Tokea nianze kuifuatilia team ya Simba Ina udhaifu fulani especially Kama hautaipa space na kuwapress high wanapotea team nzima na ndio maana wanashindwa kupataga matokeo dhidi ya prison na hiki ndio kilichotokea wakatolewa na ud songo.
Kocha wa Yanga akichanga karata zake vizuri Kama mwanzo...