simba

  1. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Club ya Simba kutumia milioni 823 kusajili wachezaji waliofunga magoli mawili kwa msimu mzima

    Lionel Christian Ateba 🇨🇲 ◉ 02 - Years deal (Tsh 523 million) ◉ 16 - Games premier league 23 | 24 ◉ 01 - Goal scored. ◉ 03 - Assist Kibu Denis Prosper 🇹🇿 ◉ 02 - Years deal (Tsh 300 million) ◉ 26 - Games premier league 23 | 24 ◉ 01 - Goal scored. ◉ 02 - Assists ℹ️ Value for money iko sawa?
  2. King Leon 1

    JamiiForums Tanzania Nawashauri Simba SC wamrudie tena Elia Mpanzu amerudi kwao Congo, waachane na mchezaji wao wa ovyo

    Nimeona taarifa juu ya uyu mchezaji Elias Mpanzu ambae Simba ilijaribu kutumia nguvu kumpata ila wakashindwa kwasababu ya ofa kubwa toka ulaya ,kwa bahati mchezaji uyo ameshindwa vigezo vya kujiunga na timu iyo ya ubelgiji na kurudi kwao Congo. Nawasihi viongozi wa Simba kama kweli wanataka...
  3. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Simba SC inakwenda kuwanyamazisha wengi

    Nimeiangalia Simba sc kwa utulivu, ikicheza mechi zake tatu zilizooneshwa. Nikiri wazi kuwa Simba imebadirika na inacheza mpira mkubwa tofauti na mpira uliokua ukichezwa na kina babacar sarr, kina kanoute n.k (hapa mashabiki maandazi na mashabiki wa ile timu inayorukaga mageti ili ipate access...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Enyi Wanyamwezi wa Tabora United Simba ya fungua dimba imewakosa sana mmepigwa kono la nyani jumapili

    Nawaasa washabiki na wanachama wa Simba, suala la usajili limekwisha na sasa tuunge mkono chama letu. Simba itakaa sawa baada ya mechi tano au sita, huyo Mukwala mnayedhani sio striker atawanyamazisha muda c mrefu. Kama wewe umekuja kwenye football kama Baba levo au Mwijaku tafadhali jitoe...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Elvis Kamsoba ni mshambuliaji mrundi kamili wa kutatua matatizo ndani ya Simba

    Naunga mkono Simba kumsajili mshambuliaji wa Burundi Elvis Kamsoba, amemzidi vitu vingi sana yule striker wa USMA Alger Leonel Ateba Mbida. Kamsoba ana nguvu, namfananisha na marehemu Damian Kimti, mshambuliaji ambaye alileta changamoto kubwa enzi zile hasa kuhusu uraia wake hadi akafanikiwa...
  6. King Leon 1

    JamiiForums Tanzania Nini kimewapelekea viongozi wa Simba kumsajili mshambuliaji Mcameroon Lionel toka USM Algiers?

    Ndugu wanasoka wenzagu naomba kuuliza nini kimewafanya viongozi wa Simba kumsajili huyu mchezaji ambae kila nikisoma takwimu zake naona hazimbebi kabisa kuwa chaguo sahihi. Simhukumu ila ningependa kujua tu mapema kabla hatujampa muda klabuni? Soma Pia: Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki...
  7. King Leon 1

    JamiiForums Tanzania Upangaji wa matokeo na rushwa itaangamiza soka Zanzibar Kimataifa

    Katika hali ya kushangaza sana ,Club ya Uhamiaji FC ya Zanzibar inayoshiriki mashindano ya Shirikisho Africa imekubaliana na Al ahly Tripoli ya Libya kuwa mechi zao zote zitapigwa Libya kwa sababu ambazo hazina mashiko kuwa za kiusalama na makubaliano baina ya timu izo mbili. Sasa kati ya...
  8. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Simba wanaenda kusajili tapeli jingine! Sad

    Wakuu Hii klabu haiishiwi vituko kwa kweli Baada ya kupoteza pesa kucheza misri na madereva taxi na kurudi kukalia bomba la yanga huku wakijitapa kuwa "wamekalia kimoja tu" Sasa wameona rasta Freddy the snake boy hatoshi na mwenzie yule Steve Mukwala pia Then wamemua kusajili garasa la ki...
  9. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Simba kabla ya kuanza kujua ubora wa kikosi chenu Fukuzeni kocha Fadlu David. Huyu ata aje Messi na Mbape hatutoboi

    Timu haitashinda mechi yoyote ya ugenini au Ngumu na Huyu huyu Fadlu. Ana cv mbovu sana akiwa kocha. Mbovu mno. Nimeandika uzi ya kumi hii tena kabla ata hajaja. Wajinga wanamfananisha na Compan na Arteta kwa Kushusha timu daraja na kutoka kuwa asistant. Mfatilieni Fadlu David kawa kocha...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kuna member mmoja maarufu sana hapa JF akisema ukweli wake kuhusu Simba SC, wana Simba wanampuuza

