simba

  1. JamiiForums Tanzania Matola aongezewe mshahara Simba

    Kazi ya Kwanza ni majukumu yake kama kocha msaidizi Kazi ya Pili ni kutuliza mashetani ya Pablo. Pablo is so much in touch with his femine side yaani kajamaa kanakasirika kasirika Kila saa ili kabembelezwe utafikiri ka Manzi. On a serious note: Kuna uwezekano mkubwa Sana Pablo akawa crack...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mvutano benchi la ufundi Simba: Je, wachambuzi wako sahihi?

    Mara baada ya kumaliza mchezo kati ya Simba v/s Mbeya City, wachambuzi wa Azam Media walubainisha hii nukta, pamoja na mambo mengine ya kitaalamu lakini hili walilibainisha. Kwamba benchi la SSC kuna shida, hasa yanapofanyika mabadiliko ya mchezaji ni kama kuna kutoelewana. Mifano ya kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Huwa nafurahi sana Simba na Yanga zikipata matokeo halali

    Habari zenu wana Michezo.Mimi siyo mchambuzi wa mpira ila ni mpenzi mtazamaji tu. Leo Simba kabanwa mbavu,bahasha haijasaidia,Mmadrid nae kachemka.Tulikubaliana na GENTAMYCINE kwamb Pablo akiishiwa mbinu basi atakuwa anampigia simu ZIDANE ili ampe mbinu mpya,bahati mbaya leo simu ya ZIDANE...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kama Simba iilivyoangukia pua mbele ya Mbeya City leo, ndivyo ambavyo siku ya siku, chama dola kitaanguka kutoka madarakani hata wakibebwa na dola

    Leo tumeona jinsi Refa alivyojitahidi kuwabeba Simba lakini haikusaidia. Kama ilivyotokea kwa Simba, ndivyo itakuja kutokea kwa chama dola siku ikifika ambapo hata wakibebwa, mwisho wa siku waatanguka tu na kuachia madaraka. Siku hiyo ikifika, itakuwa hivi: Nguvu ya umma itakuwa kama wachezaji...
  5. JamiiForums Tanzania Fainali waliyocheza Simba SC 1993 siyo shirikisho

    Kuna watu wanaeneza uongo kwa kudai kuwa CAF CUP waliyofika fainali Simba ndiyo Shirikisho leo hii Siyo kweli. Mwaka 1993 barani Afrika kulikuwa na mashindano aina tatu 1. Kulikuwa na Champions Cup (Sawa na klabu bingwa leo hii) ambapo Tanzania iliwakilishwa na Malindi kama Bingwa wa Ligi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Linganisha rekodi hizi za Simba na Yanga

    1. YANGA ndiyo timu ya kwanza Tanzania kucheza mashindano rasmi ya CAF walicheza klabu bingwa mwaka 1968 wakati simba ndiyo timu ya kwanza kupanda ndege mwaka 1963 walienda Ethiopia kwa mwaliko wa Rais wa nchi hiyo kucheza ndondo. 2. YANGA ndiyo timu ya kwanza kutinga robo fainali ya CAF...
  7. JamiiForums Tanzania Comfirmed: Aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba atua Yanga SC

    KOCHA WA MAKIPA WA SIMBA[emoji881] MBIONI KUJIUNGA NA YANGA SC[emoji617] Taarifa za ndani kabisa zinasema kuwa Yanga SC [emoji617] inakaribia kumnasa kocha wa zamani wa Simba[emoji881], Mbrazil Milton Neinov[emoji1054] ambaye alikuwa kocha wa magolikipa kipindi cha utawala wa Didier...
  8. JamiiForums Tanzania Kombe la mapinduzi kwanini penati waliyopewa simba kwa Azam haikuwa sawa?

    Dhamira ya mchezaji sakho kwa kipa wa Azam haikuwa Safi. Kama kigonya asingejilinda kwa mguu wake huenda Leo hii angekuwa Yuko mortuary. Speed ya sakho kuelekea kwa kipa ilikuwa kubwa sana hata pale alipoona kipa ameshaudaka mpira. Alidhamiria kwenda kugongana na kipa hata kama mpira uko...
  9. JamiiForums Tanzania Yanga sio mabingwa wa kihistoria (Simba yupo 22 na Yanga pia)

    Leo nimejaribu kufuatilia documents kila kona nimekuja kupata taarifa kuwa yanga yupo na makombe 22 ya ligi huku simba hapo awali alijulikana Sunderland naye yupo na makombe 22 ya ligi. Nashindwa kuelewa yanga anajiita bingwa wa kihistoria kwa kigezo kipi!? RECORD HII HAPA Dar es Salaam League...
  10. JamiiForums Tanzania Wakati Simba ikimtangaza Chama, Yanga yamtangaza Ibrahim Bacca Kutoka KMKM Zanzibar

