simba

  1. T

    JamiiForums Tanzania Hata kama leo timu itafungwa, Simba msimfukuze robertinho

    1. Robertinho ni mmoja wa makocha bora wa kigeni wanaolijua soka la Afrika mashariki 2. Hajakaa na timu muda mrefu ili aweze ku-instil falsafa yake ya timu kushambulia muda wote. 3. Timu ipo kwenye hatua ya mwisho ya kukua: kuanguka kwa kiingereza decline 4.Mgunda ndiyo mchawi wa robertinho...
  2. covid 19

    JamiiForums Tanzania Huu ndio utabiri wangu kwa Simba na Yanga weekend hii ya mwisho wa mwezi February, 2023

    Team zetu kubwa mbili zinashuka dimbani weekend hii. Naweza kusema tu team yenye jina la mnyama ambayo ndio itaanza kucheza inaenda kupata matokeo mazuri ila mchezo hautakuwa na zaidi ya goli 1. Lile kiza lililotanda kwa takribani mwezi mzima limetoweka naa kuanzia sasa makali ya mnyama huyu...
  3. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Tetesi: "Kocha wa Simba kama angepata bahati ya kufundisha Yanga, kila goli tunamuokotea Ubungo"

  4. M

    JamiiForums Tanzania Leo Presha imenipanda siwezi Kutizama Mechi ya Simba na Vipers, ila mlioko hapa mtanipa Updates

    Na kwa jinsi Presha ilivyonipanda kama Simba SC haitoshinda leo au hata ikitoka Sare/Suluhu tu naweza Kulazwa ICU. Ninaitakia tu Kila la Kheri Simba SC.
  5. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Saidoo na chama wakianza Basi Simba haishindi kesho. Ili mzungu afukuzwe

    Ukweli unauma lkn lazima usemwe. Kama Okra, Phiri, Israeli mwenda ndio waliofunga magoli kuipeleka Simba makundi hawachezi. Na Mgunda anamshauri mzungu awaache au amuingize mkude tusitegemee muujiza. Na Hawa wazawa Hawa akina Boko wanataka mzungu afukuzwe ili wazee wampe timu Mgunda waanze...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Simba hii ndiyo mbinu pekee itakayowapa ushindi kesho inje ya hapo mtapigwa vibaya (uchawi wa vipers huu hapa)

    Kesho timu ya Simba itashuka dimbani na Vipers sc ya Uganda! Hii mechi kwa simba ni ngumu endapo wakikurupuka lakini ni nyepesi mno wakifuata haya! Viper wataumiliki sana mpira dakika za Awali kuanzia mwanzoni hadi dakika ya 18 ya mchezo! Kutokana na hili SIMBA Waanze na mbinu ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nawapa 100% Yanga SC kufuzu Robo Fainali CAFCC na Simba SC 200% kutofuzu Robo Fainali CAFCL?

    Tayari Yanga SC ina Alama 3 hivyo akitoka tu sare/suluhu huko nchini Mali dhidi ya Real Bamako FC atakuwa na alama 4 au 6 kama akishinda. Mechi yao ya marudiano Dar es Salaam nchini Tanzania Yanga SC akishinda atakuwa na alama 9 na hata kwa bahati mbaya akitoka suluhu bado atakuwa na alama 5...
  8. Area 56

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Simba atadroo wakati Yanga atafungwa huko kwenye mechi za Kimataifa

    Simba na Yanga wote wana mechi za kimataifa mwishoni mwa wiki. Utabiri wangu kwakuwa wote wapo ugenini, Simba atadroo na Vipers wakati Yanga atapigwa goli mbili kule Mali.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Simba SC tujiandae kujenga timu ya baadae kwa sasa wachezaj wamechoka

    Ukiangalia SImba kwa nini timu haitembee. Kuna mambo mawili ya kuangalia kwanza UMRI wa wachezaji waliopo SIMBA wengi ni 30 and above, Pili SImba haipandishi vijana wa under 20 kuja timu ya wakubwa. 1. SIMBA hii imecheza CAF CL na CAF CC kwa muda wa miaka kama minne mfulululizo ikiwa na hawa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike Simba kushinda dhidi ya Vipers?

    Ili Simba ishinde ugenini Uganda itakapocheza na Vipers kwanza kabisa Robertinho atumie mfumo wa Juma Mgunda ili kuleta ufanishi kwenye timu. Mbinu zake hazifanyi kazi Simba kwa sbb ya wachezaj waliopo hawawez kukimbia sana na kucheza direct football kama liverpool kwa maana pass ndefu za...
  11. USSR

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuendelea kununua magoli ya Simba na Yanga sio uhujumu uchumi huu?

