simba

  1. CAS yapokea barua ya Yanga, TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC wapewa siku 10 kujibu

    Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imepokea rasmi rufaa iliyowasilishwa na Klabu ya Young Africans SC dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) na Klabu ya Simba. Rufaa hiyo inahusiana na uamuzi uliotolewa na TPLB tarehe 8 Machi 2025. Soma: Bodi...
  2. Hili ndilo limethibitisha kati ya Simba na yanga nani mkubwa

  3. Medali iliyopelekwa ikulu na Yanga SC inawatia Tumbo joto Simba SC

    Naaam! Medali ya fainali waliyoipata Yanga SC Baada ya Kucheza fainali kwenye michuano ya kimataifa (SHIRIKISHO) ni mzimu unaowatafuna Simba SC kwa kuwatia Hamasa, nguvu morali ya Kupambana ili kurejesha amani ya Mashabiki Wao Wenye ugwadu na uchu Wa kuona timu Yao imefika ama kuvuka hatua...
  4. Al Masry kwenye michezo mitano iliyopita kashinda mechi moja tu, Simba hii anavuka

    Eid Mubarak watanzania wote. Wapinzani wa Simba kwenye mchezo wa robo fainali ya kombe la shirikisho Afrika, Al Masry wameshinda mchezo mmoja tu, huku wakifungwa mechi moja na kudroo mechi tatu. Katika mechi hizo tano amefungwa goli 7 na kufunga goli 7. Hii inatoa taswira kwamba, Simba...
  5. Taarifa Rasmi kwa Umma: Yanga ni bingwa mara 25, Simba mara 22

    Wanasema "hauna haki ya kuongea kama kwanza haujafanya utafiti wa hilo unaloongelea". Taasisi ya R.S.S.S.F. (Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation) ni taasisi kubwa duniani ambayo imekuwa inafanya kazi ya kutafiti na kuhifadhi takwimu za soka duniani kwa miaka mingi. Hii si taasisi ya...
  6. Iko siku Yanga italilia kucheza na Simba huu mchezo wanaogomea

    Kwa mfano mechi ya Simba na Yanga isichezwe tena. Kati ya Simba na Yanga, mbele ya safari Yanga ndiyo itatamani hiyo mechi ichezwe tena hata bila ya mashabiki uwanjani. Kwenye mechi 7 zilizobakia za Yanga, Yanga watafungwa mechi mbili na kutoa droo Moja. Kwa upande wa Simba kati ya mechi 7...
  7. Simba hata ikitoa draw kule Misri nipigwe Ban ya siku 7. Haiwezekani hata kwa Dawa

    Mapema sana jamaa wanarudi hapa na kukaa bongo tuendelee kutafutana uchawi. Hawana team ya kushinda kule Misri. Hawana. Hii Simba ya akina Mikwara? Akina Agahuo? Akina nani sijui? Nipo hapa. Matches mbili tu chali. Wanarudi kuja sugua magaga nasisi hapa bongo. Team ya kufika mbali ilikuwa...
  8. Wazee wa Simba na Yanga hawatakiwi kwenda Bar mwezi mtukufu?

    Katika sakata na minyukano inayoendelea kuhusiana na kuvunjika kwa dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga nimekutana na video clip moja ya baadhi ya mashabiki wa upande wa Yanga wakiwananga wazee wa timu ya Simba kwa kutoa tamko lao wakiwa Bar kuhusiana na sakata hilo. Mashabaki hao...
  9. Projects za Yanga na Simba ni mwiba kwenye maendeleo ya Nchi

    Wa TZ pamoja na vyombo vyao vya habari wametumia sasa wiki zaidi ya tatu kujadili na kuchambua issue za derby. Hao Hao wa TZ Hawajui nini kinaendelea kwenye uchumi wa Taifa lao. Kwa jinsi wa TZ walivyo kuwa informed na mipira wangekuwa hivyo hivyo kwenye aspect za kupambania uchumi, kuibana...
  10. Simba & Yanga zimezima Ripoti ya CAG

    Hizi Simba na Yanga muda mwingine utumika kusahaulisha watu kuhusu mambo mengi yanayohusu Nchi. Leo hii CAG katoa Ripoti lakini vichwa vya habari mitandaoni ni Simba na Yanga na TFF. Ni kama hili jambo linapewa Airtime hili watu wasiongelee mambo ya msingi kama Maendeleo ya nchi yanayoendana...
  11. M

    Dini na uchawi ni Simba na Yanga, Mungu na shetani ni Tom and Jerry

    Dini na uchawi ni Simba na Yanga, Mungu na shetani ni Tom and Jerry. mmojawapo akiwa hayupo mwingine nae anakufa. na movie inaisha
  12. Walichokifanya leo Wana Simba wameonesha ukomavu , uelewa na busara kubwa , wanahitaji pongezi .

