simba

  1. President of China

    JamiiForums Tanzania Yanga yapinga ujio wa Chama simba, huku ikikenua mimeno ujio wa makambo

    Kweli nimeamini Yanga akili zao zipo kwenye Nyuma Mwiko pekee yake. Jinsi wanavyotumia nguvu nyingi kupinga ujio wa Chama. Kwenye mitandao na vibanda umiza wamejazana mashabiki wa yanga wakimlinganisha mwamba wa Lusaka na digi digi wa Kongo. Hawa wanayanga ya kwao tayari yamewashinda, hawataki...
  2. Little brain

    JamiiForums Tanzania Huyu msemaji mpya wa simba ni kituko kwa kweli

    Utadhani rufufu
  3. President of China

    JamiiForums Tanzania Formation ya Simba kulingana na Mechi kwa sasa(Pablo ana option ya kuchenza aina tofauti tofauti ya mpira)

    Simba kwa sasa ni timu kubwa sana ukanda huu. Kikosi cha simba ni kipana. Kila namba ina watu wasiopungua wawili. Ninaanza kuleta kikosi na formation yake kulingana na uhitaji. Tunaanza na 4-2-3-1. Tukiwa tunacheza kwa namna ya kawaida.
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Chama anaenda kuchukua nafasi ya nani Simba?

    Ukiangalia kwa jinsi Simba ya sasa inavyocheza, mfalme wa zamani wa timu hiyo Chama ambaye atatambulishwa muda wowote kuanzia sasa, je ni nani atampisha Chama kwenye kikosi cha kwanza? Vipi nafasi ya Pape Sakho haipo shakani kweli?
  5. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua kutoka kwa mwamuzi Nassir Salim (Azam FC vs Simba SC) fainali ya Mapinduzi Cup

    Mwamuzi Nassir Salim wa Zanzibar aliyechezesha fainali ya Kombe la Mapinduzi kati ya Azam FC na Simba SC hakuwa na ufahamu kuhusu sheria ya mchezaji kurudisha mpira kwa golikipa wake. Mwamuzi huyu alikuwa anajua kwamba mpira wowote uakaorudishwa na mchezaji kwa golikipa wake ni faulo. Alifanya...
  6. aka2030

    JamiiForums Tanzania Kwanini rais Mwinyi hakuwa na furaha wakati anawakabidhi zawadi simba?

    Tazama sura yake
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Simba SC isingechukua 'Ubingwa' huu wa '2022 Mapinduzi Cup' Yanga SC Kesho ingefanya 'Press Conference' yake?

    Poleni mno Yanga SC na najua huu Ubingwa wa Simba SC Mapinduzi Cup hii ya 2022 Umewaumiza sana tu. Na najua pia kuwa Kesho mmeitisha Mkutano Wenu na Waandishi wa Habari kwa Mkakati wa Kipropaganda zaidi. Hakuna asiyejua kuwa tokea mmetolewa Mapinduzi Cup huko Yanga SC hakulaliki na Mashabiki...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Hivi hapa vifaa vipya vya Simba Sc

    Nawaonea huruma sana Yanga,
  9. President of China

    JamiiForums Tanzania Formation ya leo ya Simba kupambana na Azam Mapinduzi cup (4-2-3-1)

    Timu kubwa timu la ushindi. Formation kuwaua Azam. Mchezo wetu ni dakika 90 tutakuwa tumeua mtu. Mambo ya matuta ni uto kuleee!
  10. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Simba SC haijawahi kutaka kumwacha Messi wa Msimbazi a.k.a Sakho

    Napenda kuliweka wazi swala hili baada ya kuona watu na wachambuzi wengi wakidai Simba SC ilitaka kumwacha Sacko sababu ya majeruhi! Ukweli ni kwamba wachambuzi wetu wa Bongo ndio wanafiki, washindiliaji na wahamasishaji tena wachonganishi....... etii Sacko hanauwezo, mara kiwango chake...
  11. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Ukweli umefahamika kuhusiana na huyu Mchezaji wa Simba. Watu wasiri sana, hata hamsemi?

