simba

  1. JamiiForums Tanzania Wale mliokuwa mkiimba kuwa Simba SC ya Matola haifungwi na apewe Timu tuendelee Kuimba au?

    Aliyesema (aliyetuita) wana Simba SC ni Mbumbumbu wala hakukosea. Na tunastahili kuitwa Mambumbumbu. Eti Matola apewe Timu. Asanteni sana Prisons FC na Simba SC tafadhali mpeni Timu Moja kwa Moja Kocha Mnafiki na mwana Yanga SC sawa? Hivi Yanga SC leo hii pamoja na Mafanikio yake Kocha Minziro...
  2. JamiiForums Tanzania Fataki zisizo na idadi zapigwa kwenye sherehe za ubingwa huku Simba wakinywea baada ya kula kipondo Mbeya

    Wakati sherehe zikiendelea, fataki zisizo na idadi mithiri ya machine gun zimerushwa juu ya jengo la GSM
  3. JamiiForums Tanzania Simba mjitahidi kumtafuta mbadala wa Shabalala na sio Gadiel Maiko

    Kwa kipindi kirefu nimemfwatilia Gadiel kwa kweli hatoshi kwenye namba ya Shabalala, ni vyema viongozi watafuta mchezaji mzuri wa timu za ndani anakayeweza kuitendea haki hiyo namba, mbona wapo huko nje ya Simba. Na ikikosekana basi msajiri kutoka nje tu iliekeweke kwani Shabalala naye ni...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi "chekechea" Jwaneng Gallaxy alivyokatisha ndoto za "giant" simba kwa Mkapa

    JINSI "CHEKECHEA" JWANENG GALLAXY ALIVYOKATISHA NDOTO ZA "GIANT" SIMBA KWA MKAPA Naam wakati ratiba inapangwa Jwaneng Gallaxy walianzia hatua ya PRELIMINARY maarufu kama "chekechea" na Simba wakaanzia First round Lakini kilichotokea hapo KWA MKAPA HATOKI MTU jamaa Ma Giant wa mchongo...
  5. JamiiForums Tanzania Nikiwa nasema kuwa Simba SC kuna matatizo na huwa 'nikiwananga' hapa JamiiForums huwa sikosei muwe mnanielewa tafadhali

    Ahmed Ally: Suala la Morrison tunasubiri kocha mpya akija ndio atoe maamuzi kama anatakiwa kubaki au aondoke. Babra: Morrison hakuwa kwenye mipango yetu ndio maana tumempa ruhusa akatafute timu nyingine Kauli za viongozi wa Simba kuhusu mchezaji Bernard Morrison. Chanzo: Darmpya Blog Leo...
  6. JamiiForums Tanzania Simba inaweza kuanzia preliminary siyo lazima kila mwaka timu 10 zianzie first round

    SIMBA INAWEZA KUANZIA PRELIMINARY SIYO LAZIMA TIMU 10 ZIANZIE FIRST ROUND Caf Champions League inatakiwa kuhusisha timu zisizozidi 68 Caf ina wanachama 56 (Japo Afrika ina nchi 54) katika hao nchi 12 zinatoa timu 2 CafCL na kufanya jumla ya timu 24 na nchi 44 zinatoa timu moja ndipo unapata...
  7. JamiiForums Tanzania Simba yatangaza rasmi kumaliza mkataba na SportPesa, mdhamini mpya mbioni kutangazwa

    Klabu ya Simba imekiri kuwa mkataba wa udhamini wa jezi kati yao na SportPesa umeshamalizika na kwa sasa wapo katika mazungumzo ya mkataba mpya na mdhamini mwingine. CEO wa Simba, Barbara Gonzalez amesema: “Mkataba wa SportPesa uliisha tangu Mei 11, 2022 lakini kibinaadamu tunaendelea hadi Juni...
  8. JamiiForums Tanzania Simba wanaonesha utoto kwa Morrison na wachezaji wa kigeni

    Simba haionyeshi ukomavu kwenye soka hata baada ya kufikisha miaka zaidi ya 80 tangu kuanzishwa kwake. Kila mtu waliwasikia viongozi wa Simba wakimuaga na kumtakia kheri Morrison huko aendako wakimaanisha kuwa aende mbele kwa mbele huko hata kabla ya msimu kumalizika kuonyesha kuwa hawana kazi...
  9. JamiiForums Tanzania Simba SC (hasa Uongozi) hapa ndipo huwa 'mnanikera' hadi 'nawangangeni' Kutwa hapa 'JamiiForums' hebu muwe mnanielewa sawa?

