simba

  1. JamiiForums Tanzania Kata Funua Aliyopigwa Simba SC pale Kwa Mkapa na Makhirikhiri, Mo Dewji Alaumiwe?

    Mnaweza Kuwalaumu Wachezaji, lakini kwa ubora ule wa wakina Sakho, Kanoute na Banda ni vigumu sana kwa mtu mwenye akili kichwani kutarajia makuu kutoka kwao. Mnaweza kumlaumu kocha lakini kwa wachezaji alioletewa na Mo Dewji...anakosewa heshima. Licha ya kuwa Didier GOMES sio mwalimu mwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Hali tete Simba: Mo apaniki tena, aushinikiza uongozi uchukue hatua kwa mechi ya leo

    Bilionea Mo ametoka ku-tweet muda si mrefu, Wana Simba mnasemaje? Hali tete
  3. JamiiForums Tanzania Simba Sc ikipigwa nchi hutulia.

    Mitaaani kuanzia kariakoo Msimbazi hadi mitaa ya huku kwetu huwezi kusikia makelele. WanaSc punguzeni makelele mnaposhinda hasa mkipata kabao komoja.
  4. JamiiForums Tanzania Cult following au tatizo la afya ya akili: Jinsi Biashara wanavyoshambuliwa na mashabiki wa Simba na Yanga

    Inashangaza kwa kweli. Yaani sasa hivi watu wamejaa mihemko tu na kuabudu watu fulani tu. Yaani wanatamani kama team ya mpira inayofanya vizuri iwe Simba au Yanga. Kama ni msanii, wanataka awe msanii wao tu Alikiba, Harmonize, au Diamond Kama ni siasa wanaamini mtu wao yeye ni malaika...
  5. JamiiForums Tanzania Suggestion formation ya Match ya leo Simba vs Galaxy

    Simba ni kama maji. Ndio team pekee inayotung'aalisha kimataifa. Ninaweka mapendekezo yangu ya formation ya leo. Lengo ni kwamba leo tunataka kufunga mengi.
  6. JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba ni saa ngapi?

    Hii mechi inaanza saa ngapi. Tuambiane jamani wengine tunaishi vijijini. a.k.a shibekijijini
  7. JamiiForums Tanzania Simba mlichowafanyia biashara sio poa

    Mmefanikiwa kuwahujumu wasisafiri kwenda Libya kisa waliwabana mkatoka droo. Mna ushaidi gani yanga alitoa pesa kwamba Simba afungwe na biashara? Kwa kuwatumia watu wa kushughulikia vibari mmechomeka rushwa ili wakwamishe vibari vya kusafiri? Mtu wa Kwanza aliyeihujumu Biashara Ni Rais wa TFF...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Biashara United nje mashindano ya CAF. Hatarini kufungiwa, Mlezi yuko wapi? Jasho la Simba lapotea bure

    mlezi anaweza kutafuta milioni 15 fastafasta kwenye mechi vs simba(hata kama ni za wauza magodoro) ila kwenye issue muhimu akihojiwa anakuambia siwezi toa hela zangu za mshahara sasa pre match meeting huko benghazi libya imemalizika , Baadaye AHLY TRIPOLI wanaingiza team uwanjani watakaguliwa...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Audio: Mwijaku oyeee, hatimaye lisukule lamjibu Mwijaku, lakiri liliajiriwa simba

    Kudadadadeeeki Mwijaku oyeeeeeeee shikilia hapohapo hapo hapoooooooo Mwijaku kasababisha sukule lopolopo la dunia kukiri kwamba liliajiriwa simba jamaa ni BIPOLAR CASE last week lilitoa mkwara kwamba linafungua case kwa kufanyishwa kazi bila kuajiriwa leo linakiri kwamba limeajiriwa kwenye...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za uhamasishaji wa Mwijaku Simba

    Nianze na hasara sababu ni nyingi: *Tofauti na kale ka dada, Mwijaku hajui mpira ni shabiki hoyahoya ukimuambia akuachambulie hata formation za mpira ni debe tupu. *Ni lolopolopo haswa halijui kuchuja maneno hana tofauti na lile tambara tulilolitupa *Akili yake ni kujikweza yeye na kutaka...
  11. JamiiForums Tanzania Akiwa hajamaliza saa 24 tangu apewe uhamasishaji Simba SC, tayari Mwijaku ameanza 'kumchefua' Murtaza Mangungu

    Ukiona akina GENTAMYCINE wanamkataa Mtu jua ya kwamba huwa hatukosei kwani wengine tumeshabarikiwa Maono ya Kifalsafa na Mwenyezi Mungu. Wakati nikimkataa mapema tu Mhamasishaji Mkuu mpya wa Simba SC 'Samjo Samjo' Mwinjaku muda si mrefu Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu amekasirishwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Yaani kabisa Try Again, CEO Barbara na Chairman Mangungu mmeamua mumteue 'Samjo Samjo' Mwinjaku kuwa Mhamasishaji Mkuu wa Simba SC?

