simba

  1. Shabiki wa Simba ajinyonga..mwendelezo WA kuji....

    HII HALI SIO YA KUAKAA KIMYA TUENDELEE NA MAOMBI WAPENDWA SHABAIKI WA SIMBA WAMEMPUMZISHA KAJINYONGA TAR 17 RIP SHABIKI
  2. Mashabiki wa Simba na Yanga ni wanafiki sana

    Manji alipotaka kuikodisha Yanga kwa miaka 10 mlimgeuka Mzee wa watu mchana kweupe", Simba nao wameanza kuonesha dalili za kumkana Hadharani Mo kisa kaawambia Mmetumia Billion 87 zake😂😂😂 acheni Unafiki Kama hamuwataki muwe mnawakataa mapema
  3. Wana Simba SC bado tu mnataka GENTAMYCINE niendelee kuwaambia kuwa Mo Dewji hatufai na atuachie Timu au sasa mmeshanielewa?

    Wiki hii hii niliandika Uzi hapa kusema kuwa tunamuonea zaidi Mangungu ila kama kuna Mtu HATARI zaidi Simba SC na ndiyo ANATUUMIZA mno kila tukikutana na Yanga SC kuwa ni Salim Abdallah Mhene 'Try Again" nikaishia Kudhihakiwa na hata Kutukanwa. Na katika Uzi huo huo pia nikasema wazi wazi kuwa...
  4. C

    Simba inaanguka taratibu na wauaji wake ni hawa hapa

    Kuna utafiti mdogo nimefanya na kugundua kwa sasa waliokuwa wapenzi wa Simba wengi wameanza kutafakari iwapo walikuwa sahihi kuishabikia timu hii. Hata hivyo kuna watu muhimu wanahusika moja kwa moja katika kuishusha Simba taratibu lakini kwa uhakika Wa kwanza ni mwekezaji ambaye bila kupepesa...
  5. Kipindi cha furaha simba huwa wakati wa usajili tu

    I salute you kinsmen. Kipindi cha usajili kinapofika tu basi simba ndio huwa wana furaha wao na azam lakini ligi ikianza tu. Yanga wanabebwa GSM anaharibu ligi Udhamini wa team nane Mangungu atoke Tshabalala msaliti Sasa nataka mjue simba imejaa uozo mkubwa sana. Na inaanzia kwa Mo mwenyewe...
  6. Nimehama Simba rasmi

    Nikiwa na akili zangu timamu natangaza kuihama hii timu isiyojielewa naepuka kuwa mjinga Kwa kuishabikia hii timu wakati wenzetu Yanga wanatambulisha vifaa vya kazi sisi tunahesabu hasara za msimu uliopita nimegundua timu yetu imejaza mashabiki mbumbumbu waliogeuka kuwa. Chawa wa viongozi na...
  7. S

    Wito wangu kwa wana simba wote wenye mapenzi na nia njema kwa timu yetu

    Timu yetu inapitia wakati mgumu sana, inarushiwa mishale mashariki, magharibi, kusini na kaskazini, hawapumui. Nawapa pole sana viongozi wangu, hiyo ndio kazi ya uongozi. Mitandao ya kijamii imeleta changamoto kubwa katika tasnia ya habari nchini, kila mtu anapojisikia kuongea anaita social...
  8. Coach Fadlu Davids alimhitaji Balla Conte, viongozi wa Simba wana Imani na Kagoma

    Uzembe wa viongozi wetu wa Simba. Leo Balla Conte amesaini Yanga Pendekezo la Fadlu Davids limepuuzwa na viongozi Viongozi wao wanahitaji Kagoma Hakika Rage alikuwa sahihi kutuita mbumbumbu
  9. Mainfluensa njaa na uchwara wa Simba SC Wiki nzima walitiuaminisha kuwa Tajiri keshamalizana na Kiungo Conte, mbona sasa keshasinya Yanga SC?

    Halafu kutwa nikiwa nasema hapa kuwa Mo Dewji si Mtu sahihi Simba SC na Simba SC ya sasa imejaa Fools hamniamini.
  10. S

    Kwa uwekezaji unaofanywa na GSM, ni vigumu sana Simba kutoboa

    These people are very serious in their planning, wamelivamia soka lenye mashabiki weng wakaingiza products zao na wamefanikiwa. Ili uweze kufanya vizuri kwenye biashara zako make sure una timu yenye kuleta ushindani na kuwapa furaha watanzania, pia hakikisha mpinzani wako unamdhoofisha. Yanga...
  11. Wachambuzi mnaoshadadia Simba na Yanga nazo zicheze saa nane hoja zenu hazina mashiko.