    Hebu sikieni Simba SC inahitaji yafuatayo tu na achani Kujambishwa ( Kupanikishwa ) na Propaganda za Usajili za Yanga SC kisha nanyi mnaingia Mtegoni Kwao na Kuharibu kila Kitu kisha Wao wanatucheka na Kutuona ni Mazuzu ( Majuha ) zaidi. Najua mnanichukia sana tu ila kwakuwa nina Mapenzi na...
  10. JamiiForums Tanzania Za ndaani kuhusu kocha ajaye Simba SC

    Imeeleza hadi kufikia jana, kulikuwa na makocha wawili ambao walikuwa wakiangaliwa kwa mara ya mwisho ili mmoja kupitishwa akiwemo kocha wa zamani wa RS Berkane ya Morocco raia wa nchi hiyo, Tarik Sektioui. Mwingine ni Jozef Vukušič raia wa Slovakia. Taarifa ambazo imeripoti Gazeti la Spoti...
  11. JamiiForums Tanzania Asilimia 90 ya maudhui ya Redio, TV na mitandao Tanzania ni Simba VS Yanga, Muziki na Umbea kutwa nzima

    Ukisikiliza au kutazama vyombo vya habari vya Tanzania utagundua "serious stories" ni chache sana licha ya kuwa na utitiri wa vyombo vya habari kuanzia "main stream media hadi TV za mtandaoni. Kuna mambo mazito yanayoendelea nchini na yanahitaji mijadala mizito. Mfano: 1. Katiba mpya 2...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ushamba wa pongezi za La Liga unatisha Simba washapata za Rais wa FIFA

    Dah ama kweli waliosema maskini akipata matako hulia mbwata hawakukosea yaani kuna vitu kumbe simba tulikuwa tunachukulia for granted sana , pongezi mbalimbali, ranks za levels za juu afrika, kwa miaka 4 kuna majuha yameteseka yakageuka kamati za mapokezi na kutengeneza majungu kwa teams za kuja...
  13. JamiiForums Tanzania Ligi ya Morrison na Simba kwenye suala 'Release letter' imefikia patamu

    Inaelezwa kuwa Bernard Morrison anaomba release letter kwa Simba, lakini Simba hawana presha wanataka mpaka mkataba wake utamatike kisha wamkabidhi barua. Inasemekana kuna muda aliwaambia kuna klabu ya nje inamtaka, Simba wakamwambia watume offer yao watapokea ofa na watampa release letter...
  14. JamiiForums Tanzania Kocha mpya wa Simba kuwasili usiku huu

    Kuna taarifa zimenifikia kuwa kocha mpya wa simba atawasili usiku huu nchini. Je, kocha huyo ni nani? Tuvute subira
  15. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kuweka tetesi na Taarifa za usajili Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao 2022/2023

    Salaam Wakuu, Ligi kuu ya NBC ya msimu huu 2021/2022 inaelekea ukingoni huku timu ya Yanga ikiwa na zaidi ya 99% ya kunyakua taji hili. Kama tujuavyo mwisho wa msimu mmoja ndiyo maandalizi ya msimu mwingine. Baadhi ya timu tayari zimeanza kufanya maandalizi kwa ajili ya msimu ujao. Timu nyingi...
  16. JamiiForums Tanzania Giants Simba Sc kuanzia round ya kwanza CAFCL

    -Klabu ya Simba SC ya Tanzania sasa rasmi imekuwa miongoni mwa vilabu 10 ambavyo vitaanzia raundi ya kwanza kwenye mashindano ya CAF Champion League msimu 2022/23 kama msimu uliopita baada ya CAF kupitisha utaratibu wa vilabu 10 bora kuanzia raundi ya kwanza ya michuano ya CAF Champion League...
  17. JamiiForums Tanzania Mataifa ya Afrika ambayo yatakuwa na uwakilishi wa vilabu vinne kwa msimu wa 2022/23 michuano ya CAF

    Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza nchi 12 ambazo zitatoa timu nne kuwakilisha katika mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho. • Algeria 🇩🇿 • Angola 🇦🇴 • Congo DR 🇨🇩 • Egypt 🇪🇬 • Guinea 🇬🇳 • Libya 🇱🇾 • Morocco 🇲🇦 • Nigeria 🇳🇬 • South Africa 🇿🇦 • Sudan 🇸🇩 • Tanzania 🇹🇿 • Tunisia 🇹🇳
  18. JamiiForums Tanzania Kumbe hawa wachezaji wa Simba ni ndugu halafu hamsemi?

    Kumbe Israel Patrick Mwenda (Israh) na Pape Osmane Sakho ni ndugu halafu hamsemi?
  19. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Viungo Wakabaji waliokuja na kuondoka Simba na kumuacha Jonas Mkude

    Kufatia tetesi za kuondoka kwa Tadeo Lwanga na kutua kwa Mnigeria Akpan klabuni Simba, ni muendelezo wa ujio na kuondoka kwa viungo wakabaji Simba lakini wote hao wamekuwa wakimkuta na kumuacha Jonas Gerald Mkude. Jonas Mkude sio wa kawaida ana kitu cha ziada inaonekana ambacho Viungo wengine...
  20. JamiiForums Tanzania Haji Manara punguza kuitaja Simba kwenye kila press na maongezi yako

    Binafsi nadhani kila mtu keshajuwa kwanini uko Yanga Sasa. Hakuna sababu ya kuendelea kuitaja Simba katika kila fursa ya kwenda hewani. Ubongo wa Binadamu una tabia ya kuchoshwa (fed up) na kitu kinachojirudiarudia kila wakati, hata harufu ya chooni inapotea puani kama utakaa chooni kwa muda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…