UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umesema leo Jumapili utakuwepo kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, kwa ajili ya kuisapoti Simba itakapokuwa inacheza dhidi ya Orlando Pirates.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga, Hassan Bumbuli wakati Simba leo wakitarajiwa kuwa wenyeji wa...