simba

  1. Kuifuta CHADEMA au CCM ni sawa na kutaka Yanga ishuke daraja ibaki Simba

    Investment kubwa hapa dunian nikuwekeza katika watu. Chadema haitoweza kufutika hapa Tanzanian kama ilivyo CCM hivi vyama, vitamake headlines mpaka mwisho. Just imagine hawako bungeni lakini bado ni threat kwa serikali ya CCM. Pendekezo amani ya nchi inabidi kupewa kipaumbele kwa kutoa Haki...
  2. Kati ya Haji na Barbara nani hapa kazichanga vyema karata zake na yupi kajimaliza na atajutia milele?

    Je, ni Haji Manara ambaye baada ya Kuuamisha Umma kuwa anaonewa hivyo alitamani Simba SC ifungwe majuzi ili aje Kummaliza vyema Adui yake Kisha akaendelee zake Kupiga Pesa ASAS Diary, Azam Products na GSM au ni CEO Barbara Gonzalez ambaye pamoja na Shutuma zote alizopewa ila alichagua Kunyamaza...
  3. C

    Simba yaachana na Haji Manara, Ezekiel Kamwaga ateuliwa kukaimu nafasi ya Msemaji wa Simba

    ====== Hajj Manara mwisho wake ni leo, Gsm poleni sana yuda iskarioti is out, Ezekiel ni kama vile anapewa miezi miwili ya transition ili kuendeshwa kitofauti na kusafisha u snitch ulisababishwa na tamaa za kuchukua mahela ya kuishi kifahari mjini. ===== BAADA ya maneno mengi bila vitendo...
  4. Haji Manara acha Kufanya Wana Simba SC wote ni 'hopeless' kama ulivyo

    Hakuna Mtu wa Simba SC hasa hao Viongozi uliowataja wakiongozwa na Salim "Try Again' Wala Nahodha wa Simba SC John Boko aliyekushauri kuwa usifanye ile Press Conference yako uliyoiahidi bali dhamira inakusuta na roho yako ya Kinafiki inakutesa. Kama hawa uliowataja hapa unawaheshimu na...
  5. Zahera aliadhibiwa kuvaa pensi; Morrison kavaa chupi hajaadhibiwa. TFF mnaiogopa Simba?

    Huu ni upumbavu kabisa! Aliekuwa kocha wa Yanga Mwinyi Zahera aliadhibiwa kwa kuvaa pensi Kitendo cha Morrison kubaki na chupi nilitaraji kusikia Waziri husika, BMT na TFF vikikemea tendo lile Mpaka sasa hakuna aliyeamka kuongelea inasikitisha sana sana Unawaza shida n isimba ama shida ni...
  6. C

    Mechi ambazo Simba iliifunga Yanga ikiwa pungufu

    woyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo...
  7. M

    Yanga SC Kuamini sana Ushirikina na Kuuabudu Kumeigharimu leo Kigoma na itawagharimu hata wakicheza Klabu Bingwa

    Watu wa Mpira tunajua na Taarifa tulizipata tokea mechi ya tarehe 3 July, 2021 Klabu ya Yanga ilituma Washirikina wake kwenda Kigoma kwa ajiri ya Kuirogea Mechi ya leo ambayo wamefungwa na Simba SC. Hakuna asiyejua kuwa Klabu ya Yanga Wiki Moja kabla ya hii Mechi ya leo ambayo wamefungwa na...
  8. Inaumiza sana! Simba wanabeba Makombe Yanga tunambeba Hersi

    Sisi Yanga Mzee Mpili katuroga kabisa. Msimu Huu tumembeba Hersi Ona Sisi Wao Simba walivyobeba Msimu huu.
  9. Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

    Ule muda wa lawama umewadia. Akili, macho na masikio yote kwa sasa yameelekezwa Kigoma ambako leo Jumapili, kunapigwa pambano la fainali ya Kombe la Shirikisho (ASFC) baina ya Yanga na Simba itakayochezwa katika Uwanja wa Lake Tanganyika. Shilingi yako iko upande gani? Kuwa nami kuanzia Saa...
  10. Yanga 6 Simba 1

    Hamjambo Wana wa JF, kulingana na kichwa cha uzi huu hiyo ni ndoto niliyoota usiku wa kuamkia leo tarehe 25, nimeona ubao mkubwa Sana wenye maandishi manene "Yanga 6 Simba 1" . Naomba asitokee mtu kunihukumu hiyo ni ndoto tu,nawatakia jumapili njema.
  11. Nini kitatokea Msimbazi kama Simba akifungwa leo?

