Amani iwe nanyi
Huku Simba wakipost vitu vya msingi yanga wao wamekazania uchawa na kupiga picha ambazo hazina picha wala miguu
Mimi yanga lakin huu wanaofanya yanga ni ushamba na ujinga
Simba wamenyooka sana kwenye haya mambo ya sheria na kanuni,hadi wafanye jambo ujue wameshajihakikishia kwamba wako sahihi.
Yanga walipanga hujuma kuwafunga Simba kwa uonevu wakawanyima uwanja wa mazoezi na vurugu juu,Simba wakaona isiwe kesi ni kuandika chapisho moja kwamba hawachezi.
Yanga...
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Mzee Mnguto anadai hii iliyotokea juzi ya Simba sio kesi kubwa kuliko ile ya Yanga kugomea 2021 ile Yanga kama Bodi wangefuata sheria ilipaswa washuke daraja kabisa.
Kwa mujibu wa maelezo ya Bodi ya Ligi, Kwamba mchezo uliahirishwa kwa sababu za kiusalama na rushwa, Mbali na kwamba taarifa za kiusalama zilipaswa kutolewa mapema zaidi, Lakini mpaka kufikia masaa kadhaa kabla ya mchezo, Bodi ilisisitiza kwamba mchezo upo palepale, Kisha baada ya saa kadhaa...
Mara nyingi mambo ya Simba na Yanga yametumika kuwatoa waTanganyika kwenye mijadala mizito yenye tija kitaifa. Wadadisi wa mambo wamenyetisha kuwa hata huku kuahirisha -ahirisha mchezo bila sababu ni kujaribu kuwahamisha waTanganyika kutoka katika ishu nyeti ya kitaifa ya No Reform No Election...
Yanga imeimarika sana na huenda miaka michache ijayo kama hawataharibu hii team basi wakachukua hili kombe la wanawake mara 5 mfululizo.
Usajili wa dirisha dogo umefanywa na mtu makini sana na kuifunga JKt kwenye Samia cup na Sasa kuifunga Simba kwenye derby ni kipimo tosha
Forward za yanga...
Nawaza tu hata wewe waza Bodi ilitoa hoja za usalama na Rushwa najiuliza.
Hivi Simba walivyozuiwa kupiga mazoezi ingetoa wakaacha kutoa Taarfa ya kugomea kucheza Match!
Bodi mngeahirisha game Kwa hizo hoja zenu??
Au ndio imekua corner stone?
Hapo ndio watu wanapopat ukakasi wanajiuliza Hilo...
Tofauti na wakati wowote, tangu siku walipotangaza kutopeleka timu uwanjani, mashabiki wa Simba wamekuwa down kidogo, zile tambo na mbwembwe zimepungua na hata wakijadili jambo hili wanajikita kwenye maneno ya wachambuzi. Bila kujali uhalali wa timu yao kususia mchezo, wanaonekana kufeel unyonge...
Nna uhakika Simba akimaliza nafasi ya kwanza kileleni na Yanga akashika nafasi ya pili, je mechi ya mwisho mtakayopangiwa na Bodi ya Ligi ili mcheze na Simba mkishinda mnabeba kombe, mtakaa kwenda kucheza kweli?
Yaan Yanga amebakiza mechi moja na Simba ili awe bingwa, mtakaza msicheze Simba awe...
Tunduru ni moja ya wilaya ambayo inapatikana katika mkoa wa Ruvuma kusini mwa Tanzania, asili ya wakazi wa Tunduru ni Wayao ambao wanasadikika wanatokea Msumbuji, katikati ya miaka ya 80 kulikuwa na mzee mmoja ambaye alikuwa anafahamika Mzee ACHIMBALI, Mzee huyo alikua anaishi katika kijiji cha...
Mpira ni Makombe na sio rekodi za points,
Simba huo ukubwa mnaojipaga mbele ya Yanga mnautoa wapi?
Hua najiuliza tu.
My favourite player Ronaldo ana magoli Mengi kuliko mchezaji yeyote alie active now ila magoli yale tunashindwa kuyatetea bila Kombe la dunia bila Balon dor za kutosha mbele ya...
Ukimuona kobe juu ya mti ujue kapandishwa..Manara anapata wapi ujasiri wa kuisemaea yanga..Manara ni nani kwenye uongozi wa yanga...Manara ndio mratibu mkubwa wa mambo ya kitoto kwa kisingizio cha utani wa jadi...Manara anasahau kama anadhalilisha watu....juzi kati alimdhalilisha askari...
Naona yanga wanalialia kama watoto kwa makosa ya ushenzi wao !! Wanataka point za mezani kwa mechi gani waliocheza? Mwamuzi alikuwa nani ,na Kamisaa alikuwa nani? Ipeni yanga pointi 3 na ikiwezekana wapewe na za nyongeza Bado mwaka huu ubingwa hauwahusu
Kabla Mods hamjakimbilia Kuushusha Uzi naomba msome kwanza , muangalie na Source ya habari Hii , naweka Link.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba msimu wa mwaka 2020/2021 , Bwana Muhina Kaduguda ametoa siri ambayo haijawahi kuongelewa popote, Kaduguda amesema dhahiri kuwa wakati huo yuko mwenyekiti wa...
Watu wanasema kulikua na mazingira ya Rushwa Mara kulikua na Uvunjifu wa Amani.
Niwaaambie mnao raise hizo hoja sisi hatukatai hoja zenu ila tunataka mtu dhibitishie hivo vitu over...
Mjue Nini Mimi nimesoma sheria na Kuna Mwalimu wakat ananifundisha Criminal aliwahi sema, kusema umefanyiwa...
Nimeona nijaribu kulijadili hili swala kimantiki bila ya kuleta ushabiki wa kitimu.
Kwanza kabisa watu wengi wanajadili Wala hawajui jinsi bodi ya ligi inavyoundwa na yenyewe inavyoendesha ligi na bodi yenyewe inavyoendeshwa.
Bila ya kujua bodi ya ligi inaendeshaje ligi na yenyewe...
Labda hawa watoto wa 2000 ndiyo hawajui ila embu tuwape darsa kidogo kuhusu historia iliyotukuka na isiyoweza kufutwa na yeyote ya kuingiza na kukuza ustaarabu katika mpira wa Tanzania.
Simba ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kuvaa jezi nchi hii.
Simba ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kuvaa viatu vya...
MILIONI 5 KILA MCHEZAJI
Taarifa za hivi punde Vigogo wa klabu ya Dodoma Jiji wakishirikiana na wadau wa karibu wameweka mezani bahasha ya motisha katika timu yao ili ifanye vizuri leo dhidi Simba .
Naambiwa hapa kuna ahadi ya kila mchezaji kupata Sh Milioni 5 kama watashinda leo dhidi ya Mnyama.
Wakuu
Siku ya jana Dodoma Jiji walisikika wakisema kesho (ambayo ni leo) hawapeleki timu uwanjani baada ya kuzuiliwa katika geti la Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam kufanya mazoezi ya mwisho.
Mchezo wa Dodoma Jiji dhidi ya Simba unapigwa leo Machi 14,2025 saa kumi jioni na itakuwa LIVE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.