simba

  1. S

    JamiiForums Tanzania NADHARIA Je, mvua kunyesha wakati jua linawaka ni ishara ya kuwa simba anazaa? Ama uhalisia ukoje?

    Wakuu Nimekumbuka ile dhana ya muda mrefu kuwa mvua ikinyesha basi ni ishara kuwa simba anazaa huko porini. Je wewe ulisikia nini kuhusu jambo hilo? Na je uhalisia ni upi?
  2. JamiiForums Tanzania Vilabu vya Mpira Vimetusaliti: Wapi Uzalendo Wetu Wakati Taifa Linalia?

    Tangu tarehe 29 Oktoba mwaka huu, Tanzania imekuwa ikipitia siku za majonzi na simanzi kubwa. Wimbi la vifo vya raia, mikononi mwa vyombo vya dola, limeitikisa nchi na kuacha majeraha yasiyopona mioyoni mwa Watanzania wengi. Wengine wamepoteza ndugu, marafiki, na wapendwa wao katika mazingira...
  3. JamiiForums Tanzania Mchambuzi Simba Mwinyi: Waliokuwa wanahamasisha maandamano walikuwa wanataka kufanya mapinduzi

    Mchambuzi wa masuala ya siasa na uchumi, Simba Mwinyi, amesema maandamano yoyote yenye tija ni lazima yabebe ajenda maalum na yafanyike kwa kufuata utaratibu wa kisheria, ikiwemo kupata kibali kutoka mamlaka husika kabla ya kufanyika kwake. Akizungumza katika Mjadala Maalum wa Jambo TV leo...
  4. JamiiForums Tanzania Wito wa Mgomo kutoshabikia Simba ,Yanga na Taifa stars Kuanzia sasa Vijana tumeumizwa mno tusimamie nchi yetu.

    GT Kama Taifa ifike mahali tuwe serious na Taifa letu, zamani tulikuwa tunashangaa kwa nini Kenya mpira si kwa sana hao jamaa wameamua kufocus na nchi yao,sasa ni wakati wetu watanzania tuachane na huu upuuzi wa mpira tusimamae kidete na nchi kuhakikisha wanasiasa hawapati upenyo wakutuibia...
  5. JamiiForums Tanzania CAFCL Group Stage: Yanga yawekwa kundi moja na Al Ahly, Simba wapewa Esperance

    Upangaji wa makundi ya CAFCL umekamilika kwa Yanga kupangwa kundi moja ya Al Ahly wakati Simba itakuwa kundi moja na Esperance
  6. JamiiForums Tanzania Mapato ya tickets mechi ya jana ya simba ni shilingi 3000/..! Kweli mashabiki wa simba wanaipenda sana team yao

    Wakuu I salute you kinsmen Kuna team ilikuwa inasifiwa sana wanajisifia sana kuwa wao watalipa ticket na uwanja watajaza mapema tu saa 8 mchana unakuwa full Na semaji Lao likawajaza upepo kuwa ticket zimeshauzwa ni full house. Lakini jana kilichotokea ni bora wangefanya watu waingie bure tu...
  7. JamiiForums Tanzania FT: Simba Sc 0 - 0 Nsingizini hotspurs l CAF CL l second preliminary round l 2nd Leg l Benjamin Mkapa Stadium l 26-10-2025 l 16:00pm.

    Next Match : Simba SC vs Nsingizini hotspurs. Starting Xl ya Simba SC All the best Simba SC 🦁 #Nguvu moja.
  8. JamiiForums Tanzania SI KWELI Simba SC itacheza mechi ya kirafiki Oktoba 29, 2025

  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, taifa halina Gen Z kama Kenya na Madascar? Au wao wanadili na Bongo fleva na Simba na Yanga?

    Dunia nzima sasa inaonekana watakaoleta mabadiliko ni Gen Z. Lakini kwa Tanzania wanawaza kujadili Singeli na bongo fleva. Huku Taifa lao likienda mlama kwa ufisadi, upendeleo huku maisha yao yakiwa hovyo kabisa Gen Z wa Tanzania hovyo kabisa kama makamasi ya ndama.
  10. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba aunga mkono ununuzi wa jezi halisi (original), anunua jezi 200 za Simba

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameunga mkono kampeni ya kununua jezi halisi (original) za timu ya Simba SC, akitoa rai kwa wapenda soka wote kuepuka jezi bandia (feki). Dkt. Mwigulu ameunga mkono kampeni ya kuhamasisha mashabiki kukataa jezi feki na kununua orijino kwa kununua jezi 200...
  11. JamiiForums Tanzania Mbeya: Watu wa Igurusi na Chimala msitoke nje Usiku, Simba wamekata kamba na kuruka kutoka kwenye gari

