simba

  1. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba Hongereni sana kwa kucheza hili vizuri, Ila Bodi mmejaa Vibaya sana

    Yani saiv ukiwasikiliza Wana simba husikii Tena Ile Kauli ya Simba wamevunjiwa kanuni Kwa kuzuiliwa kufanya mazoezi ndio Maana hawajacheza. Simba saiv wanasema Match iliahirishwa na Bodi ya Ligi 😂😂 Yani Simba wamewakana kabisa Bodi na TFF na Kwa hapa Simba nawapa kongole mmesukuma kete zenu...
  2. Holoholo

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

    Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025, ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC (Young Africans SC vs...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ifike wakati Simba na YANGA zisifanywe kama vitega uchumi vya chama cha Mpira na BODI yake ya li..mbona mechi na pamba amkuhairisha huo n ujingaaaa!!!

    Shida iliopo n upigaji WIZI Na utapeli Nakuheshimu kama tff na BODI YENU Ila siwaogopi Ogopa DHAMBI ya kuwaogopa watu Kuwaogops wanadamu n kuleta LAANA maishani mwako HAya mambo yafike wakati yafike fiffa na caf tupate uhalisia WA matumizi ya kanuni na sheria za tff Haiwezekani wewe UNAWEKA...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Sababu halisi za Simba kugomea mechi ni hizi hapa.

    1. Kamati ya ufundi kutoka Kahana kuzuiwa kwenda kufanya kazi yake kiwanjani. 2. Kipa Kamara na Che Malone Kukosekana kwenye mechi kubwa kama Ile. 3. Aziz Ki kumbe hakuwa mgonjwa, atakuwepo. 4. Mechi kuchezwa telarehe 8 siku ya jumamosi. Sababu nyingine zooote hizo ni uongo na visingizio TU, na...
  5. Powder

    JamiiForums Tanzania Wanasheria Mje mtusaidie: Naweza kufungua Kesi Mahakamani kudai kurudishiwa Gharama zangu Kwa kuahirishwa Mechi ya Yanga na Simba.

    Inawezekana kukawa na Upenyo wa Kisheria Kwa Watu ambao wanenunua Ticket, wengine wamelipia Usafiri wa Ndege, Ma bus ama kutia Mafuta kwenye magari Yao kuja Dar es salaam. Wamelipia Hotel ama Gesti, Sasa wanaambiwa Mechi imeahirishwa na Bodi ya Ligi. Hakuna namna Mashabiki wanaweza kufungua...
  6. M

    JamiiForums Tanzania TFF, najua Simba itapokwa pointi kwa kutoingiza timu uwanjani na Yanga mtawaadhibu kwa kuwazuia Simba wasifanye maamuzi ila Haji Manara msimuachie

    Mm nawaza hili jambo lazima litatokea tu maana mpira wa bongo una changamoto za mda mrefu sana, yote kwa yote kwa vile wao wameshasema hawatacheza tena najua mtawapa pointi 3, lkn kubalansi mambo Yanga mtawaadhibu kwa kuwazuia simba wasifanye mazoezi ila Haji Manara amewadhalilisha sana na...
  7. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Siku nyingine ya derby mashabiki Simba na Yanga hatutakuwepo

    Nimefuatilia sakata la derby ya Simba na Yanga Tanzania 08.03. 2025, itoshe kusema Bodi ya ligi mmehujumu ligi kuu ya mtanzania na mnapaswa kuwajibika, Simba na Yanga mnapaswa kuwajibika, mashabiki tumekwishawajibika. Siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa na wapenzi wa soka Duniani imekuja...
  8. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba haikufanya mazoezi uwanja wa Jamhuri Morogoro ikapoteza mechi muhimu

    Kuna watu wanachukulia poa utaratibu na haki iliyopewa timu ngeni kufanya mazoezi katika uwanja utakaochezewa mechi siku moja kabla ya mechi. Wachezaji wanapokuwa wamefanya mazoezi katika uwanja wa vita watakaoenda kuutumia, hili ni suala la kiufundi na linasaidia kuandaa wachezaji kimwili na...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba inabidi wajipongeze Bodi ya Ligi kununua kesi yao

    Tukiacha ushabiki viongozi wa Simba waliweka mtego na Bodi ya ligi imejaa kwenye mfumo, kiuhalisia hakukuwa na sababu yeyote ya msingi ya Simba kugomea mechi. Lakini kwa Sasa Hivi huwezii kusema Simba aligomea mechi ila Bodi ya ligi iliahirisha mechi kwa hiyo mpaka saivi Simba kwa kufuata...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mechi ya YangaSc vs Simba, Kigogo Mmoja abwaga Manyanga bodi ya ligi kuu

