simba

  1. J

    JamiiForums Tanzania kenya Polisi yatangulia fainali Cecafa Simba Queens yaaga

    Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Klabu Bingwa kwa Nchi za Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), Simba Queens wameshindwa kufua dafu mbele ya Kenya Police Bullets wakikubali kichapo cha mabao 3-2. Pambano hilo la nusu fainali lililopigwa kwenye Uwanja wa Abebe Bikila nchini Ethiopia...
  2. JamiiForums Tanzania Simba queens yaondolewa kuwania nafasi kucheza cafcl upande wa wanawake

    Club ya Simba ya wanawake huku ikicheza hovyo na kinyonge imebugizwa goli 3 kwa 2 na polisi ya Kenya Simba iliyocheza kama watoto wa umisseta imeshindwa kabisa kutamba "Watoto wa Mgunda a.k.a awali ya yote wameonekana kucheza bila muunganiko
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Karibu Watanzania wote wana asili na ushabiki wa Simba au Yanga; basi angalieni ofa za ufadhili wa timu zenu isiwe kampeni ya uchaguzi mkuu 2025!

    Tunaelekea kwenye uchaguzi wa 2025, na ghafla tunaanza kusikia ofa za ufadhili wa Simba na Yanga, wakati timu za ligi kuu zipo nyingi. Kwa nini? Tatizo sisi Watanzania huwa tunaghiribiwa kirahisi sana. Tuliwahi kuuza nchi na watu wetu huko nyuma kwa zawadi za shanga na vioo vya kujitazamia...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Simba alikuwa hatulii kama ‘Mwanangu Lissu’, ndio maana nikasema apewe jina hilo

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan ni mwanasayansi wa sayansi ya siasa kiasili. Ni kiongozi anayeijuwa vyema sana sayansi ya siasa.ni kiongozi ambaye anajuwa kucheza na lugha na maneno Utafikiri magwiji na mafundi ya mpira aina ya christian...
  5. JamiiForums Tanzania Simba Tundu Lissu: Historia Yake na Je, Unaweza Kumuona Wapi Live Baada ya Kizimkazi?

    Kwa mujibu wa taarifa kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), mnyama anayeongezeka umaarufu sasa nchini ni “Simba Tundu Lissu” alizaliwa Dar es Salaam Zoo, nje kidogo ya jijini la Dar es Salaam eneo la Mwasonga, Kigamboni. Alizaliwa Januari Mosi, 2018, hivyo kwa sasa ana...
  6. JamiiForums Tanzania Simba kuweni makini na hiyo timu yenu, wekeni akiba ya maneno, ushindi dhidi ya Tabora, Singida fountain gate usiwafanye mkaona mko vizuri

    Nimeona mashabiki na wanachama wa Simba wakifurahia kupitia kiasi ushindi wao wa mechi 2 dhidi ya wagonjwa TABORA united na singida FOUNTAIN GATE lakini Kuna wengine wanaoujua mpira Wala awakufurahi Bali wanasema Simba bado aijaanza ligi kulingana na aina ya timu walizokutana nazo kuwa ni dhaifu...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuungurumia ITV siku ya tarehe 26, 08, 2024

    Haya tena kile chuma cha pua kwenye ubora wake kitakuwepo ITV kumwaga shule. Wengine wanakiita Simba. Wengine hawachoki kukifanyia fitna. Ama kwa hakika wengine kwetu huyu: Ndiye yule mwanetu mpendwa tunaye pendezwa naye!
  8. JamiiForums Tanzania Nani bigwa Ligi kuu msimu wa 2024/2025 kati ya Simba Vs Yanga?

    Piga kura yako hapa
  9. JamiiForums Tanzania Simba Vs Yanga

    Timu ipi itabeba taji la ushindi wa Ligi kuu Tanzania msimu huu 2024/2025 kati ya Simba na Yanga? 1. YANGA 2. SIMBA Piga kura yangu tuone ipi itabeba ubingwa
  10. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo mahesabu CAF - 5 Year Ranking itakavyokuwa endapo Simba na Yanga zitaishia nafasi ya tatu makundi

    Kwa mujibu wa Caf 5 year ranking system, kwa sasa Simba ikiwa nafasi ya 7 na Yanga nafasi ya 13 kutokanq na alama walizovuna miaka mitano iliyopita, hivi ndivyo hesabu ya jumla ya alama zitakavyokuwa kwa vilabu hivi viwili endapo zote zitaishia nafasi ya tatu makundi. Coefficient ya mwaka...
  11. JamiiForums Tanzania Nipo Njiani kwenda Zanzibar kumuona Simba Tundu Lissu ambaye Rais amempa jina Hilo

    Habari za weekend Wakuu! Nipo Njiani nakaribia Zanzibar Kwa Lengo la kumwona Simba Tundu Lisu àmbaye Mhe. Rais Samia amempa jina Hilo. Nikifika nitakutana na Watu WA eneo Hilo wanipe background ya Simba huyo. Kisha nitaomba nikutane n Mhe. Rais ili nimuulize nini kilimvuta kumpa Simba huyo...
  12. JamiiForums Tanzania Nipo Njiani kwenda Zanzibar kumuona Simba aliyeitwa Tundu Lisu na Mhe. Rais Samia.

