia ya namna ya kufanya biashara ya kukopesha simu . Nataka kufanya hii biashara ila nashindwa pa kuanzia. Natanguliza shukran
  20. JamiiForums Tanzania Tuambie kwanini huwa unazima simu usiku?

    Habari machalii… Leo nazungumza na jamaa zangu mnaozima simu ikifika usiku. Kwanini unapenda kuzima simu ikifika usiku? Ikitokea dharura watu wakitaka kukujulisha usiku huo watakupataje? Haya tuambie kwanini unapendelea kuzima simu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…