simba

  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Droo ya robo fainali kombe la Shirikisho Afrika: Simba kukipiga na Orlando Pirates

    Droo ya Robo fainali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kufanyika leo saa 10 jioni. Simba Sports Club wakiwa Wawakilishi pekee wa Tanzania Wanataraji kukutana na timu moja ya TP Mazembe ya DR Congo, Al Ahly Tripoli ya Libya na Orlando Pirates ya Afrika Kusini. Soma...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba unaanza kuharibu

    Wapendwa nimemuona msemaji wa Simba huko YouTube akimtembelea na kumpongeza mzee aliyekuwa na kitochi uwanjani. Hii si sawa kwani anahamasisha vitendo vya utovu wa nidhamu unaoweza kuigharimu timu. Kesho watu wakija na vitochi zaidi tena vyenye mwanga wenye madhara atafanyaje? Nilitegemea...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kenya waanza kusema kuwa Simba ni yao....

    Hawa jamaa sijui wanavuta bhangi au nini? Nilikuwa naongea na mkenya mmoja kuhusiana na mpira .... Hasa kwa nchi za East Africa hakujua kama natokea Tanzania. Yeye anajua mimi ni Black American. Nikamuuliza kwa East Africa kwa sasa ni team gani zinafanya vizuri kimpira. Akajibu bila aibu kuwa...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Wanasimba tunajiamini tuna timu imara, kwa nini tunaombea tukutane na Al Ahly Tripoli, siyo TP Mazembe au Orlando Pirates?

    Si tunajiamini kuwa Simba ni Timu Bora kabisa na tumepita CAFCC jana Aprili 4, 2022 kwa uwezo wetu na tuna jeuri ya kucheza na timu yoyote Afrika, sasa kwa nini karibia 99% ya Wanasimba wanaombea wakutane na Al Ahly Tripoli ya nchini Libya na kamwe siyo TP Mazembe ya Congo DR au Orlando Pirates...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Simba yaingiza wa 4 kikosi bora cha week

    Hawaaaaaaami macho yaaooooooooooooo ...........hawaaamini macho yaoooooooooo....hawaamini macho yaoooooooo ,kamaaaaaatiiiiiii ya mapoooooookeziiiiii hawaaaaamini macho yaoooooooo Ingonga, Mugalu,Bm 3 na kanoute ndani ya kikosi bora cha week.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Simba ni kubwa Afrika. Comments za baadhi ya Waafrika Kusini wakiogopa Simba kupangwa na Orlando Pirates

    Ni vile tu tumezungukwa na majinga sana nchi hii ila simba kwa sasa ishajiweka kwenye level fulani kubwa sana soma mwenyewe comments za wana orlando pirates wakitamani wasipangwe na simba kwenye draw ya kesho.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ule ujinga waliofanya Senegal kwa Egypt, Simba nao wamefanya

    Ni ujinga wa kumulika wachezaji wa timu pinzani na tochi usoni, sijui soka la Afrika linaelekea wapi.. Timu haziwezi kushinda bila figisu?
  8. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia toa mwaliko kwa mabingwa wa nchi, Simba Sports Club kuja kupata Iftar ndani ya Ikulu

    Ahlan wa Sahlan Je, huu sio muda sahihi kwa Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kutoa mwaliko kwa mabingwa wa soka nchini Tanzania, Simba sportive de club kujumuika nae katika Iftar ndani ya Ikulu hapo Dar es Salaam. Heshima ambayo Klabu ya simba imeipagia...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Jiandaeni kesho kwa press conference ya utopolo baada ya Simba kufanya yake

    Yes kesho by mchana au saa kumi kutakuwa na press conference ya kupotezea tukio zito la leo la simba kutoa kichapo cha mbwa mwizi kwa wa niger Kabla ya press conference hiyo tarajia HABARI ZA UZUSHI KUANZIA ASUBUHI ZITAKAZOSAMBZWA NA MAKANJANJA kwamba GSM washakubaliana kumsajili Adebayor wa...
  10. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Simba ikipigwa Vita vya Ukraine vimechangia!

    Sina maneno hivi vita ni hatari sanaa hivyo Mnyama akiondolewa tusilaumiane mana hata Mama anajua hilo!
  11. Area 56

    JamiiForums Tanzania Simba Sc 4-0 Us Gendarmerie | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

    CAF: SIMBA YAIFUNGA GENDARMERIE 4-0, YAINGIA ROBO FAINALI Timu ya #Simba imefanikiwa kuingia Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya US Gendarmerie kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, usiku wa Aprili 3, 2022. Matokeo hayo ya michuano hiyo...
  12. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Sioni Simba anatokea wapi leo. Kila nilipoangalia sijaona

    Kiukweli huwa sipendi Simba ishinde... Imekuwa na kujisikia sana kwa miaka yao ya hivi karibun tena kwa kubebwa na CAF. nilichokuja gundua ni kuwa hata CAF wanaipendelea Simba. Sijajua labda sababu ya CEO wake Simba uwezo wake ni wa kawaida sana. Yaani sana. Kama unavyoiona Ruvu Shooting au...
  13. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Kiongozi bora wa muda wote Simba

    Sijui imekuaje Leo. Nimejikuta namkumbuka huyu mwamba.
  14. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Watazamaji zaidi ya milioni 600 kuitazama Simba SC kesho

    Muwakilishi pekee kutoka Tanzania mnyama mkali Simba sc kesho majira ya saa nne kamili usiku, atatupa karata yake ya mwisho kwenye kundi lake, ushindi pekee unahitajika ili kuipeleka robo fainali miamba hiyo ya Africa. Dunia inashauku na hamu kubwa kuona ni nini kitatokea kesho pale mkapa...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Polisi watoa tamko kuelekea mechi ya Simba Vs USGN

    Kuelekea mchezo wa Simba dhidi ya USGN ya Niger, Jumapili Aprili 3 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, Jeshi la Polisi limesema liko tayari na limejipanga kwa ajili ya kulinda usalama siku hiyo ya mchezo huo ambao utaanza saa 4:00 Usiku. Mchezo huo wa Kundi D katika Kombe la...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Maswali yote kuhusu mechi ya Simba kuchezwa saa 4 usiku asiachiwe Ahamed Ally kuyajibu

    Mechi kati Simba vs US Gendamarie itachezwa saa 4 usiku siku ya jumapili kuamkia jumatatu siku ya kazi. Hii ni mara yetu ya kwanza kuwa na kitu kama hiki nchini kwetu. Inafahamika kuwa Uwanja wa Mkapa uko pembeni mwa jiji hasa kwa watu wanaotoka Ilala, Kinondoni, Ubungo, Kawe, Bagamoyo, Kibaha...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC mmefanya Makosa makubwa sana Kukubali Mechi na Gendarmerie ichezwe Saa 4 Usiku na si Saa 1 Usiku

    Leo naomba nitoe Elimu Kiduchu ya Unujumu ( Uchawi ) ni kwamba mara nyingi Jini la Simba SC huwa linakuwa 'Active' sana kati ya Saa 10 hadi Saa 12 na Saa 1 hadi Saa 3 na hiyo ya Saa 10 hadi Saa 12 nayo huwa ni Siku za Jumapili tu na siyo Siku za Jumamosi au Jumatano. Kwa muda wa Saa 1 Usiku...
  18. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Rasmi Mchezo wa Simba Vs USGN ni saa 4:00 Usiku Aprili 3, 2022

    Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) limeamua mchezo wa mwisho wa Hatua ya Makundi wa Kombe la Shirikisho Afrika katika ya wenyeji Simba dhidi ya Union Sportive Gendarmerie Nationale (US Gendarmerie) kuwa utachezwa saa nne usiku. Hiyo itakuwa ni mara ya kwanza kwa mchezo wa soka ngazi ya labu...
  19. NguoYaSikuKuu

    JamiiForums Tanzania Simba ikitaka ifike Mbali itafute Wachezaji Waonaojua Kufosi na Kupiga Chenga. Sio hawa wa Mipasi tu

    Kama wewe ni shabiki wa Mpira na unaangalia mpira wa timu za hapa nchini utatambua kwa nini Simba SSC haipati matokeo. Ukiacha kufungwa magoli ya Corner na Free Kicks ambazo wana wanashindwa kucheza vizuri. Wachezaji karibia 90% wa Simba hawawezi kukaa na mpira yaani kupiga chenga na kufosi...
  20. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Je, kuna upendeleo katika kupanga Ratiba ya Kombe la FA kwa timu za Yanga na Simba?

    Wakuu Habari ya Wakati. Hivi Kigezo gani kimetumika timu kubwa zote kucheza Mechi zao za Kombe la FA nyumbani? Na kama kigezo ni ukubwa wa timu je Coastal Union ni kubwa kuliko Kagera Sugar, Polisi na Geita? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom