Klabu ya Simba haijatuma wawakilishi kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari kwaajili ya kuzungumzia maandalizi yake ya mchezo wa Derby ya Kariakoo dhidi ya Yanga Sc, mchezo unaotarajiwa kupigwa Kesho Juni 25, 2020 saa 11:00 jioni kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.
Ni utaratibu siku moja kabla ya...
🔮 Final Prediction:
🟢 Young Africans Sports Club is favored to win or draw, based on:
Match and name numerology (4)
Capricorn Moon (structure, defense)
Astrological support from Venus and Saturn positions
Strong advantage amplified by Sun in Cancer
Likely Score (intuitive reading):
Young...
Mechi hiyo kama itachezwa ,Yanga ataongoza kwa magoli la mapema kabisa,baadaye Yanga watapata penalt ya halali kabisa.mashabiki wa simba wataingia uwanjani na mchezo kuvurugika.
Mimi sio shabiki maandazi wala sio shabiki lia lia wa simba ila jana nimeota simba akiibuka na ushindi wa 3 bila.
Wanayanga mjiandae kwa lolote na msikariri kwamba mtaifunga simba mechi ijayo kisa mliwahi kuwafunga 5-1.
Mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC na Simba SC utachezeshwa na waamuzi kutoka nchini Misri.
Mwamuzi wa kati atakuwa Amin Mohamed Amin Omar, msaidizi namba moja ni Mahmoud Ahmed Abo El Regal, huku msaidizi namba mbili akiwa Samir Gamal Saad Mohamed.
Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC...
Kocha mkuu wa Simba amezungumza kuelekea mchezo wa Dabi nakumesema.." Labda watacheza kwa ajili ya sare, labda wataamua kubaki nyuma na kucheza kuipata sare maana bila shaka wakipata sare watakuwa mabingwa, na sisi tunahitaji kucheza kushinda (ili tuwe mabingwa)...
Hivyo utakuwa mchezo wa...
I will be short.
club world cup updated points ni points za caf champions league tu.
in short team za caf confederation cup hazipo.
hii ndo list za point accumulated for fifa 2029 club World Cup.
EVIDENCE LINK HII HAPA :
https://en.wikipedia.org/wiki/2029_FIFA_Club_World_Cup
Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!!
Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani?
Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza.
Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa)
Tazama hiyo video hapo chini...
act
babalevo
ccm
chadema
chawa
chuo kikuu
diamond
elimu
kusoma
mafwele
mtaani
mwanachuo
mwijaku
mzumbe
nyege
rais
samia
simba
singeli
tanzania
udsm
umoja
veta
vijana
wassira
wazalendo
yanga
zanzibar
Washabiki wa soka nchini ni mtihani mkubwa sana, wana uelewa mdogo sana wa mambo, juzi Ahmed Ally amewaambia washabiki wajazane na familia zao kuwaaga wachezaji kwa sababu itakuwa mechi ya mwisho kwao kucheza nyumbani, wengi wametafsiri kauli hii kuwa Simba inamaliza mechi kesho.La hasha...
Nina uhakika 💯 Simba hataleta timu
Vikao vya ndani vya Simba vimeshaamua kutokucheza Kwa sababu zifuatazo.
1. Kuonyesha msimamo wao.
Simba washataarifu umma kuwa hawatacheza tarehe ikibadilisha kutoka 15 June. Kucheza itaonyesha hawana msimamo
2. Simba wakikubali kucheza itaonyesha wamefuata...
Habari....
1. Sakata la Derby
Mechi ya watani wa jadi (Yanga na Simba) imekuwa na mvutano mkubwa.
Yanga wamepinga maamuzi ya Bodi ya Ligi (TPLB) na TFF, wakidai kuna upendeleo na hujuma.
Waligoma kucheza baadhi ya mechi, na waliwasilisha malalamiko yao hadi kwa viongozi wa serikali.
Hii...
Mchezaji wa Ken Gold Obrey Chirwa amesema kuwa kama Simba SC watacheza kama ambavyo wamecheza na Ken Gold kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga basi watafungwa lakini wakibadilika watapata sare
"Simba kama watacheza hivi kwa Yanga watapoteza ubingwa, Simba kama watacheza hivi kwa Yanga...
Wametupambania sana tangu waingie madarakani. Na sasahivi wapo ambao wamewajibika kupoteza nafasi zao sababu yetu.
Mbali na kutusaidia kupata ushindi tusiostahili kwenye mechi nyingi ila kubwa zaidi ni NAMNA WALIVYOJITOA MUHANGA ILE TAREHE 8 March. Bila wao ilikuwa zichukuliwe point 3 wapewe...
Ulitamka katika vitu unamuomba Mungu vile ni Simba na Yanga maana (sio kwamba huzipendi) ndizo zinatumiwa na serikali ya CCM kupumbaza watu wasijue haki zao bali warubuniwe.
Miongozo na kanuni za mpira duniani pote ni kuuweka mbali kabisa mpira na siasa.
Ndio maana tuliona vita kule Angola...
I salute you kinsmen.
Kila siku tunazidi kuona namna yanga inavyojitofautisha na vilabu vingine hapa nchini ..
Tunaona viongozi wa yanga wakiwa ni wasomi watupu na hawachoki kusoma kujiendeleza maarifa yao .
Baada tu ya kijana msomi Eng Hersi said ambaye ni Rais wa yanga na ACA alipokwenda...
I salute you kinsmen.
Huko simba hali mbaya wakuu msionr hivi .
Bundi ametua msimbazi!
Kwa sasa tajiri amesusa na hataki kutoa lolote lile, chanzo ni hasa viongozi waliokwenda dodoma na kukubali kucheza derby ambayo wanahofia wazi watagongwa na mavi yanagonga chupi..
Kulikuwa na mparanganyiko...
Zile mbwembwe za muwekezaji wa jezi, kujenga uwanja, mabweni na Basi la kisasa zimeishia wapi?
Misifa mingi na kujipa promotion. Hawa watu wanazitumia timu hizi kwa manufaa yao.
Ahadi kibao, hakuna hata nukta ametimiza. Pesa za kwenye makaratasi tu. Hazina ukweli.
Baada ya suluhu ya mgogoro wa derby huko Ikulu Dodoma umekuwepo mgogoro mkubwa kwenye timu ya Simba
Bodi ya Simba na mdhamini mkuu Mo Dewji hawakufurahia uwakilishi wa viongozi wa Simba ambapo wengi walikuwa wazee wa Simba akina Dalali na Hasanoo
Wazee hao wa Simba hawakuwa na hoja au matakwa...