    Kuna simba wanne wameruka kutoka kwenye gari maeneo ya Chimala darajani ukitokea Igurusi.. Ukitoka Igawa ukiingia chini Hospitali karuka mmoja, Darajani karuka mmoja. So usiku kuweni makini na Chimala. Kati ya simba wanne kapatikana mmoja kapigwa risasi ya Mguu ya ganzi na TANAPA wamemkamata...
  12. JamiiForums Tanzania Yanga ya pira "pira gusa moja moja tuondoke" ya kocha Romuard Rakotondrabe inakuja Simba wajipange

    I salute you kinsmen. Hatimaye sasa tumejua Romain Folz ametimuliwa na muda wowote kwanzia sasa tangazo litatolewa.. Ila kwa hapa viongozi wamecheza kama Pele Romuard Rakontondrabe ni kocha mwenye tactics kali sana Kizuri zaidi soka lake ni kama la yanga, ana identity kama ya yanga...
  13. JamiiForums Tanzania Yanga wakubali mchezaji wao wa Yanga Princess Jeanine MUkandayisenga kupima, waweka sharti kuwa wachezaji wa Simba na JKT Queens kupima jinsia

    Yanga wameiandikia TFF barua kuwa wako tayari mchezaji wao wa timu ya wanawake, Jeanine MUkandayisenga kupima na kuuthibitisha jinsia yake kama TFF walivotaka TFF waliwaandikia barua Yanga kuwa timu za wanawake za Simba na JKT wamelalamika kuhusu utata wa jinsia ya Jeanine MUkandayisenga na...
  14. JamiiForums Tanzania Skauti wa Simba Mels Dalder ajiuzulu kwasababu haioni nafasi yake ndani ya Klabu

    Mels Dalder raia wa Uholanzi ambaye ni Chief Scout wa Simba ametangaza kupitia ukurasa wake wa Instagram kujiuzulu wadhfa wake ndani ya Simba huku akiweka wazi kuwa sababu hajioni kama anapita njia moja na mwelekeo wa Klabu kwasasa, yaani yeye ana vision nyingine ila kinachofanyika ni kingine...
  15. JamiiForums Tanzania Simba leo walau imecheza

    Game ya matola nimefurahishwa na uthubutu wake Wa kuanza na kikosi ambacho viungo washambuliaji ni aina ya viungo wanaoweza kukupa kitu IQ ya mpira,kupunguza watu kutokua na ubinafsi japo mpanzu Leo alikua anacheza kibinafsi kupumzishwa kwake ilikua ni maamuzi sahihi Combination ya mutale na...
  16. JamiiForums Tanzania Yanga inaenda kuwa moja ya Teams kubwa Afrika. Simba mlikosea sana kumdindishia Rais

    Hili nawaambia mfahamu hizi teams si za Wananchi ni za Serikali. Kile kitendo cha Mashabiki wa Simba kujifanya wao ngangari kilimuudhi sana mhusika. Na alisema "haya tutaona" Hakuna kitu mtafanya Simba mfanikiwe hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni sisi. Sasa jifanyeni hamchanganyi Mpira na...
  17. JamiiForums Tanzania Haijawahi kuonekana Simba mbovu zaidi ya hii ya leo

    I salute you kinsmen Hivi mnajua kuwa haijawahi kutokea Simba mbovu kuliko Hii ya leo? Yaani haina tofauti na mbwinde fc ya kwetu kilimagohe kimbiji. Nachelea kusema wale Gaborone ni kwamba walikuwa wabovu tu nao licha ya kutandaza mpira mwingi sana kama wao ndio wapo nyumbani na hata...
  18. JamiiForums Tanzania Walimpa kocha nafasi ya kusajili na bado kawakimbia, simba bado wana akili za kitoto.

    I salute you kinsmen. Yaani Tanzania hii kuna team kutwa kutuaibisha tu, Wao mambo meusi yamejaa tele klabuni kwao nje ndani. Wao walijifanya eti wamempa ruhusa kocha alete wachezaji anaowataka. Hawajui kwa Africa hilo ni jambo impossible kabisa ila wakajifanya wapo Hispania la liga kumbe...
  19. JamiiForums Tanzania Simba bado inacheza kitoto sana

    I salute you kinsmen Kiukweli sisi mashabiki wa Simba tunaumia sana na team yetu. Licha ya fadlu kutukimbia bado tunazidi kuumia na performance yetu mbovu kwa hawa matapeli wawili Morocco na mwenzie matola. Kiufupi kadri upepo unavyovuma ndio nyeti za ndege zinaonekana haina haja ya kuficha...
  20. JamiiForums Tanzania CAF yaitoza Simba SC faini nyingine, kuchangisha mashabiki

    Klabu ya Simba Sports Club imekumbana na adhabu mpya kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) huku ikijiandaa kucheza mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United Jumapili, Septemba 28, 2025, bila mashabiki na faini ya Dola 50,000 (takriban Sh123 milioni)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…