    Yaani kwakuwa tu alitumia mwanya wa Ugomvi wa aliyekuwa Msemaji wetu Haji Manara na kuanza Kumjibu kisha akaanza Kujipenyeza kwa CEO Barbara, Siku ya Simba Day akahonga 'Stewards' pale kwa Mkapa ili aende VVIP akapige Picha na Mwekezaji Mohammed Mo Dewji kisha akautumia ukaribu wa Kibiashara wa...
  13. JamiiForums Tanzania Simba sc tunajambo letu

    Kuna kasumba inayoendelea ya kuusu mwijaku kupewa kitengo cha huamasishaji watu kubeza naona kama wanakosea yule ni mwahamasishaji na wala si afisa habari wa timu. Kwa mpira wa bongo ulivyo tunaitaji watu kama hawa ili game ichangamke timu inaitaji hamasa naona kwa Mwijaku nafasi hiyo kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Simba Sc yafunika vigogo wenzie ugenini

    Kama mechi za round ya kwanza ni timu 3 tu zilizopata matokeo ugenini. Kama hujui nakujuza kwamba timu zilizocheza ugenini ndio timu bora kuliko wenyeji, ndio maana miongoni mwao timu 10 zimeanzia hazikucheza preliminary stage. Katika timu hizo Simba Sc imefunika zote ikifuatiwa na Raja...
  15. JamiiForums Tanzania Simba sasa hivi inacheza mpira makande

    Nawasalimia wana Msimbazi wenzangu! Nimesikitishwa na mpira unaochezwa na timu yetu pendwa ya Simba (Lunyasi), timu siku hizi inacheza mpira mbaya sana, mpira makande, magoli yetu yenyewe yanapatikana kipapatupapatu kama ya utopolo. Leo nimeona takwimu eti Simba katika mechi 2 za ligi ndo...
  16. JamiiForums Tanzania Hongereni Simba SC kwa 'Kutuheshimisha' Watanzania na Biashara United FC kwa 'Kutung'arisha' wana Mkoa wa Mara (Musoma)

    Hamjatutangaza vibaya Watanzania na Tanzania ya sasa ya Rais Samia kama 'Wendawazimu' wengine ambao Furaha yao na Ubingwa pekee walionao ni Kukusanya Waganga wa Kienyeji nchi nzima, Kukata Kiganja cha Mtoto Mkoani Tanga na kwenda Kuroga eneo hatari la Nungwi kwa Msaada wa Boti ya Taasisi Moja...
  17. JamiiForums Tanzania Simba SC kufungwa goli moja

    Be Sports wameonyesha utabiri wa Simba kupoteza mechi ya leo. Najua Yanga wataisapoti analysis hii na Simba fans wataiponda na hii ndio raha ya mpira duniani
  18. JamiiForums Tanzania Azam Tv, Simba SC na Watangazaji wa Michezo Redioni mnatuchanganya kuhusu Muda wa Mechi ya Simba SC na Wabotswana leo

    Azam Tv katika Ukurasa wao wanasema Mechi ni Saa 9 Alasiri leo. Simba SC katika Kurasa zao wanasema Mechi ni Saa 10 Jioni leo. Watangazaji wa Vipindi vya Michezo Redioni wamegawanyika wapo wanaosema ni Saa 10 na wengine wakisema ni Saa 9. Tafadhali mwenye uhakika Kamili wa muda wa Mtanange (...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa kikosi Cha Simba kilichosafiri hii ndio 11st yangu kesho

    Aishi Manula Kapombe Zimbwe jr Wawa Kenedy Lwanga Mzamiru Bwalya Morrson Ajibu Bocco Mfumo 4-2-3-1 Second option Aishi Manula Kapombe Wawa Onyango Zimbwe Inonga Lwanga Kanute Morrson Bwalya Bocco 3-5-2. Morrson na Bocco washambuliaji
  20. C

    JamiiForums Tanzania Uzembe wa simba kuhusu ulinzi wa CEO Barbara utawagharimu, acheni mazoezi ya wazi kila siku

    kuna kitu sijajua hadi leo simba kinanishangaza, sijui ni uzungu mwingi au vipi? kwanza ni kwanini mazoezi ya simba kila siku ni ya wazi? si muende hata Gymkhana palipojificha? Huyu CEO kule zanzibar watu walimshika matiti na makalio akakimbilia polisi hadi leo kesi hakuna na kwa sasa maadui...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…