Naombea Simba atolewe na Orlando

Siipendi Simba na mambo yake yote na huo ndiyo ukweli wangu.

Kwa sababu hiyo maombi na sala zangu nikuwaombea mabaya na Mungu aibariki Orlando iweze kupata ushindi na iwatowe Simba kwenye mashindano hayo.

Mungu ibariki Orlando!
Suzy Elias mimi nakuelewa... hizi kolo zikishinda huwa hazina lugha ya kizalendo kwa yeyote na hasa wana Yanga.
 
Siipendi Simba na mambo yake yote na huo ndiyo ukweli wangu.

Kwa sababu hiyo maombi na sala zangu nikuwaombea mabaya na Mungu aibariki Orlando iweze kupata ushindi na iwatowe Simba kwenye mashindano hayo.

Mungu ibariki Orlando!
Subiri mtasuguliwa tu . Haraka ya nini?
 
Siipendi Simba na mambo yake yote na huo ndiyo ukweli wangu.

Kwa sababu hiyo maombi na sala zangu nikuwaombea mabaya na Mungu aibariki Orlando iweze kupata ushindi na iwatowe Simba kwenye mashindano hayo.

Mungu ibariki Orlando!
Dua la kuku halimpati mwewe Ila ujue na naimani ulianza kuomba hivyo tangu mwanzo wa michuano hii ambayo yanga alichezea home and away na river united
 
Well, ni haki yako kutopenda kitu fulani maishani iwe timu, chakula, nguo n.k

Ila sasa kuna ile law yake bwana newton nadhani ni ya tatu, tegemea opposite reaction. Yaani hapo ulipo na uzuri wako kama unao lakini kuna mtu hakupendi balaa, Mfano ile misemo mtu anasema nikimkuta fulani peponi mimi natoka.

Similar Discussions

Back
Top Bottom