    Kwamba ndio italeta usawa kwenye ligi,hapana nakataa. Yapo mengi tu ya kurekebisha yanayokiukwa kuleta usawa badala ya kulazimisha wenzenu wakaungua na jua eti huo ndio usawa.Huo usawa roho mbaya?. Mmekuwa kama chongo anayetamani Mwingine naye apoteze jicho ndio aone wapo sawa.Kama kucheza...
  12. S

    Simba aliondoka Deo Njohole, Method Mogella ‘fundi’, Hamis Gaga nini Mohamed Hussein Tshabalala, msikuze mambo

    Kama kuna wachezaji ambao ilituuma kuondoka Simba basi ni hawa wafuatao, Deo Njohole, marehemu Method Mogella ‘Fundi’, marehemu Hamis Gaga Gagarino, Zamoyoni Mogella let alone akina Chuji, Chama, Barnabas Sekelo, nashangaa sana media zinamkuuuza Zimbwe, kijana uwezo wake ni wa kawaida sana ss...
  13. Simba yatozwa milion 3 kwa imani za kishirikina kwenye mchezo dhidi ya Yanga ilipofungwa 2-0

    Klabu ya Simba Sc imetozwa faini ya jumla ya Tsh milioni tatu kwa makosa matatu waliyoyafanya katika mchezo namba 184 wa Derby ya Kariakoo dhidi ya Yanga Sc uliomalizika kwa Yanga Sc kushinda 2-0 katika dimba la Benjamin Mkapa mnamo Juni 25, 2025. Kwa mujibu wa taarifa ya leo Julai 17, 2025 ya...
  14. Wilson Oruma: MO anataka 67bl zitambulike kama ni deni analoidai Simba kabla hajatoa hela za usajili msimu huu

    "Kwa taarifa zilizonazo Kutoka ndani tajiri anafanya Pressing sana huko. Anataka Kabla hajatoa Pesa ya Usajili Msimu huu Kwanza ile Bilion 67 irekodiwe na itambulike rasmi Kama ni Mkopo anaidai Simba Sports Baada ya hapo waje Kwenye Pesa ya usajili ambayo ameahidi Juzi Kwamba atafanya Usajili...
  15. S

    Viongozi wa Simba mkimsajili Yahya Zayd na Sospeter Bajana, nitawaunga mkono msimu ujao

    Hakuna mchezaji yoyote wa kigeni mwenye uwezo wa kumshinda Yahya Zayd, kiungo fundi kabisa wa chini, hakuna hakuna hakuna, Mkimsajili Yahya Zayd nitaamin mko serious Ila zingatien aliyowaambia Gentamycine, pini zimejaa ndani ya timu yetu
  16. Uongozi wa Simba SC mlio busy sasa Kusajili hivi mmegundua kuwa tatizo lingine ndani ya Simba SC ambalo linafichwa sana na linatumaliza ni hili?

    Mtasema yote au tutasema yote sijui mara Mangungu mara try again mara tajiri kibyongo Mo Dewji mara rafiki yangu na mtani wangu wa Kiha Kocha Matola mara sijui Mtani wangu mwingine wa Kihaya Meneja Rweymamu mara Wajumbe Poti wangu kutoka Kwetu kwa Wanaume wa Shoka Mkoani Mara (Musoma) Magori...
  17. Ukikutana na mwana Simba SC anayejificha katika hiki Kivuli jua hana Akili na ukimmudu mzabe kabisa cha Kibao cha Kutukuka akome....

    Eti Simba SC kufungwa na Yanga SC mara 5 mfululizo siyo Kosa au Jambo la Kushangaa kwani hata Real Madrid nayo imefungwa na FC Barcelona mara 4 au mara 5 mfululizo. Pumbavu Wahed zenu wenye hii Fikra hivi ukiwa kabisa na Akil Timamu Kichwani utaweza kulinganisha Mafanikio ya Real Madrid ya...
  18. GENTAMYCINE nikiwa namsema Mo Dewji kuwa ni Samjo Samjo (Muongo Muongo) na hatufai Simba SC bali anapiga tu Hela naambiwa namchukia na Mimi ni Yanga

    Mchome nakubaliana nawe kwa 100% zote.
  19. S

    Tshabalala alikuwa miongoni mwa wasaliti ndani ya Simba, akiondoka nitafurahi sana

    Huyu dogo mnaolia lia endapo ataondoka niwaambie msichokijua, ni msaliti namba moja ndani ya timu yetu, nna mengi kuhusu yeye, ngoja nikae kimya t
  20. Farhan Kihamu na Ahmed Ally wajibizana kuhusu kusajili wanachama wapya Simba.

    Baada ya Mchambuzi Farhan Kihamu kuandika kuhusu Simba inavyopoteza mapato mengi kwa kushindwa kusajili Wanachama wapya jambo ambalo linasababisha ukata na kukwamisha maendeleo kwenye klabu hiyo Meneja wa habari na mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amekuja kwenye komenti ya post ya Farhan na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…