simba

  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ushirikina umeiponza Simba

    Juxi asbh nilikuwa airport kuchykua maokoto ya moja ya tax yangu Huwa napenda kukaa na madreva tukapiga story Mmoja a .madreva akaniambia unamjuaaaa......Ry wa Simba yes Nimemchukua tukaendaa kumchukua mganga wa Nampula ambae aliisaidia Yanga kushinda kwa waarabu 4_0. Mmmh nkamwambia...
  2. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa simba yangu

    Tumepoteza mechi ya jana na hivyo kupunguza matumaini ya kuchukua ubingwa wa NBC, hilo haliondoi ukweli kuwa sisi ni Simba na maisha inatakiwa yaendelee. Kuna ushauri ambao inatakiwa uzingatiwe hasa na viongozi walioko kwenye maamuzi ya timu, ushauri wenyewe ni kuwa KUNA WACHEZAJI WENGI SANA...
  3. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Simba wanasema jana wamecheza Mpira Mwingi kuzidi Yanga, ila Gamondi anasema Yanga jana walikuwa kama wanapiga mazoezi tu

    Habar mwanajukwaa Ukikaa na baadhi ya mashabiki wa simba wanakwambia jana wamecheza mpira hasa ile dakika za mwanzon kabla ya kula chuma 2. Ila pia wanasema wamecheza sana Mpira Second half na wanaamini ni bahat tu haikua kwao ila wengeweza kuchomoa zote na kushinda au game kuisha Sare. Ila...
  4. MTAZAMO

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa Simba mchakato wa kufanya Simba Kampuni bado, chukueni hatua!

    Wakuu, Ni muhimu wanachama kuomba kikao cha dharura waweze kuelezwa hatma ya timu yao. Kama msipofanya hivyo subirini miujiza! Hii timu mkitaka mfanikiwe msikubali hadithi za kale na takwimu za tupo nafasi ya ngapi CAF, ulizeni maswali magumu mjibiwe au watuachie timu tuungeunge hadi tupate...
  5. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Itawachukuwa Simba SC miaka 4 kufikia uwezo wa Yanga SC ya sasa

    Nimewatazama makolo kwa jicho la kiufundi zaidi na nimegundua bado wana safari ndefu isiyopungua miaka 4 ili kufikia walau nusu ya ubora wasasa wa Yanga SC. Kila nikiwasikiliza na kuwatazama wanachama na mashabiki wa Mbumbumbu fc wakitokwa na mapavu, nazidi kuelewa ni kwa nini aden rage...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 niliyoyaona leo Yanga Vs Simba

    1. Beki Israel Mwenda amekuwa mtu wa kufanya makosa sana lakini Benchika anaendelea kumvumilia 2.Inonga Baka amejivunja makusudi na sasa Simba imuachie akaangalie maisha mengine. 3. Che Malone amepoteza uwezo wake wa kujiamini na amekuwa akitoa boko sana, atupishe. 4. Mabeki wa Yanga...
  7. PD_Magumba

    JamiiForums Tanzania Eti Yanga haiwezi kuifunga SIMBA mara mbili mfululizo?

    SIMBA sasa acheni kujifananisha na Yanga. Munafosi sana tufanane ila tumewazidi mbali sana kwa ubira. Tumechukua pointi 6 kwa kuwafunga jumla ya gori 7 nje ndani. Hivi ni kwa nini mlitamba eti Yanga haiwezi kuifunga SIMBA marambili mfululizo? Tena tukijumlisha na next season itakua mara 4...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Hii nafasi ya tatu haimponyi Simba!

    Ni sawa na kusema Maiti imemng'ang'ania muoshaji.
  9. Half american

    JamiiForums Tanzania Hili bango lenu wana simba liwekwe wapi?

  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mlio jirani na Kikosi cha Simba SC tafadhali zingatieni haya Maelekezo muhimu ninayowapa kabla ya Derby ya baadae leo

    1. Timu ibadili njia ya Kupitia hasa Kuingia Uwanjani kwani tumetegwa katika Mageti mawili. 2. Wachezaji wa Simba SC wakati wa Kusalimiana wasipeane Mikono na wa Yanga SC bali wagonge Ngumi tu. 3. Mchezaji wa Simba SC ambaye leo atabeba Mzigo ( Ndumba ) ya Timu afanye kila awezalo asiwe...
  11. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Nani ni nani leo Mtani?

