simu yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Nimefuta na kublock namba 50 kwenye simu yangu za wanaojiita marafiki zangu

    Last week siku ya tarehe 31 December, nilipanga nifanye tathmini ya aina ya marafiki zangu nilionao. Kiukweli mimi ni mtu wa kujitoa sana when it comes to matatizo ya wenzangu wanaonizunguka, nikisikia msiba wa rafiki ntaubeba kama wetu vile, rafiki akiniomba kitu kama kiko ndani ya uwezo wangu...
  2. RoadLofa

    Je, kampuni za simu zinaruhusiwa kudukua mawasiliano ya wateja wao?

    Leo nimetulia na kuichunguza simu yangu kwa kukagua kama nimekuwa hacked kama mawasiliano yangu yanasikilizwa ninapopigiwa simu na sipatikani au kuwa busy au kutopokea kabisa kwa kubonyeza *#004# na nimegundua kampuni ya tigo imehack namba yangu tigo na voda hawajafanya ivyo Swali langu: Je ni...
  3. Gemini Are Forever

    Simu yangu ya Samsung inakataa ku-search/kushika Wi-Fi network

    Salaam JF Tech, Kama kichwa cha habari hapo juu kilivyo, simu yangu ya Samasung inakataa kutafuta au kunasa Wi-Fi. Simu zingine zinakubali. Tatizo nini? Msaada.
  4. covid 19

    Msaada:Namba zinazopiga simu yangu zinaelekezwa kwenye namba nyingine( diverted)

    Wakuu habari zenu naomba msaada wa namna ya kuondoa hii divert kwenye simu yangu niliiweka mwenyewe nimeshindwa kuitoa. Sasa imekuwa kero kwa wateja wangu na watu wangu wa karibu kila wakipiga simu yangu wanaambiwa simu zao zimeelekezwa kwa namba nyingine. Nawezaje kuitoa hii. NB: nimejaribu...
  5. R

    Simu yangu imepatwa na "ghost touch", msaada tafadhali

    Habari wakuu, Nina simu Samsung Galaxy Grand Prime+ imepatwa na hili tatizo linaloitwa ghost touch. Yaani screen inachezacheza yenyewe bila kubonyezwa na mtu. Nimejaribu njia kadhaa nilizoona mtandaoni kama restart, update software, clean screen lakini hazikufaa. Mwenye ujuzi naomba msaada...
  6. Noizee maker

    Nilipokosa cha kufanya kwa simu yangu nikaamua kutongoza customer care

    Siku moja niko zangu nimetulia tu hata sijui siku inaendaje,basi wakati nachezea simu mara paap nikapata wazo la kutongoza customer care 😂 Chap tu nikapiga 100 kila nikisikia sauti ya kiume nakata mara paap mtoto akapokea, hello naitwa mary unaitwa nani na unapiga simu kutoka wapi? Nikamjibu...
  7. Melki Wamatukio

    Internet ya bure imeharibu betri ya simu yangu

    Hello wanajamii forums, Ni wiki kama mbili sasa tokea kutumia zile apps za wire tun, Thor VPN na HA Tunnel zinazotoa huduma ya free internet kutoka servers za mbali kama vile UK, US, German e.t.c Simu yangu iliyotoka kiwandani ikiwa na 6000 mAh, ambayo ilimaliza siku 3 pasipo kuchajiwa kwa...
  8. Lee Swagger

    Mje mnishauri kuhusu kuweka picha ya mpenzi wangu homescreen ya simu yangu

    Wajuba Kuna Pisi Hua Naielewa Sana, Sasa Kuna Picha Nimepiga Nae Nimeweka Kwenye HomeScreen & LockScreen Ya Simu Yangu. Kila Nikibonyeza Kutoa Lock Naona Tabasamu Lake na Lina Nipa Furaha Kila Mara, Nimtazamapo. Swali: Je Wakuu Tunaweka Picha Ya HomeScreen Za Mademu tunao wapenda Kama Bado...
  9. aise

    Msaada Simu yangu ya samsung imejiweka kialama cha funguo

    Wataalamu wa mambo simu yangu Samsung imejiweka kialama cha funguo kwa juu huku upande wa inapoonyesha betri. Siwezi kushusha skrini ili niwashe data, torchi etc. Wataalamu wa mambo msaada wa kukiondoa hiki kifunguo.
  10. Nyuki Mdogo

    Taarifa kwa mnaoiba simu: Nimeamua kuacha simu yangu bila password yoyote. Guseni mnase

    Najua kuna umuhimu mkubwa sana wa kulinda simu kwa password sio kwa WEZI tu ila kulinda data zangu pia. Ila niwape taarifa wezi wote wa simu kwamba, mkiiba simu yangu hamtapata shida ya kwenda kuflash wala nini. Mniibie tu NINA UHAKIKA MKIIBA NITAIPATA TU TENA NIKIWA NIME RELAX.. UKIILETA...
  11. S

    Natatuaje tatizo hili kwenye simu yangu?

    Salamu wana Jf..natumai wote ni wazima,Kama Kuna mgonjwa Basi Mungu akuponye Simu yangu ni aina ya Infinix Hot 10,hii simu inazima zima Sana na ikizima huwa unachukua muda kuwaka,huwa unachukua Kama dakika 10-15 yaani mda huo inakua inaonyesha neno Infinix baada ya muda ndo inawaka Nawezaje...
  12. Samia atosha tukutane2030

    Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

    Sasa nimeamini kuwa dini ni kwaajili ya maskini na waoga tu. Mpaka leo hakuna mwanadamu au kitu chochote ikiwemo Mungu alitethibitisha kuwa Mungu yupo. Kila mtu atakuthibitishia kwa maandiko ambayo yameandikwa kwa mkono wa mtu. Ukiondoa maandiko hakuna mtu wa dini kukuthibitishia uwepo halisi...
  13. S

    Nilifuta meseji za mchepuko ila mke wangu kanionesha zote kwenye simu yangu

    Wapendwa leo nimekutana na changamoto wife kanionyesha sms zote jinsi tulivyokuwa tunachati na mchepuko. Kilichonishangaza ndo hicho make sms zote tulizochat nilidelete kwahiyo nimeenda home nikijiamini kuwa simu ni safi hakuna kitu chochote nilichokutana nacho sasa majanga. Ebu mwenye kujua...
Back
Top Bottom