Nguvu Moja imerudi Simba ndio maana ushindi unapatikana

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
454
1,800
Jana kwa wale wanaoijua vizuri Simba watakuwa wameona kwenye jukwaa kuu kulikuwa na akina Kajuna, Juma Pinto na baadhi ya friends of Simba huku pembeni kukiwa na akina Asha Baraka, ile ni dalili kuwa kuna mambo wamekubaliana msimu ujao na akina jaribu tena ndio basi tena.

Wale akina Kajuna ss ndio wamepewa timu wamalizie mechi zilizobakia na kuhakikisha simba inashika nafasi ya pili, nawahakikishia simba atashika nafasi ya pili kwa sababu hao jamaa ni watu hatari sana, watapeleka moto kwenye kila mechi na mtashangaa kuona kwanini simba inafanya vizuri dakika za mwisho.Hao wakijiweka pembeni hata Mgunda mtamfukuza.

Ila tuna mechi ngumu sana, Kagera, Dodoma, Geita, KMC, JKT ni ngumu kumeza
 
Kwa ushindi gani wa kukataa magoli halali na kutoa hongo kwa marefa uchwara wa ligi hii.

Kwan huyo kajuna ana kipi hasa? acha akili za kishirikina wewe..
 
Timu imejichokea hiyo,tena bora msimu huu,next season hata top 4 haitakuwepo....tunza hii post
FB_IMG_1715023194364.jpg
 
Yanga ndio itakuwa timu mbovu msimu ijayo...yanga wanabebwa na waamuzi ligi kuu hawastahili kuwa mabingwa...timu yenye rangi ya mavi..njano njano ni ya wachawi tu
 
Jana kwa wale wanaoijua vizuri Simba watakuwa wameona kwenye jukwaa kuu kulikuwa na akina Kajuna, Juma Pinto na baadhi ya friends of Simba huku pembeni kukiwa na akina Asha Baraka, ile ni dalili kuwa kuna mambo wamekubaliana msimu ujao na akina jaribu tena ndio basi tena.

Wale akina Kajuna ss ndio wamepewa timu wamalizie mechi zilizobakia na kuhakikisha simba inashika nafasi ya pili, nawahakikishia simba atashika nafasi ya pili kwa sababu hao jamaa ni watu hatari sana, watapeleka moto kwenye kila mechi na mtashangaa kuona kwanini simba inafanya vizuri dakika za mwisho.Hao wakijiweka pembeni hata Mgunda mtamfukuza.

Ila tuna mechi ngumu sana, Kagera, Dodoma, Geita, KMC, JKT ni ngumu kumeza
Asha Baraka.... aiseeeee..
 
Back
Top Bottom