Usajili wa Miquissone Simba ni usajili wa mihemko na kuwafurahisha mashabiki na sio usajili wa kiufundi

Mtanzanias

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
1,747
3,723
Ni ajabu sana kwa hizi timu zetu za Kitanzania Simba na Yanga kufanya mambo kienyeji kienyeji sana ili kuwafurahisha mashabiki wao na sio kuitengeneza timu.

Kuna tetesi kuwa Simba wamemsajili Miquissone, unachojiuliza uyo Kocha alimuona Miquissone kwenye mechi ipi ya kiushindani mpaka akapendekeza asajiliwe? Na je, Simba ina mapungufu gani kwenye eneo lake la pembeni mpaka sasa?

Wamemsajili Klamo, wanaye Banda, wanaye Onana, wanaye Kibu Denis, wanaocheza hizo nafasi wakati huo huo wamesajili mabeki 3 tu? Yaani wanajaza wachezaji kwenye nafasi moja wanasahau wanatakiwa wabalance na nafasi nyingine? Sidhani kama huu ni usajili wa kocha. Huu ni usajili wa viongozi wanaotaka kuutumia kwa maslai yao kwenye uongozi.

Miquissone mwenyewe kakaa nje ya uwanja karibia msimu mzima hajacheza mechi yoyote ya kiushindani mpaka akatemwa timu ya taifa kutokana na kutokuwa fiti, leo hii watu wanajinasibu kumsajili kwa nderemo na vifijo🤔🤔.

Kweli soka la Tanzania ni kivyetu vyetu, nimekubali!
 
Yaani wanajaza wachezaji kwenye nafasi moja wanasahau wanatakiwa wabalance na nafasi nyingine? Sidhani kama huu ni usajili wa kocha, Huu ni usajili wa viongozi wanaotaka kuutumia kwa maslai yao kwenye uongozi,
 
Ni ajabu sana kwa hizi timu zetu za kitanzania simba na yanga kufanya mambo kienyeji kienyeji sana ili kuwafurahisha mashabiki wao na sio kuitengeneza timu,
Kuna tetesi kuwa simba wamemsajili miquisoni unachojiuliza uyo kocha alimuona miquisoni kwenye mechi ipi ya kiushindani mpaka akapendekeza asajiliwe? Na je simba ina mapungufu gani kwenye eneo lake la pembeni mpaka sasa? Wamemsajili klamo, wanaye banda, wanaye Onana, wanaye kibu denis, wanaocheza izo nafasi wakati huo huo wamesajili mabeki 3 tu? Yaani wanajaza wachezaji kwenye nafasi moja wanasahau wanatakiwa wabalance na nafasi nyingine? Sidhani kama huu ni usajili wa kocha, Huu ni usajili wa viongozi wanaotaka kuutumia kwa maslai yao kwenye uongozi,
Miquisoni mwenyewe kakaa nje ya uwanja karibia msimu mzima ajacheza mechi yoyote ya kiushindani mpaka akatemwa timu ya taifa kutokana na kutokuwa fiti, leo hii watu wanajinasibu kumsajili kwa nderemo na vifijo🤔🤔
Kweli soka la Tanzania ni kivyetu vyetu nimekubali!
Na usajili wa Mkude je ni wa nini?
Hivi ukiwa uto akili huwa inaamia mgongoni au?
 
UTO inawauma
Sio kila anayetoa hoja basi anaumizwa na kitu, Maono ya mashabiki kama nyie ni tatizo kwrnye mambo ya msingi, Niambie namba 6 wa maana mnae? Tokea waondoke kina fraga mpaka leo mna shida ya namba 6 sasa badala ya kuboresha mapungufu viongozi wanatembea na upepo wa sifa na sio kusajili kiufundi
 
Na usajili wa Mkude je ni wa nini?
Hivi ukiwa uto akili huwa inaamia mgongoni au?
Mkude anakwenda kuwa back up ya bangala au mauya wanaotolewa kwa mkopo usifikiri wengine wanatumia matumbo kusajili, wanasajili kwa kufata report ya kocha na si vinginevyo
 
Ni ajabu sana kwa hizi timu zetu za Kitanzania Simba na Yanga kufanya mambo kienyeji kienyeji sana ili kuwafurahisha mashabiki wao na sio kuitengeneza timu.

Kuna tetesi kuwa Simba wamemsajili Miquissone, unachojiuliza uyo Kocha alimuona Miquissone kwenye mechi ipi ya kiushindani mpaka akapendekeza asajiliwe? Na je, Simba ina mapungufu gani kwenye eneo lake la pembeni mpaka sasa?

Wamemsajili Klamo, wanaye Banda, wanaye Onana, wanaye Kibu Denis, wanaocheza hizo nafasi wakati huo huo wamesajili mabeki 3 tu? Yaani wanajaza wachezaji kwenye nafasi moja wanasahau wanatakiwa wabalance na nafasi nyingine? Sidhani kama huu ni usajili wa kocha. Huu ni usajili wa viongozi wanaotaka kuutumia kwa maslai yao kwenye uongozi.

Miquissone mwenyewe kakaa nje ya uwanja karibia msimu mzima hajacheza mechi yoyote ya kiushindani mpaka akatemwa timu ya taifa kutokana na kutokuwa fiti, leo hii watu wanajinasibu kumsajili kwa nderemo na vifijo🤔🤔.