    Ni Yanga au Simba?
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kukuta wenye akili au uwezo mzuri ni mashabiki wa Simba na Yanga

    Nilipogundua hili nikawa sasa naangalia faida zaidi katika kuzishabikia hizi teams. Hakuna mwenye akili anashabikia hizi teams. Au mwenye uwezo mzuri kiuchumi Ukiona hawa wenyewe uwezo wapo hizi teams ujue wapo kimaslah either kiuchumi au kisiasa. Sasa wewe bwege unaweza kaa hapo unakazana na...
  13. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Simba Vs Yanga kutoa Sare 1-1 kesho April 20, 2024

    Kitawaka kesho wakati miamba miwili ya Soka la Tanzania Simba watakiwasha Dhidi ya Yanga. Mchezo ukipita ulimalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi mnono, lakini hiyo kesho tutarajie mchezo huo kukamilika kwa Sare hasa sare ya goli moja kwa Moja
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata GB 64 akidaiwa kuhamasisha Watu kufanya vurugu mechi ya Yanga Vs Simba

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linafuatilia kwa karibu sana mchezo wa soka siku ya Jumamosi tarehe 20 Aprili 2024 saa 11:00 jioni kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam. Mchezo huo ni wa soka wa watani wa jadi kati ya klabu ya Yanga na Simba zote za Dar es salaam na...
  15. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya hewa jijini simba anashinda mechi ya kesho tarehe 20.4.2024

    Wasalam Kwa jinsi mvua inavyochapa hapa mjini Wanasimba tuanze kabisa kushangilia kuwa kesho tunapata ushindi na kufufua matumaini yetu ya kuwa mabingwa msimu huu Historia inaonyesha Simba anajua kucheza na kipindi cha mvua na huwa anaifunga timu ya Yanga KESHO ANAKUFA MTU.
  16. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu Mechi ya Simba na Yanga 20/04/2024

    Kesho ndiyo kesho, wale watani na waasimu wawili, Simba na Yanga wanakipiga kunako Dimba la Benjamini Mkapa, majira ya saa 11:00 jioni. Derby hii sio ya kitoto hata kidogo kwani pamoja na tambo toka kwa pande zote mbili za mashabiki, derby huu imekuwa na ulivuta hisia hata kwa watu wenye Karama...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya DUBE na Azam FC sheikh ni TFF, Hana mkataba?

    Mkataba halali kati ya Dube na Azam FC ni ule unaoishia msimu wa mwaka 2024 ambao umeidhinishwa na TFF (sheikh) kuwa ni mkataba (ndoa) halali. Maana hata kama Binti mmekubaliana wenyewe kuoana, makubaliano hayo hayatatambulika kama mke na mume mpaka ndoa ifungwe kwa idhoni ya wazazi na...
  18. Heci

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba imepasuka. Kuna Simba ya Try Again na Simba ya Mo, Kila upande unauroga upande mwingine

    Haya Sasa, huko Simba hali ni mbaya sana. Try Again anairoga Simba ifungwe ili Mo aachie timu. Upande wa Mo na wenyewe unaonekana kuhaha Hadi Cameroun kusaka ushindi dhidi ya Yanga ili kuwapa ahueni mashabiki waendelee kuwa na Imani naye. Try Again anapambana kumtoa Mo kwenye uwekezaji na...
  19. Mcheza Piano

    JamiiForums Tanzania Mo akizira au kukata tamaa, Simba inadondokea nafasi ya 4

    Wakati mashabiki wenzangu wa Simba tukiendelea kusherehekea ushindi huu, tuweke akilinini mwetu ukweli huu kuwa tajiri akizira tunayatimba.
  20. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yashika Namba Moja katika Vilabu Tajiri Zaidi Afrika Mashariki

    Hizi ndio klabu za soka zenye thamani ya juu zaidi Afrika Mashariki, kwa klabu zilizoweka wazi takwimu zao. Kutoka chanzo cha kuaminika cha TransferMarkt Klabu tatu kubwa Tanzania ndio zinaongoza katika orodha hii.
Back
Top Bottom