point mpya za fifa club world cup 2029, simba aipo top 10

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,329
Reaction score
4,203
I will be short.

club world cup updated points ni points za caf champions league tu.

in short team za caf confederation cup hazipo.
hii ndo list za point accumulated for fifa 2029 club World Cup.

EVIDENCE LINK HII HAPA :

Screenshot_20250622_013450_Chrome.jpg
Screenshot_20250622_013437_Chrome.jpg
 
Mashindano ya CAF Shirikisho hayatumiki katika kuhesabu point za kwenda Club World Cup.

Kwa kuwa msimu huu ni wa kwanza katika ile minne itakayotumika kutafuta washiriki wa Club World Cup 2029 ndiyo maana Simba haipo pamoja na kwamba imekwenda hadi fainali ya CAFCC.

Ukweli ni kwamba mpaka sasa Simba haina point hata moja ya kuipeleka mashindano hayo kwa sababu msimu huu haijashiriki katika mashindano ya CAFCL yanayotumika kuhesabu point hizo za kufuzu.
 
Hizi ni zako!

Za kwetu za akina WACHAMBUZI sisi tunashilka nafasi ya 4!
 
Source ya mchongo.

Hilo kombe la FIFA club world cup linachezwa kila baada ya miaka minne, how sure kuwa Simba Sc haitashiriki mwaka 2029 huko.
 
Wanaangalia timu iliofanya vizuri miaka mi nne ilio pita kwaio sisi kama simba na YANGA tutulize mshono tu coz huu mwaka 2025 timu zetu azijafanya vizuri uko atuwezi kwenda Yanga kaishia makundi simba ajacheza kabisa
 
Kabisa. Upo sahihi, hizo points za kubumba zinasaidia nini hapo juu huu mwaka 2025 kama sio kujifariji na hesabu za kichwani!
 
izoo point zilizo andikwa apo ni zile point ambazo mtu alizikusanya kuanzia hatua ya mtoano wa awali akapita akaja mtoano wa pili akapita akaja makundi akaja robo akaja nusu kaja final yenyewe ndio izo point unaona apo zimeandikwa kwaio YANGA anapoint 11 tu huu mwaka 2025 kwasababu aliishia makundi na simba humuoni apo kwasababu akucheza klabu bingwa amecheza shilikisho
 
Utopolo hizi nafasi za Simba zinawauma sana..kwa kuishia makundi vile mtazisikia tu kwenye mitandao
 
Kaka izii ni lank za world cup sio lank za CAF izii ni lank kwaajili ya world cup 2029 ingikua lank za CAF sawa makolo wapo nafasi ya 4 lkn izii sio lank za CAF ninza FIFA izoo kwenda ukoo lazima ujioange vizuri
 
izoo point zilizo andikwa apo ni zile point ambazo mtu alizikusanya kuanzia hatua ya mtoano wa awali akapita akaja mtoano wa pili akapita akaja makundi akaja robo akaja nusu kaja final yenyewe ndio izo point unaona apo zimeandikwa kwaio YANGA anapoint 11 tu huu mwaka 2025 kwasababu aliishia makundi na simba humuoni apo kwasababu akucheza klabu bingwa amecheza shilikisho
Nimekuelewa vema, kwa hiyo watakuwa wana-post kila mwaka kwa washiriki wa CAF champions league ili ikifika mwaka 2029 zile timu 5 zenye point nyingi zaidi zishiriki FIFA CLUB WORLD CUP. Nimekupata
 
Basi kwa kutumia common sense tu ni kwamba kila mwaka watazihesabu points na hatimaye kukaribia 2029 watawachukua walio na points nyingi na si eti points za 2025 ndio zitatumika kuamua mashindano ya 2029.

Miaka minne mingi..Unajuaje kama mpaka muda huo kuna timu zitakua zimpotea kwenye ramani ya soka?
 
Nimekuelewa vema, kwa hiyo watakuwa wana-post kila mwaka kwa washiriki wa CAF champions league ili ikifika mwaka 2029 zile timu 5 zenye point nyingi zaidi zishiriki FIFA CLUB WORLD CUP. Nimekupata
Hapana sio kila mwaka hao wanne walio fanya vizuri mwaka huu ndio watakao kwenda kushiliki io 2029 kwaio sisi kama YANGA na SIMBA tujipange tufanye vizuri mwaka 2029 ilii tukashiliki mwaka 2033 wanacho angalia myaka nne ilio pita timu gan zilifanya vizuri ndii zinakwenda kwaio walio fanya vizuri 2025 watacheza 2029 watakao fanya vizuri 2029 watacheza 2033 io world cup
 
Hizo points ni za msimu wa 2024/2025 suala la kusema Simba Sc haipo ni uzwazwa maana haijashiriki CAF champions league msimu huu.

Ila zile overall points za CAF ambazo huamua timu ipi inaanza round ya 1 na ipi inaanza round ya 2 zipo palepale. Simba Sc ipo top 5 na itaanzia round ya 2 ya mtoano kisha kuingia makundi wakati Yanga itaanza round ya 1 ili kufuzu kuingia makundi.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom