simba

  1. JamiiForums Tanzania Japo ni Mwana Simba 'kindakindaki' ila 'navutiwa' mno na Timu yangu ya Nyumbani kabisa Biashara United ya Mkoani Mara (Musoma)

    "Biashara United inaonekana imejipanga msimu huu ikiwa inajua timu 4 zitashuka mwisho wa msimu na kuna ushindani mkubwa kule juu ambapo kila mmoja anataka kushinda mechi zake. Hawajafungwa nyumbani mpaka sasa" Mchambuzi David Kampista' EastAfricaTV GENTAMYCINE nami nitoe Kongole ( Pongezi )...
  2. JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga: Kocha mpya aambiwe mapema

    Wasalaam Aambiwe kwamba 1. SIMBA SC is another level hapa VPL 2. Viwango vya wachezaji wa Yanga ni vya chini ukilinganisha vya wale wa Simba 3. Kwenye derby ya Kariakoo asijichanganye akachezesha free game kisa achezeshe pira biriani, atajuta (a) kuijua Simba (b) kuifundisha Yanga Mpelekeeni...
  3. JamiiForums Tanzania Ni nini mstakabali wa Bernard Morrison, Simba n yanga?

    Kwa wale wanaojua au walio na appropriate info, ninaomba nipate updates za progress ya kesi ya sakata la Morrison na waajiri wake. Asante
  4. Q

    JamiiForums Tanzania CCM itozwe faini kwa kuharibu uwanja kama Simba SC

    Uongozi wa uwanja wa Taifa wa Mkapa uliitoza faini klabu ya Simba baada ya mashabiki wake kung’oa viti vya uwanja huo, jana mashabiki na wanachama wa CCM wamefanya uharibifu mkubwa mbele ya mkiti wao rais Magufuli ambaye pia ni mgombea urais kupitia chama hicho. Tunategemea tamko la Uongozi wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ras Simba

    Jamaa anakula kodi zetu bure tu.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Washauri wa Rais Magufuli, mshaurini aache kutumia Kiingereza kwenye hadhara

    Rais Magufuli ni mtu anayependa Kiswahili na huwa anapambana sana kukidumisha na kukikuza lakini cha ajabu anapokuwa na wageni wasiofahamu Kiswahili, ana hulka ya kuongea kiswa-nglish. Kiingereza ni lugha ya malkia na ilikuja na meli kwahiyo ni vizuri akaongea lugha ya taifa inayoeleweka sababu...
  7. JamiiForums Tanzania Mechi ya kirafiki: Mashabiki wa SIMBA vs Mashabiki wa YANGA

    Natamani iandaliwe mechi hiyo iwe official kabisa pale kwa mkapa.. Wachezaji wawepo mashabiki kindakindaki wa timu hizo pendwa nchini..ikibidi ni wale tu ambao wana fahamika..yaani watu maarufu mfano ..viongozi wa kidini, kisiasa, kielimu nk. wasanii, waburudishaji, watu wa media, social...
  8. JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba na Yanga kuelekea Uchaguzi, Oktoba 18 kama wagombea urais wangeshiriki ingetumika kutunishiana umaarufu siasa za urais

    Moja ya sababu ya msingi ambayo TFF kwa kujua au kutojua kuhairisha mechi ya yanga na Simba kuelekea UCHAGUZI imesaidia Sana kuja kutumika kutunishiana kifua kwa wagombea wa Uraisi. Kwa bahati mbaya kabisa Mpira wa miguu hasa timu za Simba na yanga uhusishwa Sana na siasa. Ingawa haijulikani...
  9. JamiiForums Tanzania Mechi ya Taifa stars vs Tunisia tarehe 9/11 simba na yanga tarehe 7/11

    Ndugu zangu kama kichwa kinavyojieleza,, Tff wapo serious au mimi ndio sijaelewa?? Mechi ya Tunisia na taifa stars imepishana siku mbili Kati ya timu zenu kongwe,, sababu ilikua nini kuhairisha mechi in the first place??
  10. JamiiForums Tanzania Kama unajiuliza ni kwanini 'Mtanange' wa Yanga SC na Simba SC 'Umesogezwa' mbele 'ghafla' basi hizi ndizo sababu Kuu kabisa

    1. USHIRIKINA Tambueni ya kwamba katika Mechi hiyo (hii) Yanga SC ndiyo Mwenyeji na hakuna asiyejua kuwa Timu hizi Mbili (Vilabu hivi Vikubwa viwili ) ni 'Mabingwa' wa 'Ushirikina / Ndumbaism' na hata kwa 99% Matokeo ya Mechi zao huamuliwa na 'Majini' tupu na siyo Makocha, Wachezaji au Waamuzi...
  11. JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba ya Yanga yasogezwa mbele hadi Novemba 7

