I will be short
list yangu ya matapeli since 2014 -
1. Vítor Salvador (Jul 2014 - Jun 2015)
2. Goran Kopunovic (Jan 2015 - Jun 2015)
3. Dylan Kerr (Jul 2015 - Jun 2016)
4. Pierre Lechantre (Nov 2017 - Jun 2018)
5. Patrick Aussems (Jul 2018 - Nov 2019)
6. Sven Vandenbroeck (Dec...
Habari zenu!
Aisee nipo home huwa napenda kuangalia vipindi vya wanyama.
Sasa katika tazama yangu nakutana na ma king of the jungle wawili (Simba na Dubu) kila mmoja ni mfalme kwenye eneo lake.
Swali langu hivi hawa viumbe mazingira yangewakutanisha pamoja msituni na wakaamua kupambana nani...
Simba ndiyo timu pekee ya ligi kuu Tanzania ambayo makao yake makuu yapo eneo ambalo jina la eneo limebebwa na jina la klabu hiyo, tena zaidi ni eneo hot kibiashara na kiuchumi.
Najiuliza hawa wengine wako wapiii? Ninavyojua mimi, Jangwani ni maarufu zaidi kwa ile shule maarufu ya wanawake...
Nimekuwa nikifuatilia maendeleo ya ligi yetu ili uwezo binafsi wa wachezaji, siachi kuangalia ligi iwe Pamba vs JKT au Fountain gate vs Namungo.
Wachezaji watatu wwmenikuna sana msimu uliopita na msimu huu bado wanauwasha moto vibaya sana.
Viungo hawa ni viungo 2 wa KMC yule Ibrahim Elias na...
1. Aishi Manula amebadilika na hasa anapowaiga Mussa Camara na Diarra kutembea na mpira, anastahili mkataba mpya
2. Kapombe jamani amepungua sana kama sio umakini wa Manula leo ingekuwa aibu
3. Valentine Nouma ni mchezaji wa kawaida sana, anachojua yeye ni mashuti tu lakini kukaba zero.
4...
Au ndio mazoezi ya Ulozi kuelekea Shirikisho, si unajua kombe hili la Luza ndio mlichoma Uwanja [emoji23] kule south Africa wanetu
Mpaka bus la timu kufanya vitu kama hivi unajua kuna baraka za viongozi, una baki na maswali mengi mno kichwani, anyways tukutane mwisho wa msimu...
Tumeona Leo vijana wenu Wenye umri mdogo wakicheza mechi ya kirafiki na al hilal ya Sudan, tumeona timu yenu kimbinu na kiufundi ilivyo!
Al hilal awa wamepungua ubora wao kwa kiasi kikubwa sana ukilinganisha na al hilal Ile iliyocheza na yanga msimu juzi ikiwa ya moto ikiwa na vijana wakina...
Klabu ya Simba ilitangaza kwamba beki wake Valentino Nuoma ameitwa timu ya taifa ya Burkina Faso
Lakin baada ya kufuatilia imegundulika kwamba beki huyo hajaitwa.
Najiuliza
Je nin kimetokea?
Habari wapenzi wa soccer.
Young Africans yupo kwenye mashindano makubwa ya CAF Champions League 2024/2025 na Simba Sc yupo kwenye mashindano ya CAF Confederation Cup 2024/2025.
Natamani kila mmoja ashinde kwenye mashindano ambayo yupo yaani Young Africans awe bingwa wa CAF Champions League...
Jaji Frank Mahimbali wa Mahakama Kuu kanda ya Sumbawanga, ametumia msemo wa sasa wa mashabiki wa timu ya Simba wa ‘Ubaya Ubwela’ kufananisha sakata la watoto wawili wa familia moja wanaogombea jina la Kura.
Jaji alisema usemi huo unaomaanisha ‘ubaya umerudi tena’, kwa mtazamo wa kwanza, mtu...
Klabu ya Simba Queens yashindwa kufuza Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika mara baada ya kuondolewa hatua ya Nusu fainali kwenye michuano ya CECAFA hatua ya Nusu Fainali baada ya kufungwa na Kenya Police Bullets.
FT' | Simba Queens 2 - 3 Kenya Police Bullets.
Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Klabu Bingwa kwa Nchi za Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), Simba Queens wameshindwa kufua dafu mbele ya Kenya Police Bullets wakikubali kichapo cha mabao 3-2.
Pambano hilo la nusu fainali lililopigwa kwenye Uwanja wa Abebe Bikila nchini Ethiopia...
Club ya Simba ya wanawake huku ikicheza hovyo na kinyonge imebugizwa goli 3 kwa 2 na polisi ya Kenya
Simba iliyocheza kama watoto wa umisseta imeshindwa kabisa kutamba
"Watoto wa Mgunda a.k.a awali ya yote wameonekana kucheza bila muunganiko
Tunaelekea kwenye uchaguzi wa 2025, na ghafla tunaanza kusikia ofa za ufadhili wa Simba na Yanga, wakati timu za ligi kuu zipo nyingi. Kwa nini?
Tatizo sisi Watanzania huwa tunaghiribiwa kirahisi sana. Tuliwahi kuuza nchi na watu wetu huko nyuma kwa zawadi za shanga na vioo vya kujitazamia...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan ni mwanasayansi wa sayansi ya siasa kiasili.
Ni kiongozi anayeijuwa vyema sana sayansi ya siasa.ni kiongozi ambaye anajuwa kucheza na lugha na maneno Utafikiri magwiji na mafundi ya mpira aina ya christian...
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), mnyama anayeongezeka umaarufu sasa nchini ni “Simba Tundu Lissu” alizaliwa Dar es Salaam Zoo, nje kidogo ya jijini la Dar es Salaam eneo la Mwasonga, Kigamboni.
Alizaliwa Januari Mosi, 2018, hivyo kwa sasa ana...
Nimeona mashabiki na wanachama wa Simba wakifurahia kupitia kiasi ushindi wao wa mechi 2 dhidi ya wagonjwa TABORA united na singida FOUNTAIN GATE lakini Kuna wengine wanaoujua mpira Wala awakufurahi Bali wanasema Simba bado aijaanza ligi kulingana na aina ya timu walizokutana nazo kuwa ni dhaifu...
Haya tena kile chuma cha pua kwenye ubora wake kitakuwepo ITV kumwaga shule.
Wengine wanakiita Simba.
Wengine hawachoki kukifanyia fitna.
Ama kwa hakika wengine kwetu huyu:
Ndiye yule mwanetu mpendwa tunaye pendezwa naye!
Timu ipi itabeba taji la ushindi wa Ligi kuu Tanzania msimu huu 2024/2025 kati ya Simba na Yanga?
1. YANGA
2. SIMBA
Piga kura yangu tuone ipi itabeba ubingwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.