simba

  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba aipongeza klabu ya Simba bungeni na kuipigia debe

    Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha aipongeza Klabu ya Simba bungeni; "Lakini tulisaini mkataba na federation, tutatumia ile, tutavitumia vilabu vya Simba na Yanga vina walipa kodi wengi wafuasi wengi ili viweze kusaidia kutoa elimu pamoja na michezo yote itumike katika kutoa masuala ya kuelimisha...
  2. nkuwi

    JamiiForums Tanzania Kigwangala vp?? zile makala zako hatuzioni mkuu??

    Habari za muda huu wadau wa sport. nisiwachoshe nauliza tu huyu bwana wa kuitwa kigwangala yupo wapi mbona kimya sana?? sio kawaida yake kukaa kimya. haya anayofanya simba sport club kwake hayana maana yoyote?? mbona simba ikifanya vibaya tuu unaanza kuona makala nyingi za lawama kwa tajiri Mo...
  3. Ngonidema

    JamiiForums Tanzania Simba ataingia fainal na kuchukua kombe la shirikisho

    Game ya Jpili Simba atashinda zaid ya Goli 2, Game ya maridiano kwa Madiba itakuwa sare, Game ya Fainal Simba ataanzia Nje nayo itakuwa sare, Atakuja ukimaliza kwa mkapa kwa ushindi mnono na kubeba ubingwa wa shirikisho, huu ndo utabiri wangu
  4. T

    JamiiForums Tanzania Wana Simba wafahamu wachezaji walioipeleka Simba nusu fainali ya CAF champions Kwa mara Kwanza

    Ilikuwa mwaka 1974 wakati Kwa mara ya Kwanza Timu toka Tanzania kucheza nusu fainali za club bingwa nayo NI Simba SC. Baadhi ya mashujaa wetu walikuwa; 1-Golini: Athman Mambosasa a.k.a angaza juu. 2-Shaban Baraza/ Daudi Salum a.k.a Bruce Lee 3-Mohamed Kajole aka Machela 4-Athman Juma. 5-Omar...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nape Nnauye: Ngoma ya watoto haikeshi, mimi ndio Simba wa kusini, tunaenda kupiga kwenye mshono

    Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, amesema kwa ukanda wa mikoa ya Kusini, yeye anabakia kuwa 'Simba'. Nape ameyasema hayo leo, Aprili 13, 2025, wakati Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi na Mafunzo wa Ccm Taifa, Amos Makalla, akiendelea na ziara katika mikoa ya Kusini, Mtwara na Lindi.
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba SC na Stellenbosch kupigwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar

    Mechi ya kwanza ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho CAF kati ya Simba SC na Stellenbosch Aprili 20, huwenda ikachezwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Taarifa zisizo rasmi zinaeleza maandalizi yanaendelea, ingawa bado hakuna uthibitisho kutoka CAF wala klabu ya Simba.
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 3-1 Mbeya City FC | CRDB Bank Federation Cup | KMC Stadium | 13.04.2025

    Simba SC watashuka dimbani leo saa 10:00 jioni kuwavaa Mbeya City katika mchezo wa Robo Fainali ya CRDB Bank Federation Cup, ukitarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Mchezo huo utakuwa kipimo muhimu kwa Mnyama Simba SC ambao wanalenga kutinga hatua ya nusu fainali na kuweka rekodi ya kutwaa taji...
  8. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuwaua simba wote mbugani ua swala wote, kinachofuata tunakijua?

    Hellow wakuu Tulifundishwa kuishi kwa kutegemeana kwa mazingira, Kila kiumbe kina nafasi yake ktk ecosystem Ukiwaua swala wote itatokea competion ya kufa mtu among predators, vitoweo vitaisha simba wataanza kufa mmoja mmoja kwa kupigania au kukosa chakula Urafiki na umoja wa simba utayumba...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Nashauri TFF wawape Yanga na Simba point moja, moja

    Mwezi ujao Ligi inaisha na hakuna lolote linaloendelea Kwa mechi iliyogomewa na kuhairishwa Kwa wakati mmoja, naongelea mechi ya Simba na Yanga. Kwakuwa May 25/2025 Ligi inaisha , basi kutatua mgogoro huu TFF watoe Suluhu katika mechi hiyo, ikiwa yanga apewe point moja bila goli na Simba apewe...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea kuhusu mechi ys Simba na Yanga ambayo iliahirishwa katika mazingira ya utatanishi baada ya Simba kugoma kufika uwanjani?

    Habari wadau! Mpaka sasa, tumesikia na kusoma mengi kuhusu hii mechi ambayo haikuchezwa baada ya Bodi ya ligi kuiahirisha huku Yanga wakifika uwanjani na Simba kutofika kama walivyokuwa wamepanga. Je, ni kweli jambo hili sssa liko huko CAS kwa ajili ya usuluhishi na maamuzi? Na kama kweli...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni Simba. Samia alikiri hili jambo yeye mwenyewe. Na yeye ni Chura Kiziwi

    Sijamsingizia yeyote. Moderators najua mtataka kuufuta huu uzi. Ila sijavunja kanuni yoyote. Kwa umri samia hawezi kuwa na mtoto kama Tundu Lissu. Nakumbuka samia akiwa zanzibar alimwona Simba mmoja machachari yaani pamoja na kuwa kwenye cage bado hakuwa mnyonge. Alikuwa akizunguka zunguka...
  12. Bueno

    JamiiForums Tanzania Tarehe 20.04.2025 Simba akimfunga Stollenbosch goli 3-0 nipigwe ban Miaka 3

    Ndio wakuu, nimerudi tena na msimamo wangu ni ule ule Simba pamoja na kuingia Nusu fainali kwa ndondogela kuchechemea kwingi ila hatoboi hio gemu ya nyumbani tarehe 20.04.2025 anakula goli kadhaa kutoka kwa miamba ya kandanda kutoka kwa Madiba hapo Bondeni Stellenbosch. Mods naomba nieleweke...
  13. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Tunaomba viongozi wa Simba wafanye mpango Simba ikacheze ligi kuu ya Misri

    Hapo vip!! Kwa ubora wa Simba na hadhi yake inauwezo wa kucheza ligi kuu ya misri kisha ikatwaa kombe. Tukumbuke Simba ni timu ya 4 sasa hivi kwa ubora na ukubwa barani Afrika,hivyo kwa hujuma za wivu,za kishetani ,za kijinga,za kimaskini na kipumbavu zilizopo kwenye ligi yetu ambazo...
  14. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Simba sports club a.k.a makolo dunduka asilimia 100% wanaenda kutolewa na wasouth wa Stellenbosch

    Mimi tanzania Sina timu ila naongea kimpira Kuna timu inaitwa simba sipos kilabu au tuwaite mbumbumbu fc a.k.a makolo fc inaenda kuishia kwenye mdomo wa wasouth Africa ukweli usemwz wale waarabu wa Al masry ni wakulima wa mahindi pale misri hivyo wao na mpira ni vitu viwili tofauti Sasa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Azam wanaopaswa kuchezea Simba Msimu ujao

    Nawaomba na kuwasihi sana viongozi wa Simba, kuna mwaka tukiwabeba akina Manula, Nyoni, Bocco na Kapombe baada ya azam kushindwana nao kwenye dau , wachezaji hao waliiletea Simba heshima kubwa sana, hata hivyo matokeo ya jana azam kuliwa na Yanga yamenifanya niwashawishi viongozi wangu kufanya...
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Serikali ihakikishe mechi zote za Simba za kimataifa zinachezwa uwanja wa Mkapa

    Wasalaam, Hongera kwa jamii yote ya wapenda maendeleo ya mpira nchini kwa mafanikio ya Simba SC kutinga nusu fainali ya CAFCC 2024-25. Bila kusema mengi, baada ya mechi ya marudiano ya Simba vs Al Masry, serikali ilitoa tamko kuwa uwanja unafungwa kwa matengenezo na kwamba Simba itafute uwanja...
  17. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simba malizeni fungate yenu ya kusherehekea semi final ya shirikisho mje kuzipa gap la points 10

    Mashabiki na Wanachama huwambii kitu baada ya kufuzu semi final huko shirikisho yaani UMISETA au netball au mashindano ya akina mama kama alivosema Kaduguda Leo young Africans amemfunga Azam na kuongeza gap la points 10 Kumbuka Azam na Yanga ndo wababe maana wamecheza CAFCL msimu huu ila...
  18. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Aliko DANGOTE - Simba wa Afrika

    Leo ni siku ya kuzaliwa ya Aliko Dangote – bilionea namba moja Afrika na mfano wa kuigwa kwa wawekezaji wadogo. Kupitia safari yake ya kibiashara, tunajifunza kuwa mafanikio makubwa yanaweza kuanzia Kwa hatua ndogo kabisa. Dangote alianza na biashara zake Kwa mkopo, aliaminiwa na kukopeshwa na...
  19. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Hivi Simba na Yanga wanashindwa vipi kuwa na uwanja kama huu wa jkt

    Nikiangalia huu uwanja ni standard sana japo ni WA kawaida kabisa Sasa hizi team zinashindwa vipi kupata uwanja mzuri kama huu!?
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nawaonyeni mapema kuwa leo shindeni kwani mkitoka tu Sare au Mkifungwa jueni mapema kuwa Simba SC anaenda kuwa Bingwa 2024/2025

    Msije kusema sikuwaonyeni mapema kwani kwa Moto wa sasa Watu hawatolala tena na sasa ni mbele kwa mbele tu Ok?
Back
Top Bottom