simba

  1. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Sikumwamini kabla na kwa mechi mbili tu kupitia wachezaji wote waliokuwepo kabla nasibitisha Fadlu David anaua uwezo wa wachezaji Simba

    Nimeangalia wachezaji wote waliokuwepo. Mzamiru, Ngoma, Kapombe, Husein, fred. Viwango vimeshuka mno na ufanisi uko chini sana. imekuwa kama kipindi Timu kapewa Cadena. Wachezaji wakawa kama wamefungwa magogo. Na hili linadhihilisha jinsi Usajili ulivyobora sana. Wachezajj wapya ni bora...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba inahitaji msaada wa kuambiwa ukweli, wataacha 5 dirisha dogo

    Kuwaambia kuwa walicheza vizuri dhidi ya Yanga ni kuendelea kuwadanganya. Walistahili kufungwa 4 kama Kila kitu kingekwenda vizuri. Kama Kapomne, Zimbwe na mzamiru bado wanapata namba Simba kwenye mechi ngumu kama Ile ya derby ujue kuwa waliosajiliwa ni wabovu zaidi, dirisha dogo wataachwa...
  3. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Sababu ya simba kuwa vile vile misimu yote ni, "comfort zone" inawaponza viongozi na mashabiki

    Simba na viongozi wake mpaka mashabiki wao huwa hawaangalii wala kujali sanaa matokeo bali wao huangalia kama timu imecheza vizuri tu basi inatosha na ndio furaha yao wao hawajali sana kuhusu matokeo. Simba ilivyotolewa na wydad kwa mikwaju ya penati kule morocco enzi zile wydad ya moto...
  4. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Simba nunue wachezaji wenye ubora ili mpunguze kujieleza

    Mara ooh, timu imeimarika tofauti na mwanzo. Ooh, timu ina wiki nne na ikifikisha miezi itakuwa tishio. Ooh, Aziz Ki hajatembea kwenye mikimbio yake. Jamani, ya nini kujieleza na maelezo mengi hivyo!? Watani zangu shime nunue wachezaji wenye ubora ili mpunguze kujieleza.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dearby ya Simba na Yanga kupigwa KMC complex

    Mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga unatarajia kupigwa Oktoba 19 katika uwanja wa KMC comlex uliopo mwenge Dar es salaam, Imetolewa katika ratiba ya bodi ya ligi Tanzania (TPLB) leo inayoonyesha ratiba hiyo katika uwanja huo unaoweza kubeba mashabiki 6000 tu. Aidha pambano la Simba SC na...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Ratiba ligi kuu yanga kuanzia ugenini na Kagera sugar agosti 29, Simba nyumbani na KMC agosti 18

    Wadau hamjamboni nyote? Yanga ugenini dhidi ya Kagera sugar 29 August na Simba ataanzia nyumbani uwanja wa KMC 18 August dhidi ya Tabora Swali langu kwanini simba acheze tarehe 18 na kisha yanga akaevwiki 2 ndiyo acheze? Hii imekaaje? Ratiba hiyo hapo
  7. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Simba kwa Jana siwadai ila swali ni Je mtaendelea hivo na Matches zingine?

    Kuwazungumzia Yanga ni kujipotezea mda wale wao hawashuki na hakuna mtu ana hofu juu ya hilo. Issue ipo kwa Simba, For real Jana Mtani umeupiga sana japo ilikua tu lazima Ufe na nilisema mi jana kwenye uzi wangu hivi kua Mhindi hua hatoi odd kijinga..ilikua lazima ufe. ILA MMCHEZAVIZURI.. But...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mambo 15 niliyoyaona Simba vs Yanga Ngao ya Hisani jana

    1.Timu yetu ina wachezaji wazuri na wenye uwezo wa kutuletea mafanikio msimu huu, jana kwangu naona upangaji wa kikosi haukuwa mzuri, kwa mfano Yanga wameonekana wakomavu kwa sababu wanategemea sana kuchezesha viungo kama Simba ile ya akina Yussuph Macho, Shekhan Rashid. Yanga kama kawaida yao...
  9. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Msimu huu tutaishuhudia Simba bora kabisa

    Bandiko hili ni maalum kwa mashabiki wa soka na sio mashabiki fashion na mihemko walioletwa na kina Haji manara, aziz k na hamisa huko instagram, Betpawa and the like. kwa hizi mechi mbili nilizoishuhudia Simba ikicheza ni dhahiri kuwa kuna mabadiriko makubwa ya kiuchezaji na viwango vya...
  10. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Ubora wa kikosi Cha Simba

