simba

  1. JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba ndio tatizo na hakika hatutofuzu, hana plan B kabisa, wachezaji wa kuamua mechi unawaweka benchi

    Ndio sijakosea, ni kocha anaye tabirika, Al Mary sio timu ya kutisha kivile ila wenzetu walishamsoma kocha Hana mbinu mbadala. Hata kikosi chake kinatabirika na nitakutajia Camara KAPOMBE ZIMBWE Chamoue Hamza Ngoma Kagoma Kibu Ahoua Ateba Mpanzu Akibadilisha mchezaji hata mmoja hapo nipo...
  2. JamiiForums Tanzania Leo tarehe 09.04.2025 Simba akimfunga Al Masry goli 3 Mods naomba nipigwe ban Miaka Mitatu

    Wakuu nimesema hivyo leo kwenye ile mechi iliyosubiriwa kwa hamu sana. Simba anatakiwa ili afuzu ashinde goli zisizopungua 3. Mimi nasema Simba uwezo wa kumfunga Al Masry goli hata 1 tu hana, tuliona mechi iliyopita wakachezea goli 2 wakarudi nyumbani. Sasa hivi Al Masry wamekuja huku...
  3. JamiiForums Tanzania Simba Vs Almasry

    Matoke ya mechi ya kesho. Simba 0 Vs Almasry 2
  4. M

    JamiiForums Tanzania Simba inahangaikia sana Kombe la Looser

    Yaani jinsi ilivyokuwa inaliponda halafu eti leo hii ndio wanalipambania kwa nguvu zote hadi kutumia ulozi na uchawi.
  5. JamiiForums Tanzania Msimu huu kuna uwezekano wa Simba kucheza na timu 6 hadi 7 za kiarabu

    Tunapoongelea rekodi mbalimbali ambazo Simba inaziweka, zipo nyingi na zinatokea kila siku hadi zingine tunazisahau au hatuzichukulii kwa uzito unaostahili. Msimu huu iwapo itafika fainali ya mashindano ya CAFCC, kuna uwezekano mkubwa wa Simba kucheza na timu 6 hadi 7 za ukanda wa Kaskazini...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia apandisha dau 'Goli la Mama' kwa Simba SC, kila Goli TSh. milioni 10 kwa mchezo wa CAF

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amelipa thamani goli la Mama analolitoa kwa timu za Tanzania zinazoshiriki michuano ya CAF ambapo kwa sasa Nchi yetu inawakilishwa na Simba Sc pekee kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. Akithibitisha ongezeko la thamani hiyo...
  7. JamiiForums Tanzania Mussa Zungu: Sioni sababu ya Wasiohusika na mechi ya Simba kuzungumza zaidi humu ndani (Bungeni)

    Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amesema haoni sababu ya baadhi ya wabunge wasiokuwa na uhusiano na Klabu ya Simba kuwa ndio wanaozungumza zaidi kuhusu mechi ya Simba wakati mchezo huo umepangwa kuchezwa kesho. Ametoa kauli hiyo leo Bungeni wakati wa maswali na majibu.
  8. JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI: Ni mwezi umepita tangu Simba akimbie mechi ya derby

    Leo tarehe 4 April ni mwezi umepita ambapo Simba alikimbia mechi,tarehe 8 March Sababu za kukimbia mechi ni uoga uliowajaa Simba kutokana na wachezaji wao wenye unafuu kuwa na majeraha kama Che maloni, Camara na Ngoma Simba walishirikiana na Bodi ya ligi pamoja na TFF kuhujumu derby bila...
  9. JamiiForums Tanzania Katika hii mitego minne Simba waliyoitega, je! Al Masry wataitegua yote?

    1: Hotelini 2: Uwanjani 3: Referees 4: Ulonzi Zinatafutwa goli 3 kuendelea, ngoja tuone.
  10. JamiiForums Tanzania Simba tumesahau Ile kauli mbiu " UBUNTU BOTHO"

    Ukiuwa Kwa upanga utakufa Kwa upanga, Wanasimba waliongoza kununua jezi za Mamelod Sundown mwaka Jana na walizivaa hazwa Leo wanalilia support ya Yanga ila mwaka walishangilia na kuwa follow Mamelod, hadi wao wakashangaa Wanasimba waliwaimba Kwa majina akina na Peter Shalulile, Mokoina...
  11. JamiiForums Tanzania Mzee Dalali nakuheshimu sana na acha kabisa kutaka Kuwadanganya wana Simba SC kuwa sijui Yanga SC wanatuhujumu ili tufungwe Keshokutwa na Al Masry