    Habari za weekend Wakuu! Nipo Njiani nakaribia Zanzibar Kwa Lengo la kumwona Simba Tundu Lisu àmbaye Mhe. Rais Samia amempa jina Hilo. Nikifika nitakutana na Watu WA eneo Hilo wanipe background ya Simba huyo. Kisha nitaomba nikutane n Mhe. Rais ili nimuulize nini kilimvuta kumpa Simba huyo...
  13. D

    JamiiForums Tanzania FT: CAFCL | APR 2-0 AZAM FC | Preliminary Stage 2nd Leg| aggregate : 2-1 | 🏟 Amahoro Stadium | 1900hrs | 24.08.2024

    Azam FCleo anacheza na APR FCya Rwanda kukata ticket ya 2nd stage ya preliminary round . mechi ya kwanza aggregate azam fc 1 -0 APR FC. penalty ya Blanco. Mechi saa 1 kamili. #TUMEIPATA CODE
  14. JamiiForums Tanzania Hakuna ambacho SIMBA hatujafanya

    Hakuna ambacho hatujafanya, SIMBA SC ni level zingine kabisaaaaaa🔥🔥 Hii ilikuwa klabu Bingwa mtu alikula week na ilikuwa Group stage sio hatua za Vidudu na pia team iliokula hizo week yaan 7 wooote walikuwa wametimia hakupewa 🟥 mtu hata mmoja Hahahhahhahha Aiseee acha kwanza ncheke maana Watu...
  15. JamiiForums Tanzania Pamoja na kucheza na vibonde, Yanga yashindwa kuvunja rekodi za Simba na Pamba

    Embu tuweke kwanza pembeni rekodi za Simba za hivi karibuni, hivi kuna timu nchi hii ina historia ya kufunga magoli mengi mashindano ya Africa kama Pamba FC? Unakuwaje na kikosi kama ulichonacho ukijipa matumaini ya kutwaa ubingwa wa Afrika msimu huu, unacheza na timu ambayo hadi msemaji wake...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Je, 'Mbwa Mpumbavu' anayebwekea maendeleo anaweza kuwa ndiyo simba wa Kizimkazi?

    Mara nyingi binadamu anaongea ya moyoni wakati wa utani, akiwa ana hasira, amelewa au akiwa na furaha sana. Hivi karibuni kuna sentensi tata imetoka kwa mkuu akisema mbwa mpumbavu anabwekea maendeleo yeti. Bila kumtaja jina, watu wengi wanabaki wanajiuliza, ni nani? Wengi tunadhani ni TAL...
  17. JamiiForums Tanzania Simba Tundu Lissu ana stress, cage haimfai.

    Nimeangalia clip ya huyu Simba aliyepewa jina la Tundu Lissu anavyoahangaika kwenye "cage" nikasitika sana, maelezo yametolewa kwamba akiona binadamu ndio huwa anahangaika hivyo! Hiyo ni stress anadhihirisha, Wanyamapori hawakutakiwa kukaa katika zoo au cages, Zoo na Cages ni mojawapo ya...
  18. JamiiForums Tanzania Kila mwaka Azam huwa anatolewa kimataifa kabla Simba haijaanza mechi zake

    Sisi Azam tukubali hatuna timu tuna kikundi cha wachezaji SOMA - LIVE - CAFCL: APR 2-0 AZAM FC | Preliminary Stage 2nd Leg| aggregate : 2-1 | 🏟 Amahoro Stadium | 1900hrs | 24.08.2024
  19. JamiiForums Tanzania Lissu ni Yanga damu sio SIMBA

    Ila leo huko kizimkazu kalazimishwa kuwa SIMBA damu.. Je huu ni utani wa kisiasa,? Ni madongo? Ni vijembe? Ni hofu kuu ama ni uchokonozi!!!? Lissu atajibu lakini sio hapa na sio leo.. Usaha hutumbuliwa ulipotungia jipu https://www.facebook.com/share/v/CXB42gLoWgoEtC3Z/?mibextid=wWqvZr
  20. JamiiForums Tanzania Tumeshamjua SIMBA bado mbwa anaebweka ni nani?

    tunataka ufafanuzi wa Rais ni nani huyo mwenye hadhi ya mbwa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…