    BREAKING: Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu Tanzania bara Ndugu Filimon Ntahilaja amejihudhuru nafasi yake muda mfupi uliopita na kutoka nje ya kikao baada ya maamuzi ya kutolewa ambapo yeye anaamini hayakuwa maamuzi sahihi. Imefahamika kuwa Ndugu Filimon Ntahilaja...
  11. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mazoezi ya nusu saa yahairisha mechi ya Simba vs Yanga

    Leo 18:50hrs 08/03/2025 Simba ina sifa ya kugoma ila Yanga ina sifa ya utii na kufuata kanuni,sasa leo sababu ya utoto kabisa imehairisha mechi,hawakufikiria gharama za watu kutoka mikoa 31 waliokuja Dar es Salaam kuangalia mechi ya Simba na Yanga,mtaani watu wamepamba Maputo rangi nyeupe na...
  12. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Zimwi la tukio la Mwanza bado linaiandama Simba

    Watu wengi hawana upeo wa kuconnect dots kwa hiyo ngoja niwasanue jambo. Kuna lile tukio lililotokea kule Mwanza lililomuhusisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza aliyejaribu kutumia mamlaka yake vibaya hadi kuzua taharuki kubwa. Tukio lile halikuwapendeza baadhi ya watu wanaodhani na kuamini wana...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga na Simba iwe game ya 30 kwao kuondoa mzizi wa fitina

    Sasa Baada ya Kuona Mikiki mikiki ya kukimbiana na kuogopana baina ya simba na yanga, ikichagizwa na mambo ya kishirikina na msururu wa majeruhi kwa timu ya Simba, hivyo kulingana na siasa za mpira wa tanzania na Ukubwa wa Simba na Yanga , ambazo kiuhalisia zina nguvu kuliko hata TFF na Bodi...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Simba inafahamika Hadi CAF

  15. M

    JamiiForums Tanzania Simba walitoa taarifa rasmi kwa timu mwenyeji kuwa saa 1:15 watautumia uwanja?

    Kwa maana kanuni inasema timu mgeni ana haki ya kufanya mazoezi katika uwanja utakaochezewa mechi angalau SIKU MOJA kabla ya mechi. Sasa swali ni je simba walienda kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi? siku za kisoka zinahesabiwaje? Kwa mfumo wa masaa 24,48,72? Au zinahesabiwa kwa mfumo wa...
  16. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania SIMBA SC: "NO REFORM, NO GAME", KIZAZI CHA MABADILIKO

    Ni masaa kadhaa tangu shirikisho la mpira wa miguu Tanzania, TFF kutoa taarifa rasmi ya kuahirishwa kwa mchezo na 178 wa ligi kuu Tanzania bara huku mashabiki na wadau wa soka nchini wakiachwa vinywa wazi. Taarifa hii imekuja mara baada ya timu Simba Sc ikidai kuzuiwa kufanya mazoezi yao ya...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally awaomba radhi mashabiki wa Simba, awasihi kurejea nyumbani kwa utulivu baada ya mechi kuahirishwa

    Meneja wa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally, amewasilisha ujumbe wa pole kwa mashabiki wa klabu hiyo kufuatia kuahirishwa kwa mechi yao leo. Kupitia taarifa yake, Ahmed Ally ameomba radhi kwa mashabiki wote wa Simba, hususan wale waliotoka mikoa mbalimbali kwa ajili ya kushuhudia mchezo huo...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mechi kusogezwa mbele ni nafuu kwa simba, vuta picha leo wangeweka rekodi ya kufungwa mara tano mfululizo,

    mechi sio ya kuiogopa ila ni rekodi mpya inayoenda kuwekwa Acha tuendelee kuwa na amani ya kufungwa mara nne mfululizo, acha tuishi nayo. Leo simba angeingia kwa Mkapa ingekuwa kujifedhehesha tu, kwa Yanga hii ni jambo la wazi kabisa simba angekandwa, Shida ingekuja kwenye rekodi mpya ya...
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Simba yangeweza kujadiliwa hata baada ya mechi na adhabu stahiki ingetolewa!

    Bodi ya ligi ilipaswa kutulia na kuyajadili malalamiko ya Simba kwa mujibu wa kanuni. Aidha ingethibitika kuna ukweli Yanga au mashabiki wake wamefanya ndivyo sivyo adhabu stahiki ingetolewa ikiwemo kupokwa points kama kanuni za adhabu zinataka hivyo. Bodi ni lazima itoe tamko la kikanuni...
  20. Roboti Wa Nape

    JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi mmetubeba Simba

    Na declare interest. Mi Mwana msimbazi damu. Tuendeleee Tukiachana na Ushabiki pale hakuna Kanuni inayotubeba Simba ya kutofika uwanjani, hiyo kanuni hatuna ndio maana kwenye taarifa ya Klabu hakuna nukuu ya kifungu cha kugomea mechi ila kwenye Kanuni kuna kifungu cha adhabu ya timu ambayo...
Back
Top Bottom