Goli limeingia, saa ya refa imelia kuashiria goli limeingia. Read anapokea maelekezo kutoka kwa watu wa v.a.r ( probably watu wa motsepe) Yani hata kwenda kuangalia tu var kimchongo amejistukia amekataa hata kwenda . Dah ushoga mtupu.
Suluhisho ni kwa timu za Tanzania kujitoa kwenye...
Kama umetazama Mpira utagundua Lile lilikuwa ni Goli safi walilofunga yanga lakini Refa Na VAR ya kizushi imekataa.
Naibu waziri wa michezo kasema Mhe Hamisi Mwinjuma au Mwanafalsafa kasema kuwa hilo watalifanyia kazi.
Sasa Nakukaribisha na wewe Uangalia Kweli hili sio goli?
Ukiacha Usimba na Uyanga pembeni kuna faida kubwa ya timu zetu kuingia nusu fainali kuliko unazi wetu
a) Kwanza Simba atapanda kiwango na rank toka point 39 mpka 54
Hiyo ni regardless kama Es Tunis atafuzu
b) Hivyo hata msimu ujao wa kwenye upangaji wa makundi atapanda Toka pot 3 kwenda pot 2...
Zilizotufikia....
Mayele ni mwekundu.
Viongozi wa simba wameua ndege wawili kwa jiwe moja,wameitumia safari ya Simba Misri kumsajili MAYELE.
unaambiwa Mayele katumiwa form ya usajili kwenye simu,na ameshasaini mkataba wa miaka mitatu ,hivyo kuanzia msimu ujao atachukua namba ya fred ambaye...
Siyo Siri Tena usajili wa Jobe &Fred huu ni usajili wa mtu kati (wazee wa 10%) na siyo maagizo/mahitaji/matakwa ya kocha Bali ni wachezaji wa kikundi Cha viongozi pale Simba sc.
Alichokifanya kocha Benchikha kwenye mchezo wa Simba sc vs Al ahly ni kuwaweka benchi wachezaji Kisha kuanza na...
Aliyekuwa mchezaji wa Yanga SC, Fiston Mayele ambaye kwa sasa anakipiga na Klabu ya Pyramid ya Misri, leo Aprili 4, 2024 ametembelea kambi ya Klabu ya Simba ambayo kesho inapambana na Al-Ahly ya hukohuko Misri katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya mashindano ya Klabu Bingwa Afrika.
Sijui ni nini hiki ila kila mda thoughts zinakuja eti simba ameshinda kuingia nusu. Wametoka 1-0 then matuta akashinda ayoub katoa mikwaju miwili.....
Huu mpira addictive sana! #nguvu_moja
Mtabili maarufu wa nchini Libya Aboubakar El Han ametabili mechi za Caf champions league
Huku akiwashtua watu wengi baada ya kusema Al Ahly ya Misri itatolewa na Simba kwenye mashindano hayo,
Timu alizozitabilia kuingia nusu fainali nazo ni
Simba
Mamelody
Esperance
Tp mazembe
Je, atafanikiwa.
Sitaki kuwa Mnafiki katika hili na niseme tu wazi ( japo najua kuwa Mpira wa Miguu sometimes una Maajabu yake ) kuwa Safari ya Simba na Yanga Kimataifa Kesho ndiyo zinahitimishwa rasmi kwa Vipigo ( Kufungwa ) huko Ugenini na Kutolewa rasmi Mashindanoni.
Barua ya Simba ilikuwa na maombi makubwa kidogo ambayo kwa hatua za haraka haraka imekuwa vigumu kuifikia. Lakini tukasema, hata kama hatuwezi kulitekeleza hili, basi kama ambavyo tumefanya kwa timu moja pia tufanye kwa timu nyingine.
Gharama za Yanga kwenda Pretoria kwa mashabiki ilikuwa kama...
Tokea mwaka jana GENTAMYCINE nimewaasa sana hapa JamiiForums kwa kuwataka ikataeni Serikali na Misaada yake ya Kinafiki Kwenu kwani wala haiwapendi mmekataa Kunisikia na Kunielewa.
Wana Simba SC (baadhi yenu) mlivyo Majuha (Fools) tokea Juzi mnlalamika Kubaguliwa na Serikali kwa kuwasaodoa na...
Kuna watu wanamsema Inonga kuwa anafanya makosa mengi uwanjani siku hizi kuliko zamani bila kuangalia mambo muhimu. Ukweli ni kwamba Inonga hana raha kucheza Simba.
Inonga ni mchezaji mkubwa sana, anapata namba kikosi Cha kwanza Cha DRC ambacho kimesheheni wachezaji wanaolipwa fedha nyingi...
Mchezaji yoyote wa Simba popote ulipo, natuma ujumbe kwenu kwa njia zote zinazowezekana.
"NENDENI KAPAMBANENI KUFA"
Kocha ameshaamini mnaweza, mbinu amewapa na sasa mnazifanyia mazoezi. Mwisho wa wiki kafieni uwanjani Mwarabu afe kwake.
Niwakumbushe wajibu wenu kwa mashabiki wenu esp...
Nimeona mashabiki wa simba wanalalamika sana kwamba Yanga inapendelewa kitu ambacho mashabiki wengi wa simba hawakitambui fursa inatafutwa haikufuati
Yanga kabla ya mechi ya mzunguko wa kwanza vs mamelodi tayari walishakuwa na mkakati wa baadhi ya mashabiki wachache kwenda south afrika na...
Kutokana na kila dalili na mwenendo wa timu yetu hatuoni kabisa nafasi ya kupindua meza labda tupinduliwe sisi kwa mara nyingine tena.
Mpinzani wetu y uko vizuri Klkila idara na ndiyo maana tumewawekea tayari mazingira mazuri ya hatua inayofuata(nusu fainali).
Tukirejea hapa nyumbani kwasababu...
Kuwa Msemaji wa timu, tena kubwa kama Simba au Yanga, si lazima uwe unamwaga porojo na ndoto ambazo si rahisi kutimizika.
Kabla ya mechi ya Al Ahly Benjamin Mkapa, Ahmed Ally aliwaaminisha washabiki na wanachama wa Simba kuwa Ahly anakufa kifo kibaya na HATOKI BENJAMIN MKAPA.
Baada ya kupigwa...
Mpaka ninapoandika makala hii timu zote zilizoingia robo FAINALI zimetoka sare ya 0-0 kasoro Al AHLY TU ndo amekutana na kibonde akamfunga. Kwa hiyo kolozdad mbovu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.