simba

  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba wang'oa viti uwanja wa Taifa baada ya mechi ya SC sFaxien

    Mashabiki wa Simba wamefanya uharibifu mkubwa kwenye uwanja wa Taifa, baada ya mchezo kati ya Simba vs sc sFaxien Hii imeleta picha mbaya mbele ya uso wa Kimataifa hasa Kwa watu waliostaarabika, kung'oa Viti na kurushia wageni raia wa Tunisia waliokuwa hawana siraha Mashabiki hao wameng'oa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Dakika ya 24 tayari Bravos anaongoza mabao 2 0, Simba ihakikishe inashinda ugenini na haipotezi mchezo kama inahitaji kuvuka group stage

    Ngoma ngumu ; waangola wako vizuri sana kuliko mategemeo yetu, wako kwao na wanajua kutumiia uwanja wa kwao, hadi sasa washamtandika Constantine mabao 2 0 na wanashambulia kama nyuki, Bravos akimfunga Simba na Sfxien ameshafuzu tayari, na kwa namna anavyocheza uwezo huo anao, mechi moja tu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ni afadhali Simba imrudishe Morrison Koliko huyu Joshua Mutale

    Aisee hyu Jamaa arudi kwao maana Simba imemshinda, bora Morrison au arudishwe Sakho kuliko hasara hii, hii ni hasara kubwa kwetu, rudisheni Morrison
  4. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Simba ikishinda dakika za jioni dhidi ya CS Sfaxien

    1. Nafasi ya kiungo mshambuliaji no. 10 imeendelea kuwa ni tatizo kwa Simba, ni aibu timu kama Azam ina Feitoto halafu Simba haina mtu wa maana nafasi ile. 2. Simba inatakiwa ifanyie kazi eneo la pumzi kwa wachezaji , mara nyingi inataka kuanzia dk ya 60 nakuendelea. 3. Yusuph Kagoma ni kiungo...
  5. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Simba kama kufunga itafunga Swaumu au kushinda, Ishinde Njaa. Ikijitahidi leo ni draw

    Naendelea vyema na tabiri zangu na kuna watua mbao wananipigia kunishukuru kutokana na kufanikiwa katika kile ninachowapatia . nina ilimu ya Nyota hii nilijifunza kitambo kidogo. mara nyingi huitumia katika mambo yangu mbalimbali. kinyota leo ni siku mbaya sana kwa Simba. na sioni kama kuna...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kiungo wa boli Awesu aanza kikosi cha Simba dhidi ya CS Sfaxien

    Kiongo Awesu Awesu anaanza leo, sambamba na Deborah Mavambo ambaye atazima na Fabrice Ngoma, juu wanacheza Lionel Ateba, Kibu Denis na Jean Charles Ahoua. Chini kama kawaida hakuna mabadiliko ni Che Malone, Zimbwe, Kapombe na Hamza, Camara anasimama langoni.
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba waitosa klabu yao mechi ya CS Sfaxien. Mwitikio mdogo wa ununuzi wa tiketi licha ya kuwa TSh. 3000

    Simba SC inakabiliwa na mwitikio mdogo wa mashabiki wake kuelekea mechi yao ya tatu ya Kundi A kwenye Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien, Jumapili Disemba 15,2024 katika dimba la Mkapa majira ya saa kumi jioni. Takwimu za Uuzaji wa Tiketi Mechi ya Simba vs CS Sfaxien Licha ya...
  8. Tman900

    JamiiForums Tanzania Bati Simba Dumu Vs Sunda Best

    Kwa wajuzi wa Bati Kati ya Hizo Bati mbili ipi ni Bora kwa Ubora Tunaitaji kuchukua Moja wapo kati ya Hizo Campuni 2 Kwa ajiri ya Ujenzi, Kuna Ndugu Yangu ameniuliza kuhusu hilo, nimeishindwa kua na Jibu la Moja kwa Moja, Mimi huwa natumia Bati Yote Yote itakayokuambele yengu natazama mfuko...
  9. technically

    JamiiForums Tanzania Tanzania tutapata maendeleo lini kama mijadala ni Simba, Yanga na Diamond?

    Inasikitisha Sana kwenye vijiwe vya kidigitali Story ni Simba na yanga Radio na tv ni kutangaza michezo na nyimbo chafu na ku promote makampuni ya betting( kamali) Mijadala ya kitaifa hakuna hivi tutakuja kupata maendeleo kweli?
  10. ngara23

    JamiiForums Tanzania CS sFaxien inayocheza na Simba kombe la Shirikisho, tumeijua leo

    Mashindano ya shirikisho ya timu ndogo na hata hazijulikani Tuseme tu ukweli nani anayeijua timu ya CS sFaxien inayocheza na Simba Jumamosi? Hii timu kwenye ligi ya Tunisia ipo nafasi ya 6, sawa na Dodoma Jiji huku Tanzania Timu kubwa Tunisia ni ES Tunis, Club Africain na Monastir lakini hili...
  11. This is...

