simba

  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Acheni kulishana Upepo. Simba haiwezi kuchukua kombe hili la CAF. Anaenda kuzikwa South Africa

    Ile kushinda jana kuna mabwege wameshaanza kuandika upuuzi. Yaani hii Simba tia maji tia maji ya kufika Fainali? Nyie mnafanya masikhara sana. Labda umri wenu ndo changamoto. Mnaanza kulishana upepo mkidhani mtashiba kutokana na njaa kali ya Makombe mliyo nayo kwa miaka hii 4. Na mwaka huu...
  2. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Simba anakwenda kuvunja rekodi walioshindwa yanga kwa kutwaa ubingwa shirikisho yanga hajawahi vuka hatua ya makundi Champion ligi.

    Yanga alicheza fainali kama best looser kutoka mechi za champion hakupambana tangu awali na huko pia alibebwa na simba baada ya kufanya vizuri na nchi kuongezewa washiriki..Simba anakwenda kucheza fainali kwa kuipambania wenyewe na kulitwaa kombe na kuivunja rekodi ya yanga ya kufika fainali na...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba kuvuna Kitita zaidi ya TSh. bilioni 2 kutoka CAF

    Klabu ya Simba SC itapata kitita cha dola 750,000 sawa na zaidi ya Shilingi bilioni 2 (2,006,874,750) baada ya kufuzu hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Simba SC imefanikiwa kutinga hatua hiyo baada ya kuwatoa Al Masry SC ya Misri kwa mikwaju ya penati 4-1, kufuatia sare ya...
  4. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Simba SC yatikisa kwa ubora Afrika, yapanda hadi nafasi ya 4

    My Take Lipokuja swala la kuiheshimisha Nchi na Ligi ya Tanzania Kimataifa,Simba ni Timu ipewe maua yake.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Simba imepanda kuwa timu ya nne kwa ubora Africa kwa vigezo vya CAF 5 Year ranking,

  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba SC kuivaa Stellenbosch baada ya kuitupa nje Zamalek SC, Nusu fainali Aprili 20

    Simba SC itakutana na Stellenbosch FC ya Afrika Kusini baada ya kuwatoa Zamalek SC, Stellenbosch kashinda bao moja sifuri ugenini palepale Cairo. Soma, Pia: FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025 Mechi za nusu fainali zitapigwa April 18-20 na...
  7. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Simba kucheza na Stellenbosch nusu fainali

    Mechi imemalizika Kwa Stellenbosch kuifunga Zamalek Moja bila. Hivyo nusu fainali ni Simba na Stellenbosch
  8. A

    JamiiForums Tanzania Hongereni Simba, al Masry amesakwa

    Wamejitahidi kucheza kwa nidhamu sana.ni timu mpya ambayo uwepo wake ni August mwaka jana. Valentino Nouma hastahili kuwa benchi.
  9. Dumas the terrible

    JamiiForums Tanzania Mwamposa SC,This is Simba,Taifa limetabasamu,

    Ama kweli simba
  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nimeahidi kutembea tumbo wazi toka Kariakoo mpaka Ubungo endapo Simba itafuzu nusu fainali

    Hii ni ahadi na itatekelezwa Safari imeanza wazee niko magomeni
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mvua ndio uchawi wa simba, mwarabu atakuwa anateleza tu na kulala. Ili Simba avuke lazima apate magoli mapema

    Mvua inanyesha dar Simba wanafurahia
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kamati ya wazee ishamaliza kazi hapa Kwamsisi, Simba anaua kuanzia goli 4, hamtoamini macho yenu

    Usiku kucha wa kuamkia leo kimepigwa kisomo kikali hapa kwamsisi na wazee washatoa go ahead tuwahi Dar es salaam tukashuhudie goli zetu 4 kuoanda juu. Kama una roho mbaya kama hao utopolo baki nyumbani Baraka Mpenja atakusimulia namna goli 4 kwenda juu zilivyopatikana. Narudia tena, goli ni 4...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa aitakia heri Simba SC dhidi ya Al Masry

    Waziri Mkuu Majaliwa akisoma bajeti yake aitakia heri Simba SC dhidi ya Al Masry
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini TFF inakaa kimya ushirikina wa Simba?

    TFF na Simba kuna uhusiano gani? Simba inaonyesha waziwazi kuwa inafanya ushirikina kwenye michezo lakini Bodi ya ligi na TFF wanajifanya hawaoni kitu; tena inazilazimisha timu nyingine zikutane na ushirikina wa Simba kwa kuzipa faini timu zinazojitahidi kukwepa kukutana na ushirikina wa Simba...
  15. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba ndio tatizo na hakika hatutofuzu, hana plan B kabisa, wachezaji wa kuamua mechi unawaweka benchi

    Ndio sijakosea, ni kocha anaye tabirika, Al Mary sio timu ya kutisha kivile ila wenzetu walishamsoma kocha Hana mbinu mbadala. Hata kikosi chake kinatabirika na nitakutajia Camara KAPOMBE ZIMBWE Chamoue Hamza Ngoma Kagoma Kibu Ahoua Ateba Mpanzu Akibadilisha mchezaji hata mmoja hapo nipo...
  16. Bueno

    JamiiForums Tanzania Leo tarehe 09.04.2025 Simba akimfunga Al Masry goli 3 Mods naomba nipigwe ban Miaka Mitatu

    Wakuu nimesema hivyo leo kwenye ile mechi iliyosubiriwa kwa hamu sana. Simba anatakiwa ili afuzu ashinde goli zisizopungua 3. Mimi nasema Simba uwezo wa kumfunga Al Masry goli hata 1 tu hana, tuliona mechi iliyopita wakachezea goli 2 wakarudi nyumbani. Sasa hivi Al Masry wamekuja huku...
  17. Tman900

    JamiiForums Tanzania Simba Vs Almasry

    Matoke ya mechi ya kesho. Simba 0 Vs Almasry 2
  18. M

    JamiiForums Tanzania Simba inahangaikia sana Kombe la Looser

    Yaani jinsi ilivyokuwa inaliponda halafu eti leo hii ndio wanalipambania kwa nguvu zote hadi kutumia ulozi na uchawi.
  19. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Msimu huu kuna uwezekano wa Simba kucheza na timu 6 hadi 7 za kiarabu

    Tunapoongelea rekodi mbalimbali ambazo Simba inaziweka, zipo nyingi na zinatokea kila siku hadi zingine tunazisahau au hatuzichukulii kwa uzito unaostahili. Msimu huu iwapo itafika fainali ya mashindano ya CAFCC, kuna uwezekano mkubwa wa Simba kucheza na timu 6 hadi 7 za ukanda wa Kaskazini...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia apandisha dau 'Goli la Mama' kwa Simba SC, kila Goli TSh. milioni 10 kwa mchezo wa CAF

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amelipa thamani goli la Mama analolitoa kwa timu za Tanzania zinazoshiriki michuano ya CAF ambapo kwa sasa Nchi yetu inawakilishwa na Simba Sc pekee kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. Akithibitisha ongezeko la thamani hiyo...
Back
Top Bottom