simba

  1. Kwanini familia ya Dewji imegandamana na timu ya Simba?

    Tatizo la Simba linaanzia kwenye familia ya Dewj; ni kama timu yao. Mangungu anachezewa mchezo mchafu na familia ya Dewj ili kulinda brand ya mo enterprises. Yaani kama timu inafanya vibaya uwanjani maana yake na brand yao inakwenda chini pia. Ili kukwepesha biashara zake sokoni anakodisha...
  2. Namshauri Mangungu wa Simba astaafu kwasababu anaweza kuendelea kuvunjiwa heshima

    Yanayoendelea kuhusiana na Mangungu ni kuvunjiwa heshima yake Kawaida hali kama hii ikishatokea basi njia sahihi ni kujiuzulu kwasababu kuendelea kuongoza matokeo yake ni kuzidi kuvunjiwa heshima Heshima ni jambo la msingi sana pasipo heshima hakuna uwezekano wa kuongoza watu Wanaomvunjia...
  3. FT: CAF champion League : Simba SC 2-2 Esperance l Benjamin Mkapa stadium l 1-feb-2026 l 16:00HRS

    Next match;Simba SC vs Esperance hii ni machinjioni kwa mkapa hatoki mtu All the best Mnyama 🦁 #nguvu Moja💪
  4. Leo Yanga anashinda. Kesho Rasmi Simba anajihakikishia kutosonga mbele. Uwanja tuliuharibu

    Yanga tuna akili. Ule uwanja wa Mkapa tuliuenyea. Simba hawezi pata matokeo Chanya na baada ya kuunyea tukahamia Zanzibar. Tulihamia Zanzibar sababu Uwanja wa Mkapa tumeuharibu. Haufai hata kwetu kwa matches za Kimataifa. Why? Una uchafu. Tulichofukia hatusemi ila nyie Mikia mtaona. Hamwendi...
  5. FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC l NBC premier League l MEJ GEN.ISAMUHYO l 29-1-2026 l 16:00HRS

    Matchday ; Simba SC vs Mashujaa FC Tunaanzia tulipoishia. Nguvu Moja 💪 All the best Simba 🦁
  6. Q

    Hongera GenZ, Simba na Yanga kwisha Wasanii kwisha, tuendelee hivi hivi hadi wote tuongee lugha moja.

    Hatuna budi kuwapongeza GenZ kwa kufanikisha zoezi hili, ilikuwa huwezi kuongea chochote vijiweni zaidi ya simba na yanga au diamond na kondeboy leo ni tofati kabisa. Kiuhalisia huwezi kuishi bila siasa, huwezi kuukuza mpira ukaiacha siasa inayoendesha huo mpira, kuwa mimi ni Simba damu damu...
  7. Esperance De tunis Vs Simba SC l CCL l Hammadi Agrebi Stadium l 24-01-2026 l 🇹🇿 7pm

    #nguvumoja#
  8. Mangungu Aapa kusajili Yeye Mwenyewe endapo Atashinda Uchaguzi wa Simba

    Hii ni kumaanisha kwamba, jamaa atagombea tena. Hongera sana genius Mangungu, tunakutegemea.
  9. Simba SC inatia hasira na fedhea sanaa

    Hii ni zaidi ya dharau Team haina map inatia kichefuchefu
  10. N

    Mbinu za CCM tu ndizo zitakazomuwezesha Mangungu na genge lake kushinda tena nafasi za uongozi Simba

    Kwa mujibu wa katiba ya Simba viongozi wote wa kuchaguliwa wanafika ukomo mwezi huu mwishoni. Hadi sasa wanasimba hatuoni dalili yoyote ya uchaguzi tukimaanisha hakuna kamati iliyotangazwa kwa mujibu wa katiba kuendesha zoezi hilo kuanzia hatua za awali ambazo ni kutangazwa tarehe ya uchaguzi...
  11. M

    Viongozi wa Simba nje ya maslahi, biashara na mishahara hivi wanaipenda timu, sio kwa maumivu haya tunayopitia mashabiki

