simba

  1. JamiiForums Tanzania Tuwe Wanamichezo na kamwe tusiwe Mashabiki, Simba SC hata tungecheza na RS Berkane mara 10 tungefungwa nao, na Ushindi kwetu Kwao ni Sare / Suluhu

    Mo Dewji atulie na asajili Wachezaji wa maana wa Kamaifa na wenye Uzoefu wa Mechi za Kimataifa ili wakusaidie katika Mechi za Kimataifa na vile vile katika Ligi ya Ndani (NBC Premier League) ambayo Kwao (hawa Wachezaji wa Kimataifa na wenye Uzoefu) itakuwa ni kama tu kufanya Mazoezi. Wala...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa hii penalty hii mliowanyima Singida endeleen kuwabeba Simba uovu una mda wake nawahakikishia utaisha

    Sisi wana zuoni tunaamini uovu una mda wake unaishaaa Kwa penalty hii isiyo na shaka nasema we refa na waliokutuma mkalaaniwe maisha yenu yote na vizazi vyenu Mda ukifika itasema
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Leo Simba vs Singida imeonyesha namna Gani Simba ilivyokuwa na mabeki wabovu

    Naishauri timu yangu sio kwa ubaya, mabeki wetu wa kati Chamou Karabou, Che Malone Fondoh na Abdulrazack Hamza na yule Hussein Kaze ni mtihani na presha tupu, Che Malone amepungukiwa sana uwezo, Sasa hivi hana Tena maajabu, Chamou ni mzito na kama ningekuwa karibu naye ningemshauri ageukie...
  4. JamiiForums Tanzania Kelvin Nashon Naftal mzawa pekee aliyeanza kwenye kikosi cha Singida BS dhidi ya Simba SC

    Kiungo Kelvin Nashon Naftal wa timu ya Singida Black Stars ndiye mchezaji pekee mzawa aliyeanza leo kwenye kikosi cha Singida BS kinachocheza dhidi ya Simba Sports Club. Kikosi cha Singida Black Stars dhidi ya Simba SC, Ligi Kuu ya NBC. 1. Amas Obasogie 2. ⁠Andre Cirille 3. ⁠Imoro 4. ⁠Anthony...
  5. JamiiForums Tanzania Yanga yalaani vikali vitendo dhidi ya Mashabiki wake kupigwa na mashabiki wa Simba kwenye Fainali ya CAF Zanzibar

    Uongozi wa Klabu ya Young Africans umetoa taarifa ya kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa baadhi ya mashabiki wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Mei 25, 2025 katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Kupitia taarifa hiyo...
  6. JamiiForums Tanzania Mama Mbona Ujaipongeza Timu ya Simba Kushika Nafasi ya Pili Kwenye Kombe la Shirikisho Mwaka Huu 2025?

    Inawezekana Mama amepitiwa kulikosababishwa na Majirani zetu wapendwa wa hapo Kenya!
  7. JamiiForums Tanzania Simba kaen kimachalee nimeota june 15 "Tunacheza" "Msijisahau mtanikumbuka hili

    WANASIMBA WENZANGU NAWAJULISHA JANA NIMEOTA KITU NA NAIONA DERBY YA JUN 15 IKICHEZWA NAWASHAURI MKAE KWA MKAO WA KUCHEZA JISAHAUNI...,,MTABEBBA 5
  8. N

    JamiiForums Tanzania Je , singida kupangasa kikosi dhaifu leo dhidi ya Simba kama walivyofanya dhidi ya Yanga?

    Hapa Sasa ndio tutajua matawi halisi ya nyuma mwiko.... Natarajia leo singida wapange kikosi kama walivyocheza na timu inayoitwa "wenye akili ni wawili tuu".
  9. JamiiForums Tanzania Mashabiki Wa Simba huenda wakawa ni Mashabiki wa ovyo kabisa hapa Afrika

    Kitendo hiki hakikubaliki popote.. Hawa wale rungu tu.. hakuna namna... UPDATE.. TAMKO LA CLUB YA YANGA..
  10. L

    JamiiForums Tanzania Fainali ya CAFCC 2025 ilikua ni baina ya Simba vs CAF.

