simu

  1. JamiiForums Tanzania Simu za mikopo chanzo cha wanawake kugongwa sana

    5000 Tu watu wanakazwa balaa mixer michezo ya yas.mikopo vikoba imekuwa mingi sasa kwa kuwa kazi hawana wanaishia kuambukizwa ukimwi kwa Kasi ya ajabu.USAID toka asitishe hela hata kampeni za tacaids zimepungua na kuisha hii NI hatari Sana cheza salama ndugu zangu.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Eneo la mkutano wa kampeni za CCM hapa Dodoma siku ya jana, liligeuka kuwa stand ya Daladala kutokana na wingi wa mabasi ya kusomba watu

    Huo ndio ukweli na yeyeote aliekuwepo atakuwa ushahidi wa hiki nachokisema. Daladala zinazofanya safari zake hapa mjini, tangu asubuhi ya jana zilionekana zikiwa zinasafirisha watu waliovaa sare za CCM na jioni baada ya mkutano kwisha, eneo la mkutano liligeuka stand ya Daladala na ya mabasi...
  3. JamiiForums Tanzania Kusikiliza simu ya kazi

    Mfano umepeleka barua kwenye interview ukaitwa ukafanya alafu ukaambiwa utapigiwa simu... Unatakiwa kufanyaje ili kupotezea mimi naenda na simu Hadi chooni sasa Imekaaje hii
  4. I

    JamiiForums Tanzania Airtel simu ya mkopo "Wanataka kutapeli"

    Habarini!, kuna ndugu yangu alichukua simu airtel kwa mkopo...simu yake ilipata hitilafu kidogo na akawarudishia ili waitengeneze...wakamuahidi baada ya wiki 3 watamrudishia...akalipa gharama ya matengenezo huku akiendelea kulipa malipo ya siku...mwezi wa pili sasa yaani ana wiki 6 sasa...
  5. I

    JamiiForums Tanzania SIM Swapping Wizi wa Namba ya Simu Bila Kuibiwa Simu Na Jinsi ya Kujilinda

    SIM Swapping Wizi wa Namba ya Simu Bila Kuibiwa Simu Na Jinsi ya Kujilinda Katika dunia ya sasa ya kidigitali, namba yako ya simu imekuwa “kitambulisho” chako mtandaoni. Inatumika kuthibitisha miamala ya benki, kufungua WhatsApp, kusahihisha nenosiri kwenye akaunti zako, na hata kupata huduma...
  6. JamiiForums Tanzania Hizi simu zinashida gani mbona bei kitonga sana

    Naomba mnisanue kabla sijayakanyaga
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri wa simu nzuri kwa bajeti ya shilingi milioni moja

    Salaam Wakuu, Naombeni mapendekezo ya simu the best kwa bajeti isiyozidi tsh milioni moja [1,000,000]. Nilikuwa natumia samsung a52 5g kwa bahati mbaya kioo kimeenda. Vigezo navyozingatia ni storage (8+256) and above ,powerful chip, camera nzuri,kioo,fast charge capacity muonekano.Nimekuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Nimepoteza simu Polisi wameshindwa kunisaidia kabisa

    mambo vipi? Jumamosi majuzi nikiwa mkoa fulani kwa shughuli za michezo nikajikuta nimedondosha simu yangu kwenye kuifuatilia ikashindikana kuonekana ila kwa kuwa nilikuwa nimeinstall app ya google FIND HUB kwenye iyo simu na nilikuwa nimeicconect kwenye PC kwenye google Find hub pia na kila...
  9. JamiiForums Tanzania Usiharibu starehe ya tendo la ndoa kwa kuweka simu karibu na kitanda ikiwa on

    Imagine simu yako ikilia wakati unapofanya mapenzi na umenogewa na mikito ya raha.... Hapo lazima mood iharibike. Mpendwa usiruhusu skrini kuua muunganisho wako na mpenzi wako. Weka simu mbali na kitanda na uizime kabisa utanishukuru. Baadhi ya mambo yanastahili kuzingatiwa bila kugawanyika...
  10. JamiiForums Tanzania Simu yangu android juu kushoto alama hii inamaana gani