    Timu imeridhika na hali iliyopo hatuoni uwajibikaji Viongozi wanavujisha hadi taarifa za ndani kwa watani Viongozi wamengangania madaaka hawataki kuachia wenye uwezo wachukue nafasi Timu inapokea kipigo cha sita mfululizo viongozi wanachukulia poa tu Timu inaendeshwa kwa email badala ya...
  12. Simba Sc Vs Muembe Makumbi| Mapinduzi Cup 2026|New Amaan Complex Stadium| 8:15 Usiku

    Klabu ya Simba SC itashuka dimbani katika Uwanja wa New Amaan Complex Stadium katika mchezo wa Mapinduzi Cup 2026 dhidi ya Muembe Makumbi ya (Zanzibar) majira ya saa 8:15 usiku. Hii itakuwa mchezo wa kwanza wa Simba chini ya kocha wake mpya, Steven Barker.
  13. Tetesi: Clatous Chama kurejea Simba Sc kwa mara ya 3

    Mchezaji wa zamani wa Simba SC, Yanga SC na kwa sasa Singida Black Stars, Chota Chama “Triple C”, inasemekana yuko mbioni kurejea tena kwenye viunga vya Msimbazi. Endapo Simba SC watamrudisha nyota huyo, itakuwa ni mara ya tatu kuivaa jezi ya klabu hiyo. Swali linabaki: Je, Simba SC wamekosa...
  14. Simba anapokutana na Kiboko kwenye mto (AJ vs Jake Paul)

    Ndondi ni mchezo mzuri sana kama hakuna ndugu yako ulingoni ila kama kuna ndugu yako basi si burudani ya mzaha; ni mchezo unaobeba hatari inayoweza kubadilisha historia ya maisha ya mtu kwa sekunde chache. Uliza familia ya Marehemu Hiromasa au familia ya Segun Olanrewaju ambao walikata moto...
  15. Viongozi na uongozi wa Simba kubalini tu kua Injinia Hersi kawazidi sana pakubwa kiakili na uwezo wa uongozi, na nyie mmekalia migogoro na uswahili

    Na leo naona mna press conference mchana wa leo najua tu mnataka kumjibu Injinia mwenye akili nyingi sana Hersi Na hamuoni hata wanasimba wenyewe wamefurahi sana kwa Injinia kutoa mfano kwa Simba kwamba Ina migogoro mikubwa upande wa uongozi...yan wako pale kula na kugombania pesa ya Mo Dewji...
  16. Tetesi: Abraham Moris wa Simba asaini mkataba wa awali Yanga

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Hii siyo tetesi tena Kijana kasha sain mkataba wa awali Yanga Japo kuwa tajiri kasema kijana avunje mkataba kabisa alipe pesa Kisha asepe, lakin kijana amekataa anasema ngoja amalizie miezi yake sita iliyobaki ndo atue jangwani Karbu...
  17. Tetesi: Inonga aanza mazoez Simba

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Tunakutakia mafanikio mema kaka inonga LONDON BOY
  18. Siku nzuri za ukombozi ni sikukuu zote za kidini (Eid na za kikiristo) na most importantly siku za mechi kubwa Simba na Yanga

    Kushindwa ni pale tu tumekubali damu za ndugu zetu ziende bure...... UTANGULIZI Sisi sio watu wa kuingia msituni (sio jambo jema) tunahitaji 1. mapambano ya ground, maandamano makubwa yenye idadi kubwa ya watu na sio jokes (mfano ubungo mpaka magomeni ikajaa watu hamna wa kuzuia) 2...
  19. Wote tunaenda kuimba wimbo mmoja

    Baada ya D9 kuanza kwa kusuasua kutokana na vigingi vizito toka kwa watawala , kumeibuka kebehii za wazi wazi toka kwa machawa wa mfumo kuelekea kwa Gen z.! Ila wasichokijua machawa fukara ambao wengi ni manyumbu katika sekta za umma. " nikwamba , athari za haya mambo hazitoangalia itikadi za...
  20. Oya huu Utani wenu wa kutuita Simba SC Wagawa Utamu uishie humu humu Mitandaoni, ila Mtu akiniita live Mtoa Utamu hakyanani Nakata Nafunua na Ndoo Juu

    Na wengine nadhani Kiasili mnatujua ni Watu wa Mkoa wa Mara (Musoma) na tulishacheza Boxing Majeshini Kitambo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…