    Soka letu ni la ajabu sana
  12. JamiiForums Tanzania Mambo 10 ya Kukera/Kukereketa yaliyopo katika Klabu ya Simba ambayo TFF, CAF na FIFA iyatolee macho makali

    Mambo 10 ya Msingi yanayokera nliyoyaona katika team ya Simba 1. Nasisitiza TFF ifikirie kuongeza dakika matches za Simba. Najisikia vibaya sana kuona Simba inacheza mpira huu wa kwenye game, mpira dont touch my shoes, mpira burger, pizza, sambusa, biriani, juices, maziwa,asali e.t.c Inapangiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kinachofanywa na yanga ni zile stori za utotoni ntaenda kukusemea kwa mama muacheni Morrison acheze mpira Simba

    Hakuna haja ya kumgombania Morrison mmoja... Nachoamini vilabu vyetu vikubwa hapa nchini vinakosa scouting nzuri za kuibua vipaji maridhawa kutoka hapa hapa nchini. Yanga bwanaa Au kisa Ni ile pasi ya morisson kumpa chama na chama kumpasia mfungaji kwa kisigino. Natamani kuona vilabu vyetu...
  14. JamiiForums Tanzania TFF na Wizara ya Michezo mdhibitini Hajji Manara ndiye kichocheo cha chuki uhasama wa Simba na Yanga

    Wadau wa michezo toka enzi na enzi tunataniana na si kuvuka mipaka ya kuanza kutafutana matawi na kuanza kubomoleana vizimba vya matawi. Toka muda mrefu nimemfuatilia msemaji wa Simba kwa kauli zake yeye anaita za kukera ndizo chokochoko ambazo washabiki wa Simba nao wanazibeba kisha...
  15. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 VIDEO: Tundu Lissu akiwasalimu watu wa Nyamongo akiwa njiani kuelekea Serengeti. Ni baada ya kupigwa mabomu

    Serengeti kuna mgombea mwingine pasua kichwa wa CHADEMA aitwae Bi Catherine Ruge maarufu kama Simba jike wa Serengeti. Hapa Lissu akiwa Nyamongo ambapo atatua Serengeti muda mfupi ujao kunakotarajiwa maelfu kwa maelfu ya wananchi kumlaki.
  16. N

    JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga tarehe 18/10 itawezekana kweli?

    Naona kama kalenda ya kimataifa imebana hadi tarhe 17 na team kama simba ina wachezaji sita wa kimataifa wameitwa huko bado hapa ndani kwetu sijui itakuwaje? TFF waliliangalia hili, angalau wao utopolo wachezaji wao hawahitajiki huko kwao hata shikalo hahitajiki tena Harambee stars. Hata yule...
  17. JamiiForums Tanzania High quality ya Wachezaji ipo Simba SC

    Ndugu salaam.... Katika mambo ambayo mchezaji Benard Morrison aliyasema kuwa "Simba ni chuo cha soka" kweli nimekubali. Ebu mtazame Cloutas Chota Chama "Mwamba wa Lusaka THE MVP unapata wapi kipaji kama hiki ndani ya Ligi kuu Tanzania... Huyu ndie MCHEZAJI BORA MPAKA SASA HAPA NCHINI. >>Huyu...
  18. JamiiForums Tanzania 'Unafiki' huu sijauzoea japo ni mwana Simba SC tena 'lia lia' kabisa, jana tumecheza 'Mechi Mazoezi' na Green Warriors na Kufungwa je, mbona hatusemi?

    Mechi zote ambazo Klabu yangu 'pendwa' ya Simba SC imekuwea ikicheza hasa hizi zinazoitwa 'Mechi Mazoezi' tukishinda tu utaona katika Kurasa mbalimbali za Mitandao ya wana Simba SC na hata Klabu ya Simba huwa tunapewa 'Matokeo' haraka sana. Kwa mujibu wa Mtangazaji wa Clouds FM Shaffih Dauda...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Simba na Yanga hazichezi saa nane mchana?

    Nimekuwa najiuliza hili swali muda mrefu inakuaje hizi timu ndogo zichezeshwe mchana wa jua kali na hawa jamaa (Simba na Yanga) wasicheze? Je, ipo kwenye kanuni au ni utashi tu wa viongozi?
  20. JamiiForums Tanzania Jamhuri Morogoro: Mtibwa vs Simba hakuna mbabe

    Ukiwa ni mwendelezo wa vpl msimu wa 2020_2021 Simba anawakabili wanalamba lamba sukari toka turiani Je morson atafunga? Bocco atawaacha mtibwaa? Maufundi ya bwalya mguuni? Usikosee Update zitakuwa zinakuji Simba starting XI Manula Kapombe Tshabalala Onyango Kennedy Mkude Mzamiru Chama Morrison...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…