    Naomba msaada wa kitaalam hii alama ya mshale kama diversion flan Inanitia wasiwasi
  11. JamiiForums Tanzania Kwa madini ya huyu Mama Msema Kweli tafadhali naomba mwenye namba yake ya Simu anipe nimrushie chochote kitu

    Kutwa nikisema hapa kuwa Vijana wa leo acheni Kuwadharau Wazee na kuendekeza Uzungu kwani Uzee ni Dawa nami pia mnaniona nimepitwa na wakati. Haya sasa hebu Kuleni Chuma kikali hiki!!!
  12. JamiiForums Tanzania Bila kadi na namba ya NIDA huwezi kuuza wala kununua katika serikali ya CCM

    Ukitaka kununua nyumba, kiwanja, shamba, gari na hata kupata ajira au elimu ya juu ni lazima uwe na vitambulisho ikiwemo kadi na namba ya NIDA. Maana yake ni kwamba ukishakua na kadi ya NIDA wewe ni mpiga kura wa CCM utake usitake. Ninakumbuka Ufunuo wa Yohana kuwa siku za mwisho hutaweza...
  13. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole asema kuna mtu alitumwa kupiga simu kulazimisha wanaomtaka awe Rais 2020, walishindwa. Ni nani huyo?

    Polepole anasema kwa uchaguzi 2020 kundi la mtandao lilikuwa na mgombea wao, walikuwa wanamtaka Shamsi Nyahoza. Wakati kamati kuu wote walisema hawana mgombea, siku ya jioni kuna mtu alikuwa anapiga simu, binti, alikuwa anapiga simu akitaka mgombea wa zanzibar aliyemtaka yeye na aliyemtuma...
  14. JamiiForums Tanzania Ushawahi pigiwa simu ya nyumbani bila salamu unasikia fanya ufanyavyo anza safari usiku huu fika nyumbani afu anakata simu

  15. JamiiForums Tanzania Polepole: Mamlaka ya Juu( Rais) ilipiga simu Moja tu, Rostam akapewa Mgodi wa Makaa ya Mawe

    Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?. Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'. Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO Ama...
  16. JamiiForums Tanzania Ukiona simu ya mwanaume mwenye ndoa iko online saa nane usiku usitume message. Huyo ni mkewe anafanya patrol

    Niongezee volume Ama imetosha Nimetokaa kusuluhisha kesi kama hii, sijui wameondoka waturidhishe ama kitaendelea kuumana huko. Mungu awalinde wanandoa wote loh.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi Yohana Amani Konki 17,auliwa na wanafunzi wenzake,kwa ramli ya mganga,kuwa ksiba simu

    Mwanafunzi auliwa na wenzake,anayeitwa Yohana Amani Konki 17,kwa ramli ya mganga,kuwa kaiba simu
  18. M

    JamiiForums Tanzania NAUZA SIMU

    GB 64 RAM 4 Wazee Sim Iyo ZTE Ni Ya Mkopo Nimelipa Ela Bado Kidogo sana Nimalize Sema nimepata sim nyengine Hii naitoa Laini yake yakulipia Ipo nakupa sim Ina Clek Lakn inapiga KAZI Fresh kilakitu BEI 55 Chapu Au piga sim tuongee 0612323330
  19. JamiiForums Tanzania Wafungwa kwanye simu zao utawawatambuaje?

    Unapoamka na kushika simu kabla ya kufanya ibada. Hii ni dalili mbaya kuwa simu imekua kipaumbele kwako kabla ya muumba wako. Hii ni ishara ya uraibu na hatari kwa afya yako ya akili.
  20. W

    JamiiForums Tanzania Wakongwe enzi hizo ulimiki simu gani ya kwanza kati ya hizi?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…