    Wanayanga hawataki kushindwa kwa chochote na Mnyama mkali mwituni. "The Simba SC" a best soccer club in East and Central Africa, ikijitosa kumsajili Chama, huku team ya Yanga yenye maskani yake mtaa wa jangwani unaojulikana kwa kuwa na mafuriko kila mwaka, imemtangaza beki kutoka KMKM Zanzibar...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga yapinga ujio wa Chama simba, huku ikikenua mimeno ujio wa makambo

    Kweli nimeamini Yanga akili zao zipo kwenye Nyuma Mwiko pekee yake. Jinsi wanavyotumia nguvu nyingi kupinga ujio wa Chama. Kwenye mitandao na vibanda umiza wamejazana mashabiki wa yanga wakimlinganisha mwamba wa Lusaka na digi digi wa Kongo. Hawa wanayanga ya kwao tayari yamewashinda, hawataki...
  12. JamiiForums Tanzania Huyu msemaji mpya wa simba ni kituko kwa kweli

    Utadhani rufufu
  13. JamiiForums Tanzania Formation ya Simba kulingana na Mechi kwa sasa(Pablo ana option ya kuchenza aina tofauti tofauti ya mpira)

    Simba kwa sasa ni timu kubwa sana ukanda huu. Kikosi cha simba ni kipana. Kila namba ina watu wasiopungua wawili. Ninaanza kuleta kikosi na formation yake kulingana na uhitaji. Tunaanza na 4-2-3-1. Tukiwa tunacheza kwa namna ya kawaida.
  14. JamiiForums Tanzania Chama anaenda kuchukua nafasi ya nani Simba?

    Ukiangalia kwa jinsi Simba ya sasa inavyocheza, mfalme wa zamani wa timu hiyo Chama ambaye atatambulishwa muda wowote kuanzia sasa, je ni nani atampisha Chama kwenye kikosi cha kwanza? Vipi nafasi ya Pape Sakho haipo shakani kweli?
  15. JamiiForums Tanzania Nilichogundua kutoka kwa mwamuzi Nassir Salim (Azam FC vs Simba SC) fainali ya Mapinduzi Cup

    Mwamuzi Nassir Salim wa Zanzibar aliyechezesha fainali ya Kombe la Mapinduzi kati ya Azam FC na Simba SC hakuwa na ufahamu kuhusu sheria ya mchezaji kurudisha mpira kwa golikipa wake. Mwamuzi huyu alikuwa anajua kwamba mpira wowote uakaorudishwa na mchezaji kwa golikipa wake ni faulo. Alifanya...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini rais Mwinyi hakuwa na furaha wakati anawakabidhi zawadi simba?

    Tazama sura yake
  17. JamiiForums Tanzania Je, Simba SC isingechukua 'Ubingwa' huu wa '2022 Mapinduzi Cup' Yanga SC Kesho ingefanya 'Press Conference' yake?

    Poleni mno Yanga SC na najua huu Ubingwa wa Simba SC Mapinduzi Cup hii ya 2022 Umewaumiza sana tu. Na najua pia kuwa Kesho mmeitisha Mkutano Wenu na Waandishi wa Habari kwa Mkakati wa Kipropaganda zaidi. Hakuna asiyejua kuwa tokea mmetolewa Mapinduzi Cup huko Yanga SC hakulaliki na Mashabiki...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Hivi hapa vifaa vipya vya Simba Sc

    Nawaonea huruma sana Yanga,
  19. JamiiForums Tanzania Formation ya leo ya Simba kupambana na Azam Mapinduzi cup (4-2-3-1)

    Timu kubwa timu la ushindi. Formation kuwaua Azam. Mchezo wetu ni dakika 90 tutakuwa tumeua mtu. Mambo ya matuta ni uto kuleee!
  20. JamiiForums Tanzania Simba SC haijawahi kutaka kumwacha Messi wa Msimbazi a.k.a Sakho

    Napenda kuliweka wazi swala hili baada ya kuona watu na wachambuzi wengi wakidai Simba SC ilitaka kumwacha Sacko sababu ya majeruhi! Ukweli ni kwamba wachambuzi wetu wa Bongo ndio wanafiki, washindiliaji na wahamasishaji tena wachonganishi....... etii Sacko hanauwezo, mara kiwango chake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…