    Leo msemaji Mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema Mama ataendelea kununua Magoli ya Simba na Yanga kwenye match za kimataifa. Ina maa itakuwa ya kudumu hii, nadhani haijakaa sawa kimfumo wa fedha maana haijatamkwa kuwa ni kutoka kwenye mshahara wake au pesa zake binafsi au nini? USSR
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kocha Mkuu wa Simba Achoshwa na wachezaji Wazee

    “Attack Attack “ Nataka wachezaji washambulie muda wote,Inakuwa ngumu kuingiza mbinu za kushambulia kwa sababu kwenye kikosi changu kuna idadi kubwa ya wazee (Wakongwe) Na mimi napenda kutoa nafasi kwa wachezaji vijana.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yawapa ubalozi wachezaji wa Simba na Yanga kampeni ya Benki ni SimBanking

    Mkurugenzi Mtenndaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (katikati), Afisa Mtendaji Mkuu wa Timu ya Yanga, Andre Mtine (wapili kushoto) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Timu ya Simba, Imani Kajura (wapili kulia) kwa pamoja wakisaini mkataba wa makubaliano wa kuwatumia wachezaji Clatous Chama, Mohammed...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hii shangilia ya Nguvu ya Kocha wa Simba SC Olivieira kila Goli likifungwa angeihamishia kwa Timu kucheza kwa Nguvu ningeona ana Akili.

    Na wala huhitaji Akili Kubwa kujua kuwa kwa Shangilia ile ya Kocha wa Simba SC ni kama vile anawajibu Maadui zake ndani ya Klabu ( hasa Uongozi na baadhi ya Wachezaji ) hivyo kuhitimisha hili linalosemwa kuwa kuna Mgawanyiko mkubwa ndani ya Kikosi cha Simba SC ( Wachezaji ) na Uongozi ( Viongozi...
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Simba imepungua ubora

    “Simba imepungua ubora kidogo, lazima tuwe wakweli. Kwanza kuna nyota wetu ambao ubora wao umepungua kidogo kwa sababu ya kuchoka, wamefanya kazi kubwa kwa miaka 5, wamecheza sana kwa miaka yote hiyo michuano ya kimataifa, Ligi kuu na michuano mingine” Ahmed Ally
  16. B

    JamiiForums Tanzania Simba tutatoboa kweli makundi mwaka huu 2023?

    Kwa mpira wa jana je Simba tutatoboa makundi kweli? Naiona simba ikistruggle sana chini ya Robertinho. Saido na Chama mmoja awe anaanzia benchi baadae Saido ndio aingieee. Tuwe na timu ya mgunda full stop.
  17. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Mgunda ndiyo mtu wa kwanza anayefaa kulaumiwa kwa matokeo mabovu Simba

    Kama unajua Mpira, unajua fitina za Mpira utajua wazi kuwa Mgunda ndie anayemshauri vibaya Mbraziri ili aharibu timu, kifupi anaharibu timu kwa tamaa za muda mfupi. Falsafa alizokujanazo Mbrazili toka mechi ya kwanza ni kasi, kutumia wachezaji wote, kufanya sub mapema sana akiona anakosea, ila...
  18. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Kutoka kwa Ahmed Ally msemaji wa Simba SC

    Katika mechi nzuri kila upande umepata unachostahili japo tulitamani kupata zaidi lakini haikua hivyo!!! Well done boy’s 👏 jasho lenu limevuja kuipigania Simba lakini mambo yamegoma Hongereni mashabiki wetu ambao hii leo pia mmeendelea kutuunga mkono🙏🙏
  19. vibertz

    JamiiForums Tanzania Kwa kilichotokea leo uwanja wa Mkapa, uongozi wa Simba walikurupuka

    Leo Robertinho kaonesha waziwazi kuwa hajui cha kufanya (kaishiwa mbinu) na kumuomba Mgunda ushauri. Hatua ya kwanza camera zikamnasa kuomba ushauri na kisha akaonekana Baleke kuingia nafasi ya Boko. Kadri muda ulivyozidi kwenda alionekana yupo frustrated na hajui afanye nini. Camera kwa...
  20. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Viongozi hutumia mafuta ya simba

    ...Mafuta ya simba yana kazi kubwa sana katika maisha ya wawindaji waishio uko msituni (wamasai wanayatumia sana kwa kuweka ulizi wa mifugo yao na kujipaka ili kupata moli . • Mafuta ya simba-uondoa uoga kabisa na kuwa na roho ya kikatiri pale unapochukia ,unaweza kuwa mkali misili ya simba ...
Back
Top Bottom