Mimi mi Shabiki na Mwanachama wa Simba Sports Club!.
Kinachoendelea Kwa huyu Bwana Mo, ni uhuni, wizi , na ujanja ujanja wa kijinga sana ambao Sisi wanasimba ndio tunaulea.
Daktari Kigwangala, alivyohoji suala la Bilion 20, mamuluki walikuja mbele kumpondea Sanaa , lakini ukweli ni kwamba...
Yanga nawapongeza kwa kidogo mlichopata, lakini naona kama mmesahau mpo kombe la Shirikisho baada ya kushindwa kwenye kombe la Mabingwa, ambapo ndio Simba ilipo
Yanga haijawahi kucheza hatua ya Makundi kombe la CAF Champions League tangu mwaka 1997...Think about That
Ni kama mashindano ya...
Simba timu yangu msipoacha uchawi hakika mtazidi kupata aibu ! Tabia yenu ya kumtegemea huyo sangoma wa kike hapo klabuni niyakipumbavu sana ! Mbaya zaidi mnampa na pesa kabisa awasaidie kuloga mechi hayo mambo niyakipuuzi sana na hamtafanikiwa kamwe!! Aliwaaminisha wachezaji ameshamaliza kazi...
Kwa jinsi wachezaji walivyo wamechoka wengine kama inonga na sakho hawajali utoto mwingi tutarajie aibu super league.
Ingekuwa na uwezekano simba wajitoe au wanachama wa simba waandike barua cairo kuomba hilo.
Wazee wa ten pasenti mbona hamna huruma jamani mnaokoteza tu wachezaji
Waswahili wanapenda sana kukomalia mambo ma hata pale ushahidi ukiwa hafifu au wakiletewa ushahidi tofauti na wanachotaka kuamini, wanakuwa wagumu kukubali.
Nimeona clip inayosambaa ya basi la Simba likirudi kinyume katika mtaa mmoja mwembamba. Kwanza sielewi kinachoshangaza nini kwa gari...
Kipigo cha tatu bila kwa timu ya Simba kimenifanya niiangalie tena video ya Mchungaji Komando Mashimo kwa sasa anayejiita Nabii Mikaya aliyemuomba Rais Samia awalipie deni Simba na Yanga ili waweze kushinda katika michuano ya CAF. Nabii Mashimo alisema mwaka 2022 Mungu alitenda kwa ajili ya...
Nimeona mashabiki wengi wa Simba eti wanaongea kwa uchungu sana na wanamlaumu kocha kisa kufungwa na Raja!
Hivi kweli tukiweka bangi pembeni
Kweli Mtu unashangaa simba kufungwa na Raja? Tukubali tukatae wale watu hakuna timuvya kuwafunga hapa bongo na jana mpira walioucheza walicheza kwa...
Star Times wana Channel yao Moja niipendayo ya ( ihusuyo ) Wanyama na Maisha yao na kuna Siku niliona Simba Jike anarudi Kinyumenyume vile vile tayari kwa Shughuli Maalum na Simba Dume.
Na kinachoniumiza zaidi MINOCYCLINE ni Kitendo cha Jana Basi la Simba SC kurudi Kinyumenyume vile huku tukiwa...
Nataka mtufunge ili tukichanganya na zile Hasira za Kufungwa Thalatha za Mwarabu jana tupate sababu ya Kuvurugana zaidi na Mgogoro uwe mkubwa Klabuni ili Mo Dewji ( Mwekezaji ), Salim Abdallah Mhene 'Try Again' ( Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ) na mwana Yanga SC lia lia Murtaza Mangungu (...
Habari yako kamanda mkuu wa Barabarani, Kuna video inasambaa ikionesha basi ambalo moja kwa moja linaonekana ni la timu ya Simba SC likiendeshwa kinyumenyume katika barabara kuu hapo Dar es salaam.
Mara tu baada ya kuona video hiyo nikiwa kama msamaria mwema katika nchi hii nimeamua nitoe...
Baada ya Simba kupoteza kwa magolo 3-0 dhidi ya Raja Casablanca, hivi ndivyo Kocha wa Simba, Roberto Oliveira Robertinho alivyosema:
“Nafikiri timu yangu imecheza vizuri lakini ilitakiw akucheza kwa umakini zaidi ya ilivyokuwa, ndivyo mchezo wa soka ulivyo, Raja wamekuwa wazuri kuliko sisi...
Siasa za CCM zianze kuangalia vitu vya Msingi tu kila wakija kwenye soka always ni nuksi tu.
Kwanza watu wanawekeza mabilion Alafu mwanasiasa anataka apate sifa kwa m 5 isiyotosha ata mshahara wa mwezi wa mchezaji.
Kawaida Simba hununua away game kwa m 200. Sasa Hawa wanaomshauri mama...
Siasa za CCM zianze kuangalia vitu vya Msingi tu kila wakija kwenye soka always ni nuksi tu.
Kwanza watu wanawekeza mabilion Alafu mwanasiasa anataka apate sifa kwa m 5 isiyotosha ata mshahara wa mwezi wa mchezaji.
Kawaida Simba hununua away game kwa m 200. Sasa Hawa wanaomshauri mama...
Baada ya MINOCYCLINE niliyebarikiwa Jicho la Kiufundi kuja na Uzi hapa hapa JamiiForums Wiki Moja imepita kuwa Raja Casablanca FC ni Maji Marefu kwa Simba SC yangu ( yetu ) nilipokea Matusi, Kashfa na Dhihaka nyingi na hatimaye kile nilichokisema leo kimetokea.
Na baada ya Kugundua na Kuwasoma...
Viongozi wa Simba kiburi chenu cha kutosikiliza ushauri, hii aibu inawahusu.
Watu wengi walishauri kuwa haikuwa wakati sahihi wa kumleta kocha mpya katika dirisha dogo wakati aliyekuwapo alikuwa anafanya vizuri. Au kwa vile Mgunda amekuwa mzawa ndiyo mukamdharau.
Mechi zote za kimataifa...
Unaumiza kichwa kutoa ahadi zisizo na tija.
Toa ahadi ya Mil 5 kwa Mwl atayetoa matokeo mazuri.
Toa ahadi kwa afande atakaye dhibhiti ujambazi.
Toa ahadi kwa manesi .
Ona sasa
Wote wataishia kutolewa katika hatua ya makundi.
Sioni timu yoyote ya Tanzania iliyovizuri katika michuano ya kimataifa.
Kwahyo nawaomba mpunguze matarajio makubwa vichwani vyenu
Mchezo wa Simba na Raja Leo!
Saa 1:00 kipyenga cha mwamuzi kitapulizwa! Mpira utakuwa wa kasi na tahadhali nyingi!
Simba watashambulia kuanzia dakika ya 1~20 ya mchezo!
Kipindi hiki ndicho muda pekee wa simba kutwaa ushindi Leo! Nguvu ya ulimwengu itawasaidia simba kupata ushindi kwa muda huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.