Kweli soka la Tanzania ni kivyetu vyetu, nimekubali!
Waache tu na sajili zao za mihemko, wakati Simba atakuwa anahesabu magoli, wenzao watakuwa wanahesabu pointi.
 
Mkude anakwenda kuwa back up ya bangala au mauya wanaotolewa kwa mkopo usifikiri wengine wanatumia matumbo kusajili, wanasajili kwa kufata report ya kocha na si vinginevyo
Eti eeeeh,kwa hiyo Miqson kwa akili yako hafai kuchezea Simba?
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Bora wewe unaonekana mwana Simba na unaongea ukweli kuhusu team yanu, huyu ndg yako sijui Genta yeye akilala anaota anafukuzwa na dubwana kuuubwa la kutisha linaitwa Yanga.

Fasta anaanza kuandika ooh, Yanga wamesajiri garasa, ooh sijui Yanga walitegemea Confideration sasa haipo, yaani vituko 😄...
 
Ni ajabu sana kwa hizi timu zetu za Kitanzania Simba na Yanga kufanya mambo kienyeji kienyeji sana ili kuwafurahisha mashabiki wao na sio kuitengeneza timu.

Kuna tetesi kuwa Simba wamemsajili Miquissone, unachojiuliza uyo Kocha alimuona Miquissone kwenye mechi ipi ya kiushindani mpaka akapendekeza asajiliwe? Na je, Simba ina mapungufu gani kwenye eneo lake la pembeni mpaka sasa?

Wamemsajili Klamo, wanaye Banda, wanaye Onana, wanaye Kibu Denis, wanaocheza hizo nafasi wakati huo huo wamesajili mabeki 3 tu? Yaani wanajaza wachezaji kwenye nafasi moja wanasahau wanatakiwa wabalance na nafasi nyingine? Sidhani kama huu ni usajili wa kocha. Huu ni usajili wa viongozi wanaotaka kuutumia kwa maslai yao kwenye uongozi.

Miquissone mwenyewe kakaa nje ya uwanja karibia msimu mzima hajacheza mechi yoyote ya kiushindani mpaka akatemwa timu ya taifa kutokana na kutokuwa fiti, leo hii watu wanajinasibu kumsajili kwa nderemo na vifijo.

Kweli soka la Tanzania ni kivyetu vyetu, nimekubali!
Usitupangie sengerema wewe,
Tunajua kuwa unaumia,
CRY MORE

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Ni ajabu sana kwa hizi timu zetu za Kitanzania Simba na Yanga kufanya mambo kienyeji kienyeji sana ili kuwafurahisha mashabiki wao na sio kuitengeneza timu.

Kuna tetesi kuwa Simba wamemsajili Miquissone, unachojiuliza uyo Kocha alimuona Miquissone kwenye mechi ipi ya kiushindani mpaka akapendekeza asajiliwe? Na je, Simba ina mapungufu gani kwenye eneo lake la pembeni mpaka sasa?

Wamemsajili Klamo, wanaye Banda, wanaye Onana, wanaye Kibu Denis, wanaocheza hizo nafasi wakati huo huo wamesajili mabeki 3 tu? Yaani wanajaza wachezaji kwenye nafasi moja wanasahau wanatakiwa wabalance na nafasi nyingine? Sidhani kama huu ni usajili wa kocha. Huu ni usajili wa viongozi wanaotaka kuutumia kwa maslai yao kwenye uongozi.

Miquissone mwenyewe kakaa nje ya uwanja karibia msimu mzima hajacheza mechi yoyote ya kiushindani mpaka akatemwa timu ya taifa kutokana na kutokuwa fiti, leo hii watu wanajinasibu kumsajili kwa nderemo na vifijo🤔🤔.

Kweli soka la Tanzania ni kivyetu vyetu, nimekubali!
Kama ulivyo usajili wa Mkude
 
Sio kila anayetoa hoja basi anaumizwa na kitu, Maono ya mashabiki kama nyie ni tatizo kwrnye mambo ya msingi, Niambie namba 6 wa maana mnae? Tokea waondoke kina fraga mpaka leo mna shida ya namba 6 sasa badala ya kuboresha mapungufu viongozi wanatembea na upepo wa sifa na sio kusajili kiufundi
Toka lini TOPOLO likaumizwa na kufeli kwa SIMBA SC?

Huna akili

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Yaani wanajaza wachezaji kwenye nafasi moja wanasahau wanatakiwa wabalance na nafasi nyingine? Sidhani kama huu ni usajili wa kocha, Huu ni usajili wa viongozi wanaotaka kuutumia kwa maslai yao kwenye uongozi,
Kwani pesa anatoa kocha au viongozi wa team
 
Sio kila anayetoa hoja basi anaumizwa na kitu, Maono ya mashabiki kama nyie ni tatizo kwrnye mambo ya msingi, Niambie namba 6 wa maana mnae? Tokea waondoke kina fraga mpaka leo mna shida ya namba 6 sasa badala ya kuboresha mapungufu viongozi wanatembea na upepo wa sifa na sio kusajili kiufundi
Mimi nakushangaa kwa kuwashangaa simba na pengine yanga.Nakushangaa kwa kutokuwazoea.
 
Back
Top Bottom