Hakuna ambacho SIMBA hatujafanya

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
273,867
710,794
Hakuna ambacho hatujafanya, SIMBA SC ni level zingine kabisaaaaaa🔥🔥

Hii ilikuwa klabu Bingwa mtu alikula week na ilikuwa Group stage sio hatua za Vidudu na pia team iliokula hizo week yaan 7 wooote walikuwa wametimia hakupewa 🟥 mtu hata mmoja

Hahahhahhahha Aiseee acha kwanza ncheke maana Watu wamepiga boom 💥 mortuary halafu wanajisifu wameua duh kweli Mgumba kapata 🤰 basi mate mji mzima 😀😀😀
20240825_082548.jpg
 
Hakuna ambacho hatujafanya, SIMBA SC ni level zingine kabisaaaaaa🔥🔥

Hii ilikuwa klabu Bingwa mtu alikula week na ilikuwa Group stage sio hatua za Vidudu na pia team iliokula hizo week yaan 7 wooote walikuwa wametimia hakupewa 🟥 mtu hata mmoja

Hahahhahhahha Aiseee acha kwanza ncheke maana Watu wamepiga boom 💥 mortuary halafu wanajisifu wameua duh kweli Mgumba kapata 🤰 basi mate mji mzima 😀😀😀View attachment 3078542
Ilikuwa bora
Mlikuwa bora.
Sasa?
Leo?
🤣🤣🤣🤣
 
Ni kweli hakuna kitu hamjafanya naona ubingwa wa caf mlishachukua! mara hii tutawafundisha tunauchukuaje. Yanga bingwa itawaonyesha kombe tunalichukuaje.
 
Hakuna ambacho hatujafanya, SIMBA SC ni level zingine kabisaaaaaa🔥🔥

Hii ilikuwa klabu Bingwa mtu alikula week na ilikuwa Group stage sio hatua za Vidudu na pia team iliokula hizo week yaan 7 wooote walikuwa wametimia hakupewa 🟥 mtu hata mmoja

Hahahhahhahha Aiseee acha kwanza ncheke maana Watu wamepiga boom 💥 mortuary halafu wanajisifu wameua duh kweli Mgumba kapata 🤰 basi mate mji mzima 😀😀😀View attachment 3078542
Yule kipa wenu mlimpiga goli 7? Sasa Yanga wakipita naye msisingizie bahasha za GSM.
 
Hakuna ambacho hatujafanya, SIMBA SC ni level zingine kabisaaaaaa🔥🔥

Hii ilikuwa klabu Bingwa mtu alikula week na ilikuwa Group stage sio hatua za Vidudu na pia team iliokula hizo week yaan 7 wooote walikuwa wametimia hakupewa 🟥 mtu hata mmoja

Hahahhahhahha Aiseee acha kwanza ncheke maana Watu wamepiga boom 💥 mortuary halafu wanajisifu wameua duh kweli Mgumba kapata 🤰 basi mate mji mzima 😀😀😀View attachment 3078542
Mavi ya kale,,,,kwasasa imebaki sanda tu inapepea,,,,,,,,marehemu alikua anajeuri sana
 
Onyesheni hiyo medali ya CAF 😀😀😀

Siku mkipata hata medali ya CAF mje mzungumze na wakubwa
 
Back
Top Bottom