nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,988
- 5,653
Habari za muda huu wadau wa sport.
nisiwachoshe nauliza tu huyu bwana wa kuitwa kigwangala yupo wapi mbona kimya sana?? sio kawaida yake kukaa kimya.
haya anayofanya simba sport club kwake hayana maana yoyote?? mbona simba ikifanya vibaya tuu unaanza kuona makala nyingi za lawama kwa tajiri Mo Dewji??
simba tupo nusu fainali shirikisho hata kutupongeza tuu hamna??
acha roho mbaya kigwangala