    Je umefikiria kama na Wana simba leo wangemiminika kwa wingi uwanja wa Taifa kufuatilia suluhu ya kilicho tokea March 8 ,2025 ,nini kingetokea ? Ukipata jibu utagundua Washabiki wa Simba wako next level
  13. Wale wale wahuni waliovuruga mazoezi ya Simba ndio hao hao sasa wanamtisha Hersi saidi kama atakubali mechi dhidi ya Simba...

    Hersi saidi yupo kwenye mtanziko mkubwa sana kuhusu maamuzi ya kukubali kucheza mechi ya marudiano baada ile ya march 8 kuota mbawa...ukisikiliza anachosema anaonyesha dalili za woga na kuna kitu hakipo sawa anaogopa dhidi ya washabiki wake wahuni wasio na adabu...Hersi ana zunguuka anaogopa...
  14. Simba ina wazee wa hivihivi tu

    Kama ukiwasikiliza wazee wa Simba unaweza kusema ni wazee wa mtaani tu. Wazee wa Simba wanaongea, kusema na kutenda kama vijana wengine wa simba. Wazee wa Simba walipaswa kushauri viongozi wa Simba wakatae udhamini wa Azam kwenye ligi maana Azam anayo timu inayoshiriki ligi kuu ya NBC pia...
  15. FT: Simba SC 2-1 Big Man FC | CRDB Bank Federation Cup | KMC Stadium | 27.03.2025

    Leo Alhamisi inapigwa mechi ya CRDB Bank Federation Cup hatua ya 16 bora Simba SC VS Big Man FC Saa 10:00 Jioni | 🔴 LIVE updates hapa Vikosi vya timu zote Mechi imeanza 1' Simba SC 0-0 Big Man FC 12' Milango bado migumu kwa kila timu 15' Goooooal (Joshua Mutale) 23' Simba wanalitafuta goli...
  16. PICHA: Kipa wa Simba, Aishi Manula arejea kikosini. Afanya mazoezi kuelekea mechi ya Shirikisho

    Air Manula mazoezini kujiandaa na mechi ya Kombe la Shirikisho la CRDB Machi 27 na Big Man FC (zamani Mwadui FC). Mechi hiyo ya Kufuzu robo fainali CRDB Bank Federation Cup, Mnyama Simba SC atakuwa KMC Stadium majira ya saa 10:00 Jioni kukipiga na Bigman.
  17. Wazee na Wanachama wa Simba: Yanga wamezoea kubebwa kama Marehemu

    Wazee na Wanachama wa Simba wa Matawi mbalimbali Jijini Dar es salam, wamefanya Mkutano na Waandishi wa habari kuzungumzia sakata la kuahirishwa kwa Mchezo wa Derby ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga uliokuwa uchezwe Machi 8 mwaka huu.
  18. Simba SC kuwafuata Al Masry Machi 28, Camara na Mukwala wajiunga na wachezaji wenzao baada ya kutua nchini

    "Kikosi kitaondoka nchini alfajiri ya tarehe 28 kuelekea Misri kwa kutumia ndege ya Egypt Air. Wachezaji wetu waliokuwa Taifa Stars wataungana na timu nchini Misri. Camara na Mukwala tayari wamewasili nchini kujiunga na wachezaji wenzao kwa ajili ya maandalizi ya safari." "Kila Mwanasimba...
  19. Haya ombi lenu la Mguto na Kassongo kuondolewa Bodi ya Ligi (TPLB) limekubaliwa je, sasa mtaleta Timu ili Mfungwe Simba SC iwe Bingwa au?

    Muda wowote kuanzia sasa Watanzania mtatangaziwa hii Taarifa ambayo GENTAMYCINE nimeitoa Jikoni kabisa. Wameamua kuliko) kuwapa Yanga SC Alama (Points) Tatu (3) kama Wanazoziota wameona kuweka Mambo sawa wawatoe Kafara akina Mguto na Kassongo wakiamini kuwa wana Yanga SC wataridhika na kuleta...
  20. Kataa CCM = Kataa Ushabiki wa Simba na Yanga

    Moja ya Vichaka ambavyo Chama Cha Mapinduzi,CCM Kimejifichia ni kupitia Ushabiki wa Simba na Yanga. Hiki Kichaka kimewatoa kwenye Mstari Wa Tanzania kuacha kufuatilia Mambo Muhimu kwa mustakabali wa Maisha yao, mfano kuimulika na kuiwajibisha Serikali katika utendaji wake. Kwa sasa wa Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…