    Ni Mtanzania mwenye Asili ya Mbeya kule Tukuyu. Anaitwa Pope Ousmane Mwalusakho. Sema kule Senegal wakamwita Sakho. Ukimtizama ana Unyakyusa Flani hivi mwingi sana. Ni Mnyakyusa wa Tukuyu ndiyo asili yake. Akina Mwalusakho. Simba walidhani hatutajua asili ya huyu mchezaji. Mimi nlihisi toka...
  12. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 2 Namungo 0. Simba yatinga fainali ya Mapinduzi Cup 2022

    Saa 2:15 usiku Simba SC, kukipiga na Namungo FC. Je, ni timu gani kufuzu kwa hatua ya fainali? Kuungana na Azam Fc? Ni kufa au Kupona mmoja Lazima aende kupambana na Azam FC. Je, tutashuhudia Mikwaju ya Penalt Tena? Tuwe pamoja
  13. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni haki yake wapeni Simba

    Hawa jamaa mpira wanaucheza. Wana aina yao ya mpira ambayo inabaki kuwa yao. Naona toka amekuja huyu coach kama wameanza kukaa sawa. Simba wana cheza mpira mzuri wa kuvutia. Lakini naamini sisi Yanga tutachukua Ubingwa kwa hali na mali. Hilo halina ubishi. Huyu Sakho na Kanoute ni maingizo bora...
  14. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Simba tumpe cheo Cha heshima mheshimiwa Ndugai

    Nawasilisha
  15. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC umejaa walokole na maustadh, tunahitaji wahuni na watoto wa mjini pale juu vinginevyo ubingwa tutausikia redioni

    Mpira ni mchezo wa kihuni utake usitake. Siku mtoto wa mjini Zachary Hans Pope anafariki nikajua ubingwa basi tena. Mpira unataka wahuni na watoto wa mjini wenye uwezo wa kupora mchezaji anayetaka kusajiliwa na mahasimu kibabe, sasa Simba imekuwa ya kuporwa wachezaji airport kweli, bila...
  16. Mario Kempes

    JamiiForums Tanzania Simba Vs Namungo| Nusu Fainali Mapinduzi Cup 2022| Zanzibar

    Leo majira ya saa mbili na robo usiku kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Simba Vs Namungo katika nusu fainali ya pili ya Mapinduzi Cup. Tujumuike wote hapa muda ukifika
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC tafadhali hili Galasa Moukoro achaneni nalo, ila huyu Udoh tafadhali msainisheni upesi sana kwani ni Mtu na Nusu

    Hassan Dilunga, Peter Banda na Yusuph Mhilu wana uwezo mkubwa kuliko huyu Chitec Moukoro wenu ( Raia wa Ivory Coast ) hivyo wala msithubutu au kupoteza muda Wenu Kumsajili kwani kwa Jicho langu Kali la Kimpira na Kiufundi ni wa Kawaida mno halafu hata Mpira wenyewe nao haujui. Ila kwa huyu Nusu...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kombe la mapinduzi linathibitisha namna Simba na Yanga zinavyobebwa na waamuzi wa Bara.

    Ile haki bin haki inayofanywa na waamuzi wa Zanzibar kwenye kombe la mapinduzi ndio inayokosekaana kwenye ligi ya Bara. Kama refa angetoka Bara Yanga na Simba zingepata matokeo mazuri sana dhidi ya timu ndogo za Zanzibar kwenye mashindano ya mapinduzi. Mungu awalaani waamuzi na watu wote...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC irekebishe upesi sana 'Mapungufu' ya hawa Wachezaji Watatu Inonga, Sakho na Morisson kwani yanaigharimu Timu

    1. Henock Inonga Nakiri ni Beki mzuri sana na nimekuja Kugundua pia kuwa kumbe ni Versatile na kwamba anaweza hata kucheza vyema tu Namba 6, Namba 8 na hata Namba 2. Mchezaji huyu tokea aicheze vyema ile Kariakoo Derby na kupata Sifa nyingi nae ameshajaa Upepo kiasi kwamba sasa anajiona ndiyo...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Meneja Ahmed Ally afafanua Simba kufanya majaribio

    Anaandika Msemaji Mstaarabu Ahmed Ally katika kurasa ya Instagram Ni kweli tuna wachezaji watatu tunawafanyia majaribio Mashabiki wa Simba wamepata hofu kwanini timu yao na ukubwa wao wanafanya majaribio?? Kwanza kabla ya yote niwaambie tuu Wachezaji ambao sisi tunawafanyia majaribio wakienda...
Back
Top Bottom