Kwa waliocheza Mpira kama Mimi na tunajua pia Kuuchambua mtakubaliana nami kwa 100% kuwa kwa Timu ile ya Al Masry na kwa ule Uchezaji wao wa Kimkakati hata wakija Dar es Salaam hiyo Wiki ijayo bado wana uhakika wa kupata Goli 1 na hapa namaanisha kuwa kama Simba SC itashinda Goli 3 basi Wao...
Endapo mwaka 2040 nikitangazwa Kama Rais
Nitafuta
Kamali
Simba
Yanga
Ccm.
Pia wakamalia wote watafungwa gerezani mwaka mmoja .
Na sitoruhsu unywaji wa pombe bali wine tu
Jana kilo kapigwa mbili bila ukitazama magoli yote kachomesha golikipa wao wanayemuona namba moja pon pon camera ambaye kiuwezo hamfikii hata robo Aishi Manula. Magoli yote yale huwezi kumfunga Manula. Wanachotaka kufanya Simba ni kumuomba msamaha Manula na kumrudishia namba moja kwenye first...
Nimewahi kusema mechi za nyuma , SIMBA wanacheza vizuri sana kuanzia nyuma hadi katikati....
Inachokosekana uwezo wao wa kuvuruga defence pinzani. Magoli mengi yanatokana na krosi za full back zao au penalti....na sio ubunifu wa kati.
Utaina mechi ya AL MASRY ambayo walijaa nyuma baada ya goal...
Ubaya Ubaya!
Katika mechi ya dhidi ya Al Masry, Simba imefanyiwa vitendo vya dhulma kwa kunyimwa penalty wakati Ateba amefanyiwa faulo na golikipa wa Al Masry. Tegemeo langu lilikuwa ni kumuona angalau kapteni shabalala akihamasisha wachezaji wenzake wamlazimishe refa kwenda kuangalia kwenye...
Mimi nilijua tokea awali kuwa makolo hawawezi kutoboa katika ardhi ya firaun , hasa baada ya kumlipia tiketi ya ndege pamoja na malazi, mchambuzi mwenye njaa na makasiriko ya Yanga sc , ndugu wilson oruma a.k.a ngiri boy
Young africans sc 2 - 0 Marumo gallants
Marumo gallants 1 - 2 Young africans
Vinginevyo laana ya Robo fainali haitavunjika.
Tusione aibu kujifunza kwa waliotangulia.Wenzetu ni wazoefu zaidi katika hii michuano.
Mnyama Simba SC anaanzia ugenini Misri kwa kuvaana na Al Masry SC katika mechi ya mkondo wa kwanza ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika.
Mchezo huu unapigwa saa 1:00 usiku
🏟️ New Suez Stadium
Kaa karibu kwa Live updates
Vikosi vya timu zote (Team news)
Mechi imeanza
4' Mashambulizi kwa...
al masry sc
al masry vs simba
fainali
hamna
hii
mimi
mizimu
nakupenda
ndoa
new suez stadium
robo fainali
robo fainali caf cc
simbasimba sc
tayari
uzalendo
waamuzi
wewe
Kama Simba Sc itaingia uwanjani kwa Game plan ya kujihami mwanzo mwisho simply ipo ugenini itaaibika..
Hii Game plan iliwa-cost Simba dhidi ya Constatine kule Algeria..
Ile mechi Simba sc haikustahili kufungwa..ulikuwa ni uzembe.Laiti Simba angekuwa na wazoefu wake wa zamani angeshinda.
Mambo...
Kikosi cha Simba Sc kitamenyana na Al Masry katika Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kesho saa 1 Jioni nchini Misri katika dimba la New Suez.
Mechi hiyo ikiwa ni mechi ya kwanza ugenini nchini Misri, Mechi ya marudiano itakuwa Aprili 9, 2025 hatua ya robo fainali katika dimba la Benjamin Mkapa...
Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imepokea rasmi rufaa iliyowasilishwa na Klabu ya Young Africans SC dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) na Klabu ya Simba. Rufaa hiyo inahusiana na uamuzi uliotolewa na TPLB tarehe 8 Machi 2025.
Soma: Bodi...
Naaam! Medali ya fainali waliyoipata Yanga SC Baada ya Kucheza fainali kwenye michuano ya kimataifa (SHIRIKISHO) ni mzimu unaowatafuna Simba SC kwa kuwatia Hamasa, nguvu morali ya Kupambana ili kurejesha amani ya Mashabiki Wao Wenye ugwadu na uchu Wa kuona timu Yao imefika ama kuvuka hatua...
Eid Mubarak watanzania wote.
Wapinzani wa Simba kwenye mchezo wa robo fainali ya kombe la shirikisho Afrika, Al Masry wameshinda mchezo mmoja tu, huku wakifungwa mechi moja na kudroo mechi tatu.
Katika mechi hizo tano amefungwa goli 7 na kufunga goli 7.
Hii inatoa taswira kwamba, Simba...
Wanasema "hauna haki ya kuongea kama kwanza haujafanya utafiti wa hilo unaloongelea".
Taasisi ya R.S.S.S.F. (Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation) ni taasisi kubwa duniani ambayo imekuwa inafanya kazi ya kutafiti na kuhifadhi takwimu za soka duniani kwa miaka mingi. Hii si taasisi ya...
Kwa mfano mechi ya Simba na Yanga isichezwe tena. Kati ya Simba na Yanga, mbele ya safari Yanga ndiyo itatamani hiyo mechi ichezwe tena hata bila ya mashabiki uwanjani.
Kwenye mechi 7 zilizobakia za Yanga, Yanga watafungwa mechi mbili na kutoa droo Moja.
Kwa upande wa Simba kati ya mechi 7...
Mapema sana jamaa wanarudi hapa na kukaa bongo tuendelee kutafutana uchawi. Hawana team ya kushinda kule Misri. Hawana.
Hii Simba ya akina Mikwara? Akina Agahuo? Akina nani sijui? Nipo hapa. Matches mbili tu chali. Wanarudi kuja sugua magaga nasisi hapa bongo.
Team ya kufika mbali ilikuwa...
Katika sakata na minyukano inayoendelea kuhusiana na kuvunjika kwa dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga nimekutana na video clip moja ya baadhi ya mashabiki wa upande wa Yanga wakiwananga wazee wa timu ya Simba kwa kutoa tamko lao wakiwa Bar kuhusiana na sakata hilo.
Mashabaki hao...
Wa TZ pamoja na vyombo vyao vya habari wametumia sasa wiki zaidi ya tatu kujadili na kuchambua issue za derby. Hao Hao wa TZ Hawajui nini kinaendelea kwenye uchumi wa Taifa lao. Kwa jinsi wa TZ walivyo kuwa informed na mipira wangekuwa hivyo hivyo kwenye aspect za kupambania uchumi, kuibana...
Hizi Simba na Yanga muda mwingine utumika kusahaulisha watu kuhusu mambo mengi yanayohusu Nchi. Leo hii CAG katoa Ripoti lakini vichwa vya habari mitandaoni ni Simba na Yanga na TFF. Ni kama hili jambo linapewa Airtime hili watu wasiongelee mambo ya msingi kama Maendeleo ya nchi yanayoendana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.