    Nikiwa nimetulia vyema siku ya Jana nikiangalia mpira nikiwa peke yangu. Nimebaini timu ya Simba imesajili haswa,ni vitu vidogo tu ambavyo vimewafanya wakose ushindi. 1.Presha ya kucheza kwa kutaka kufuta uteja,hii imesababisha timu kukosa ile kujiamini Moja kwa moja. 2.beki ya Simba...
  11. redio

    JamiiForums Tanzania Simba hawakustahili kulalamikia penalty

    Kwa mujibu wa baadhi ya mashabiki wa Simba wamelalamikia Penalty wanayo dai kunyimwa dakika za majeruhi katika mechi ya 8/8 /2024. Ukiangalia kupitia marudio ya television Ule mpira wa kross uliopigwa kuelekea langoni mwa Yanga dakika za majeruhi na kusababisha baadhi ya mashabiki wa Simba...
  12. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Shaffih Dauda: Simba imenyimwa penati

    Mchambuzi wa mpira wa Clouds Fm, Shaffih Dauda “Digala” anasema kuwa Simba imenyimwa penati dakika ya mwisho baada ya Boka wa Yanga kumchezea madhambi Kijili ndani ya Box lakini mwamuzi Sasii akauchuna. Digala akaongeza, “lile ni tuta haina haja ya VAR”
  13. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Na nyie Mashabiki wa SIMBA SC, mnaenda kufanya nini uwanjani?

    Kiufupi mashabiki na nyie mnapenda stress za hovyo; look Yanga ni Timu bora kwa sasa na wapo serious kwamba wanataka kuachana na traditionnal football na hawana muda na political football. SSC bado wanaamini kwenye political football na traditional ways of doing things , kwa staili hiyo, Yanga...
  14. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Simba inahitaji kiongozi Uwanjani

    Baada ya kuangalia michezo kadhaa ya Simba bila Nahodha John Bocco Simba imeonesha udhaifu mkubwa Sana. Katika mchezo wa leo Simba wamecheza kwa hofu kubwa huku wakipoteza pasi nyingi mguuni. Pamoja na upya wa kikosi Simba haijaonesha uhai wowote katika safu ya ushambuliaji, Kabla ya kumtafuta...
  15. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Ngao ya jamii Simba moja.

    Kweli mpira unabingiria, dakika 90 Simba moja alale nalo.
  16. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu haraka sana, Ni kampuni gani nzuri ya kubeti simba vs Yanga mechi ya leo kwa matokeo ya ataeshinda

    habari zenu wazee wa kuweka mizigo Nataka nibeti nusu fainali ya leo Yanga vs Simba, timu itayofuzu kucheza fainali nichague option ipi na kampuni ipi nzuri ? nipo karibu na jengo la gal sports betting, niliwahi kufungua account ya meridian bet na sporty bet
  17. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Je, Clouds Media Imevunja Sheria kwa Kuonyesha Simba na SportPesa Pamoja?

    Kama picha inavyoonyesha hapa chini,tunatambua kwasasa Timu hizi mbili Simba na Yanga zina wadhamini wao tofauti kabisa.Simba kwasasa inadhaniwa na M-bet na Yanga inadhaniwa na Sportpesa. Kitendo cha Clouds kupost picha huku ikionyesha timu zote mbili zinadhaminiwa na Sportpesa kitu ambacho sio...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kati ya Yanga na Simba nani anapigika leo kwenye Kariakoo Derby?

    Haya Wababe wa Jangwani na Msimbazi Kariakoo leo wanazichapa nyasi za kwa Mkapa. Kila timu ina wachezaji matata, usajili mpya, jezi mpya na kila kitu ila matokeo yataamua nani anaondoka na shangwe! Kwa unavyoona maandalizi nani anamchapa mwenzake leo?
  19. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe na Nyeupe ya Simba: Yanga Inapeleka Ujumbe Gani?

    Picha za Ali Kamwe, msemaji wa zamani wa klabu ya Yanga, zimeibua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonekana amevaa Fulana ya rangi nyeupe yenye nembo ya SportPesa, ambao ni wadhamini wakuu wa klabu hiyo. Wakati rangi nyeupe ni kawaida kwa jezi za ugenini za Simba, uamuzi wa...
  20. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Hii Yanga ina wazee lazima ifungwe 4 bila na Simba

    Hapo vipi! Yanga ya sasa ni mbovu kwa Simba SC. https://www.jamiiforums.com/threads/yanga-sc-vs-simba-sc-semi-final-community-shield-benjamin-mkapa-stadium-08-08-2024.2243315/ Inawachezaji wazee na Simba inawachezaji vijana na wenye uwezo mkubwa. Naona yanga leo ikipigwa 4 bila na Simba SC.
Back
Top Bottom