    Na baada ya kujua kuwa wana Simba SC wa jamiiforums wanapenda kusikia unafiki basi nae pia amekuwa mnafiki tu.
  11. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba wanawalipa wachambuzi ili wamchafue Fabrice Ngoma"

    Viongozi wa Simba wanawalipa wachambuzi ili wamchafue Fabrice Ngoma" Fausty Mkandila, wakala wa Fabrice Ngoma. Maoni yangu : hili linawezekana kwa asilimia mia kama waliweza kumlipa Mgana Mickyjnr ili amchafue Azizi ki watashindwa hili?! Aziz ki sahivi Yupo moto anauwasha Kila kukicha Huyo...
  12. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Ofisi za Makao Makuu ya Simba

  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simba wana haki kufurahia kufungwa goli 1

    Kwa mpira unaochezwa na Yanga Ni haki Simba kufurahi kukwepa hii dhahama ya kupigwa mvua walinusurika
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Itoshe kusema kuwa Mfalme wa soka nchini Tanzania, Simba Sc imepata mshambuliaji hatari Abubeker Nessir. Mabeki ya NBCPL wajiandae kulala na viatu

    Mara baada ya tajiri Mo dewji kupost katika mtandao wa X kuwa Simba itasajili Mshambuliaji mwingine kabla ya dirisha kubwa kumalizika. Habari zimevuja kuwa tayari Simba sc imeinasa mshambuliaji wa kimataifa wa Ethiopia, Abubeker Nessir kutoka klabu ya Mamelodi. Niwape tu habari kuwa huyu jamaa...
  15. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Hosea Chamba (mwanasheria wa Simba) unaharibu image ya timu.

    Naandika nikijua wasio na ABC ya sheria wanitupia mishale lakini sijali. Lakini Kwa mara ya Kwanza tunashuhudia Migogoro ya usajili ya mwaka 1994 ikirejea 2024 Kwa timu ya Simba kuwa na mwanasheria anayetafuta Kwanza maslahi binafsi kabla ya maslahi ya timu. Migogoro ya Mohamed Mwameja na...
  16. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Match ya mshindi wa tatu ngao ya jamii simba tayari kashajaza uwanja huko

    Naambiwa hapa tayari ni full house kwa ile mechi inayoanza saa 9 hongereni sana mashabiki wa simba na uongozi wa simba kwa kuwahamasisha wanasimba na hasa kwa ahmed ally Tunawaomba match yeny ikiisha mbaki na match ya Yanga vs azam sababu mashabiki wa Yanga ni wa-zito kwenye kujaza uwanja
  17. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Prediction: Simba(Tanzania) vs Coastal Union(Tanzania) and Yanga(Tanzania) vs Azam(Tanzania)

    1. Simba SC vs Coastal Union: Predictive score: Simba SC 3 - 0 Coastal Union Simba SC is expected to win comfortably with a strong performance. 2. Yanga SC vs Azam FC: Predictive score: Yanga SC 2 - 1 Azam FC Yanga SC is likely to secure a narrow victory in a closely...
  18. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kule Paris Ufaransa ndiko Utalii unako Tangazwa haswa, kuliko ile Royal tour, Serikali iko busy na Yanga na Simba

    Sababu ni kwa nini Kenya inapokea watalii wengi pamoja na kuwa na vivutio vichache ni kwa sababu ya kinacho endelea Paria Ufaransa. Mashindano ya Olyimpic ni moja ya sehemu ya nchi kujitangaza bure kabisa huku Duniani, Ila Tanzania hatuyapi umuhimu kwa sababu hakuna wajinga wa kubeba mabango ya...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga zipewe heshima kubwa kwenye ligi, mgao mkubwa

    Wadhamini wa legi na timu zote kwenye ligi wananufaika kupitia Simba na Yanga. Mapato ya viwanjani ya timu zote yanapatikana wanapocheza na Simba na Yanga. Washabiki wananunua visimbuzi na vifurushi ili kuona mechi za Simba na Yanga zinapocheza na timu nyingine au zinapokutana wenyewe. TFF...
  20. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania TAFAKARI: Sikukuu ya wakulima 8/8 kufunikwa na mechi kati ya Simba na Yanga, je Watanzania wa leo hawahitaji tena kilimo?

    Wasalaam JF Nimejaribu kufuatilia vituo vingi vya habari na hata mazungumzo ya baadhi ya maeneo niliyopo na kushtushwa na kupotea kwa umaarufu ya sikukuu ya wakulima 8/8. Katika fuatiloa yangu nimegundua kuwa mechi ya juzi ya watani wa jadi ni kama nayo imepigilia msumari wamoto kwenye...
Back
Top Bottom