    Moja Kwa moja kwenye pointi. Ilisemwa siku nyingi kua, Morocco Ina nguvu sana CAF, Ikasemwa sana Mmiliki wa RS Berkane ni Kiongozi wa Chama Cha soka Cha Morocco, Wakatiki huohuo yeye huyo ni Makamu wa Rais wa CAF, Na anatajwa kua ni mjumbe muhimu katika ngazi za Viongozi huko FIFA. Rais wa CAF...
  11. JamiiForums Tanzania SIMBA IFUNGUNGIWA KWA UTOVU WA NIDHAMU NTAPUMZIKA SIKU NNE BILA KWENDA OFISINI

    NIMEONA VIJANA WAMEANZA KUCHUNGIZWA KWA UTOVU WA NIDHAMU BERKANE WAMENIPA OFF SIKU MBILI SIKWENDA KAZINI LAKINI KWA HUU UJINGA WA SIMBA ZNZ NA UTOVU WA NIDHAMU NATANGAZA KUPUMZIKA AIKU NNE RASMI NIKISIKIA WAMEFUNGIWA NA CAF IWE FUNDISHO NA HTA KWA MASHIRIKISHO NA MABODI YANAYOBEBA UJINGA...
  12. JamiiForums Tanzania Bora tu simba hatujachukua kombe

    Hebu tafakari kama tungechukua kombe kila kiongozi wa serikali angeanza na neno gani kwenye huo ushindi. Nafikiri hata wachezaji wangesahaulika kupongezwa.
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mechi ya kesho Simba vs Singida inaenda kufunga midomo ya wanasimba wanaolalamika kuhujumiwa

    Update: Yametimia, ingida wamenyimwa Penati 2 Red Card za mchongo kwa Singida Singida kunyimwa penati Refa kuwapa simba penalty za kujidondosha Magoli ya offside dakika kuongezwa 15 Singida wakitaka kufunga ni offside
  14. JamiiForums Tanzania Simba kusanyeni ushahidi huu kuupinga ubingwa wa Barkane CAF na CAS:

    Hapo vip!! Ni wazi na Dunia imeshuhudia Simba ikiibiwa ubingwa na Refa,tena kwa ushetani wa hali ya juu..hili halikubaliki na Viongozi wa Simba simameni kidete juu ya hili. mazingira na ushahidi huu inatosha kumvua barkae ubingwa. 1.Kunzaia hatua na maamuzi ya CAF kumchagulia Simba uwanja wa...
  15. JamiiForums Tanzania MWAMUZI DEHANE ALIECHEZESHA FINA L YA SIMBA VS BERKANE ACHAGULIWA KUCHEZESHA KOMBE la DUNIA la VILABU MAREKANI....CONGS MWAMBA

    Mwamba dehane N MMOJA WA WAAMUZI WALIOCHAGULIWA KUCHEZESHA MECHI ZA MAREKANI KOMBE la DUNIA LA VILABU Mwambaaaa nyotaaa inazidi kungaaa
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kimeumana: CAF kufanya uchunguzi dhidi ya Simba SC na baadhi ya viongozi wake

    CAF KUFANYA UCHUNGUZI DHIDI YA SIMBA SC NA BAADHI YA VIONGOZI WAKE [emoji2073][emoji3544] Kwa mujibu wa taarifa za awali, Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limeanza uchunguzi rasmi juu ya matukio yaliyotokea kabla ya fainali ya mkondo wa kwanza na baada ya fainali ya mkondo wa pili ya...
  17. JamiiForums Tanzania Simba walisema medali bila kombe ni kama shanga tu, Yanga walivaa shanga sisi tunaleta kombe.. Mabati fc mpooo tujikumbushe

    BANA WEWEE USITUKANE MAMBA UJAVUKA MTU MSIKILIZEE MWAMBA ANAVYOSEMA YANGA WALIVAA SHANGA MEDALI BILA KOMBE KAMA SHANGA TUU WAO WANALETA KOMBEEE WAMEISSHIAA KUJA NA SHANGA ZILE ZILE LOH
  18. JamiiForums Tanzania Simba kufungiwa kushiriki mashindano ya CAF miaka miwili

    Kutokana na makosa ya kujirudia ambayo viongozi wa Simba na Mashabiki wamekuwa wakifanya. CAF itawapa Simba adhabu hiyo baada ya maonyo na faini ambazo wamekuwa walipewa Adhabu nyingine, Simba atatakiwa kulipa faini ya dollar million 1 Mashabiki wa Simba walifanya vitendo visivyo vya kiungwana...
  19. JamiiForums Tanzania Simba waliponzwa na mbeleko za ligi yetu, yaliyopita si ndwele.

    Tuwapongeze Simba kwa pale walipolifikisha taifa letu kisoka, kidemokrasia na kiuchumi. Timu zetu bado ni "feeder clubs" kwa timu za kaskazini lakini tumejotahidi kuivuta Africa na dunia kuelekea Tanzania kisoka. Simba tusitafute mchawi kulikosa kombe la CAF kwakuwa wachawi tunawafahamu wote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…