    “Kuna watu hawataki tuendelee hivyo wanawatumia baadhi ya watu wetu wa ndani. Wanasimba wote njoeni uwanjani, na jamaa pia njoeni muone, hata wakitaka wavae misuli njoeni kushangilia timu yetu. Lakini nawambia tarehe 9 mwarabu atatafuta sehemu ya kupitia.”- Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan...
  12. JamiiForums Tanzania VIDEO: Wazee wa Simba watua kwa Mkapa, hatumtaki meneja wa uwanja

    Wazee wa SIMBA hawamtaki MENEJA wa UWANJA wa MKAPA wanataka AONDOKE wanaogopa kuhujumiwa.
  13. JamiiForums Tanzania SIMBA CARGO

    Wadau napenda kuwapeni mchongo huu kuhusu kampuni ya Simba Cargo ,kampuni yetu inasafirisha mizigo midogo na mikubwa na Full contena kutoka China na Dubai kwa garama sawa na bure. Pia kampuni ya Simba Cargo inawasaidia wateja wake kuweza kutuma pesa kwa urahisi China na Dubai kwa rate ndogo na...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Simba SC wageukia Madhabahu. Wamuomba Mtume Mwamposa "ahudhurie" mchezo wa tarehe 9/04

    Katika ibada ya Leo tarehe 6/04, Mtume Boniphace Mwamposa amekiri kupokea mualiko wa Simba SC kuhudhuria na kuwaombea kuhusu mechi ijayo ya tarehe 9/04/2025. Ameahidi kuhudhuria au kutuma wawakilishi katika mechi hiyo na atawaombea. Hongereni Simba SC kwa kuachana na Matunguli. Shikilieni hapo...
  15. JamiiForums Tanzania Simba akifuzu nipigwe ban ya wiki

    Kiukweli kwa simba hii ikifuzu mimi nipigwe ban ya wiki moja .mimi shuka chini nikotayari. Kwa ban hiyo
  16. JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi tafuta matokeo ya Simba huko Egypt

    TFF na bodi ya ligi baada ya kukaa wameazimia Kufuta matokeo yaliyotokea huko Egypt Simba kupigwa goli 2 Bodi ya ligi imejiridhisha kuwa Simba walionewa baada ya kuzuiwa kufanya mazoezi Pia bodi ya ligi imegundua kuwa Al Masry wakifunga magoli ya counter attack, Simba alionewa kwanini afungwe...
  17. JamiiForums Tanzania Simba atapigwa na Al Masry, mechi ameipa pressure kubwa bila sababu

    Hii mechi Simba angetuliza kichwa angeshinda goli nyingi ila ametia pressure nyingi mkiita hamasa hili ndo litawagharimu Nimeshangaa viongozi wakubwa wa Simba wakipuuza mbinu ya Al Masry aliyotumia kuwafunga goli 2 bila Viongozi wa Simba wamesema eti Al Masry ni timu dhaifu. Al Masry awe dhaifu...
  18. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ukiniambia kuwa unawatia Moyo wana Simba SC Wajaze Uwanja Jumatano sawa, ila Kumfunga Al Masry tarehe 9 sahau sawa?

    Ni bora nichukiwe kwa kusema Ukweli na kutokuwa Mnafiki kuliko Kuwafurahisha Wapumbavu na Washamba wa Mpira.
  19. JamiiForums Tanzania Binafsi nikiona mtu Personality yake imemezwa na ushabiki wa Simba na Yanga huwaga napata mashaka na IQ yake

    Unakutana na Mtu anaamka asubuhi akifika tu kwenye kijiwe cha kahawa au mgahawani lazima itakuwa ndio mada atakayodiscuss kwanza kuliko kingine chochote na bora ingekuwa vitu concrete katika timu yake ya aidha simba au yanga bali utakuta ni udaku Akitoka kwenye kijiwe hicho cha kahawa akasogea...
  20. JamiiForums Tanzania Simba ndiyo wakali wa hizi kazi, inafuzu kwenda nusu fainali vizuri tu

    Ni kweli, njia ambayo Simba imetumia kufuzu ni ngumu sana. Baada ya kuona goli la ugenini halipatikani, badala ya kuendelea kulilazimisha ilitakiwa kujihami zaidi ili walau irudi ikiwa na deni la 0-1. Yote kwa yote, yaliyopita si ndwele. Sitaki tena kuangalia kilichotokea kule Misri. Hizi mechi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…