    JamiiForums Tanzania Hakuna mchezaji wa simba anaweza kupata namba pale Yanga. Simba timu mbovu.

    MANULA hawezi kupata namba pale Yanga,utamsajili utampeleka wapi.Kaisha!
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally atupa dongo kwa Yanga, awaita Simba B baada ya Mwenda kutua kikosini na kuwa mchezaji wa 4 aliyecheza Simba kabla ya Yanga

    Leo Jumatano, Desemba 11, 2024, mapema katika kuendeleza hamasa za klabu ya Simba kuelekea mchezo dhidi ya CS Sfaxien ya nchini Tunisia, Jumapili Desemba 15, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Ahmed Ally, akiwa katika maeneo ya Tandika, tawi la Kapu la Magori, alitoa dongo kwa Yanga...
  13. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Simba mjipange kuloga, mechi taifa kutawaliza

    Simba mjipange kuloga mechi taifa kutawaliza. Cc wapinzani WENU. Ongezeen bidii mazoezini Hizo mechii za sasa CAF aziloheki Ushairi tu. Ulizen yanga
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mechi ya kiporo ya Simba dhidi ya JKT Tanzania kuchezwa Disemba 24, KMC Complex

    Mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania ambao awali ulihairishwa baada ya mpinzani wetu kupata ajali sasa umepangwa kuchezwa Disemba 24, 2024 saa 10:00 jioni katika Uwanja wa KMC Complex. Mchezo huu awali haukuchezwa kutokana na JKT Tanzania kupata ajali ya gari na baadhi ya wachezaji wao...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Beki wa zamani wa Simba SC, Israel Mwenda atua Yanga kwa Mkopo akitokea Singida Big Stars

    Mchezaji wa zamani wa Simba SC, Israel Patrick Mwenda, amekamilisha uhamisho wake wa mkopo wa miezi sita kutoka Singida Big Stars kwenda Young Africans (Yanga). Pia, Soma: Singida Black Stars yasema imemlipa Mwenda Tsh. 140m yamtaka aripoti mazoezini Beki huyo anauwezo wa kucheza kama beki...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Yanga alalamika mechi zao kuoneshwa 500 za Simba kuwa 1000 Kibanda Umiza

    Wakuu Ndio kusema maji yamezidi Unga ama! == Shabiki wa Yanga maarufu kama Dosa ametoa malalamiko yake baada kuona anapoish mechi za Yanga kuoneshwa kwa bei rahisi.
  17. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simba atachukua kombe Gani, mapinduzi cup ikichezwa na timu za taifa

    Mtani amepata pigo lingine, baada ya kichaka alichokuwa anajificha la kuchukua kombe la mapinduzi kucheza na timu za taifa Tujikumbushe mafanikio ya mtani aliyosomewa kwenye mkutano mkuu ni kama ifuatavyo 1. Bingwa kombe la Mapinduzi 😀 2 Whatsapp channel 😀 3 Kibegi Mtani Sasa rasmi hatapata...
  18. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mchezaji wa Simba hawezi kula bata kila siku na wachezaji wa Yanga akabaki salama

    Nakumbuka mwanzoni mwa msimu huu nilipongeza usajili mzuri waliofanya Simba ila nikatoa angalizo moja kuwa wachezaji wa Simba wapigwe marufuku kuzoeana na wachezaji wa Yanga nje ya uwanja. Naelewa hawa wachezaji wana maisha nje ya uwanja na naelewa pia wengine wana historia zinazoingiliana kwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Upepo wa yanga kufanya vibaya kwa sasa ndio nafuu ya simba kutoonekana madhaifu yake lakini timu yao ni dhaifu na kocha wao ni dhaifu pia!

    Huu upepo wa yanga kufanya vibaya kwa sasa ndio imekuwa nafuu kubwa kwa timu ya Simba kutotazamwa na watu wengi madhaifu yao pamoja na kocha wao! Kwa sasa wachambuzi na mashabiki wengi wa soka wamejikita kuijadili yanga kwa hali wanayopitia kitu ambacho kimewafanya viongozi wa Simba na kocha wao...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba na magoli ya bahati na kichawi

    Kwanini Simba ni Mwakarobo miaka nendarudi? Simba bado inaamini kwenye bahati na sanaa ya uchawi michezoni. ushindi wake dhidi wa Bravos ni wa bahati na kichawi, goli la shabalala dhidi ya costantine ni la kuhatisha na kichawi pia. kubahatisha au koroga kunasaidia kushinda mechi sio kushinda...
Back
Top Bottom