    Habari wakuu, Kwa hali iliyokuwepo wiki nzima kwa baadhi ya viongozi wa klabu hii kupishana maneno hadharani hasa kuelekea game nzito ya fainali inaonyesha hali sio shwari sana. Unahisi nini kitatokea endapo Simba Sc atafungwa na Yanga kwenye game ya fainali ya leo?
  12. Bila Rais kuwepo uwanjani Simba haiwezi kuipiku Yanga hata ikishinda mechi.

    Sijasikia kama na Rais wetu ndiye atakuwa tena mgeni RASMI fainali ya FA Kigoma. Simba ilifungwa mbele ya mkuu wa nchi ambae hatakuwepo kwenye mechi Kigoma. Hii Itayafanya maumivu ya kufungwa yasiwe makubwa sana kama ya tarehe 3 July. Sijui kama hili wanalifikiria
  13. KARMA: Manara uliwanyea wenzio nje ya Simba, leo klabu imekukataa wenzako nao wamekuacha unyewe

    Kwa ufupi tu, Kuna wasemaji na wahamasishaji wengi wa Vilabu vya michezo hapa Nchini kuanzia Masau Bwire, Bumbuli, Nuggaz, na wengineo. Hawa wana jukumu kubwa la kuhamasisha mashabiki, kujenga mahusiano na klabu zingine, kujenga mahusiano jamii ya habari na taaasisi zingine nje ya mpira. Pia...
  14. Simba SC Mabingwa wa Kombe la shirikisho kwa mara ya pili mfululizo

    Wasalaaaam wakuu Mimi ni mdau na shabiki wa Yanga mkubwa sana ila kwa ndoto nilizopata usiku wa kuamkia leo ni taswira halisi ya kitakacho enda kutokea huko Kigoma katika fainali ya kombe la shirikisho Tanzania baina ya mahasimu wakubwa na watani jadi Yanga na Simba Ndoto ya kwanza nilianza...
  15. Simba vs Yanga: Kinachoenda kutokea kesho Kigoma

    Wao wasioamini kinachoenda kutokea keshooo Kigoma. Wale wa betting mnaweza kula hela hii. Htft Yanga/Yanga, ama htft Simba/Yanga Red kad itakuwepoo kuwaondoa mchezoni Yanga Lakini ft Yanga ataibuka na ushindi Wafungaji wa Yanga n kati ya hawa Mukoko Kaseke Yakubu Kipndi cha pili ni kibaya...
  16. T

    Thobias Andegenye: Mechi ya Simba vs Yanga wote wavae barakoa, hata uwanja ukifurika

    Mashabiki elfu 17 pekee ndio wataruhusiwa kuingia ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma, kushuhudia mpambano wa watani wa jadi Simba na Yanga siku ya Jumapili. Mkuu wa mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amesema wamepunguza idadi ya mashabiki kuingia ndani ya uwanja ili kuthibiti...
  17. M

    Haji Manara nakuonya mapema usifanye hiyo Press Conference yako ya Kuwachafua Waandamizi wa Simba SC wiki ijayo

    Nasikia unapanga kufanya Press Conference yako ya Kutapika Nyongo yako dhidi ya Simba SC hasa Watendaji wake kati ya Jumatatu au Jumanne ijayo. Nami pia nakuonya mapema sana just ya hili kwani ukitekeleza hii adhma yako utakuwa umekaribisha Mashambulizi hatari ya Kiyahudi dhidi yako. Wakati...
  18. UTABIRI: Kuna uwezekano mechi ya Simba na Yanga ikaahirishwa

    Habari wadau Tukumbuke tarehe 25/07/2021 kutakuwa na mechi kati ya Simba na Yanga utabiri wangu unanambia hii mechi inaweza isichezwe. Sababu ni hali ya Corona nchini iwapo serikali kupitia wizara itaamua kuchukua tahadhari zaidi kuzuia maambukizo, ukizingatia mechi itapigwa Kigoma ambako rate...
  19. Hans Pope: Manara hataki kusaini mkataba ambao atalipwa milioni 4

    Hans Pope ameeleza sababu za Manara kukataa kusaini mkataba na Simba ambao ni mil 4 akiogopa kujifunga kwani unamkataza kufanya kazi na kampuni zingine nje ya Simba.
  20. Simba SC tafadhali hili la Yanga SC Kumkataa Mwamuzi wa ASFC Final Ahmed Aragije liangalieni 'Kiujasusi' zaidi

    Kwa Taarifa ambazo nimezipata na GENTAMYCINE naendelea Kuzithibitisha ni kwamba Kitendo hiki cha Yanga SC Kumkataa Mwamuzi (Referee) Ahmed Aragije kutokea Mkoani Manyara kina Fumbo kubwa na Mtego kwa Simba SC. Nimedokezwa (za chini chini) kuwa kutokana na Yanga SC (hasa kupitia Mdhamini wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…