simba

  1. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga zote zitaingia makundi, lakini leo zimecheza chini ya kiwango

    Leo Simba na Yanga zimecheza hatua ya pili ya mtoano (klabu bingwa Afrika) zikiwa ugenini, Simba ikitoa sare kwa taabu sana dhidi ya Power Dynamos ya Zambia na Yanga ikipata ushindi wa kawaida wa goli mbili bila dhidi ya El Merreikh ya Sudan. Bila kumumunya maneno, ni wazi Yanga na Simba...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Pongezi za dhati kwa Yanga na Simba, mmetuheshimisha!

    Wawakilishi Wa Tanzania katika Michuano Mikubwa Kabisa kuliko Yote inayoandaliwa na CAF ya Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga na SIMBA zimeweza Kufanya vyema na Kuheshimisha Taifa. Simba Wakiwa kwenye Kiwanja Cha Levy Mwanawasa Mjini Ndola imeweza Kuituliza Timu ya Power Dynamo ya Zambia Katika...
  3. JamiiForums Tanzania Ligi kuu 2023/24, Timu zipi ni matawi ya Yanga na Simba

    YANGA Singida SIMBA Coastal Mtibwa Namungo Ihefu Tuendelee
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hatu ya Makundi CAFCL: Inaweza kutokea Simba na Yanga kupangwa kundi moja

    Mpaka hapa, naona uwezekana wa timu hizi mbili kuingia katika hatua ya makundi huku Yanga akiwa na chance ya asilimia 90 na Simba asilimia 80. Kwa msingi huo, katika droo ya kupanga makundi, upo uwezekana wa Simba na Yanga kupangwa kundi moja. Sijui sana utaratibu wa kuchezesha hizi droo...
  5. JamiiForums Tanzania Kama Mbowe tu alivyosema Yanga Shukhurani mmetufurahisha,Nyie Simba mtaombewa na wanaowapenda.

    Mpira unachezwa hauongelewi..hicho ndio unachoweza sema. Ila kingine ni kua nyie Simba endeleeni kuishi kwa Matumaini tu. Si maswala ya kuombea eti watakuja Nyumbani tushatoka huko. Popote kambi.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Yanga wakati wanafanya usajili, Simba wao walikuwa Uturuki wanatengeneza shepu

    Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na nyuzi nyingi za kuwaaminisha watu kuwa Yanga ni timu dhaifu na kuwa ilishiriki kombe la Luza na hawataambulia chochote msimu huu. Mashabiki wa Makolo wanajaribu kutembea na historia kuliko uhalisia. Wanashindwa kuamini kabisa kuwa timu yao Kwa sasa haiwezi...
  7. JamiiForums Tanzania Simba msibweteke na matokeo ya Simba day

    Wachambuzi wetu ni wadau muhimu kwenye mpira wetu, lakini Kuna wakati hawautendei haki mpira wenyewe kwasababu zisizojulikana au ushabiki wa timu. Simba Day umati wa mashabiki ulifurika uwanja wa Mkapa kuiona timu yao. Hii ilisababisha kocha wa Simba acheze mechi ya ushindani zaidi (must win)...
  8. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba na Yanga leo kuna kulia na kucheka au kucheka na kulia

    Leo hii kila shabiki wa timu hizo mbili anafanya maombi ya kupata matokeo mazuri. Nilichokipenda kwenye mechi za leo ni muda mmoja timu zote zinaingia uwanjani. Baada ya dakika 90 mbivu na mbichi zitajulikana.
  9. JamiiForums Tanzania Simba iombe Yanga isiingie makundi, ikiingia itavunja rekodi zote za nyuma

    Jana Al Ahyl kafa peupe na aliyemfunga ndo yule aliyepelekewa moto akiwa kwao na pira Nabi, kama haitoshi akafa moja bila. Rekodi za Simba zipo salama as long as Yanga hajacheza gemu zake mbili dhidi ya El Merreikh. Endeleeni kuomba tusiingie makundi.
  10. JamiiForums Tanzania Tupia utabiri wako kuelekea weekend ya Kimataifa kwa Simba & Yanga zilizopo ugenini

    Simba na Yanga zote ziko nje ya nchi katika majukumu ya michuano ya vilabu Afrika. Simba watashuka dimbani pale Levy Mwanawasa Stadium kuwakabili Power Dynamos huku watani zao wakishuka dimbani pale Pele Stadium kuwavaa El Merreikh ya Sudan. Weka utabiri wako timu ipi itapata matokeo yapi?
  11. JamiiForums Tanzania Hongera Yanga: Msafara wa Rwanda, Simba mna la kujifunza

    Igweee! Naomba niende directly kwenye Point: Mpira wetu hasa kwa ngazi za Vilabu umekuwa sana, na hii kwa kiasi kikubwa pia inachangiwa na hamasa kutoka kwa wadau mbalimbali wakiwemo wasemaji wa vilabu vyetu. Lazima tukubali hili, uwekezaji unaweza ukawa mkubwa lakini kama hakuna hamasa...
  12. JamiiForums Tanzania Hongera Simba SC Kutinga orodha vilabu bora Afrika

    Napenda kutoa pongezi za dhati kwa Simba Sc na uongozi wake kiujumla kwa hatua hii kubwa. Kwa mujibu wa Orodha ya shirika linalohusika na Takwimu za kimichezo duniani IFFHS, Iliyotoka mapema jana, aimeonyesha vilabu viwili pekee kutoka Tanzania vikiwakilisha vyema. Place Last Clubs Country /...
  13. JamiiForums Tanzania Usijenge tena Ngorongoro hayo ni maeneo ya hakina Simba

    Masaai hataki kuelewa mjomba mliopo mnatosha hizo nyumba zilizopo mkirishina sawa. Mnaotaka makazi mapya mtengewa maeneo mengine; huko maporini achieni himaya za wanyamapori hawana pakwenda msiwafuate. Masai hataki kuelewa, yeye nani. Hakuna kurudi nyuma Masaai lazima adhibitiwe
  14. JamiiForums Tanzania Serikali yaipongeza Simba kwa kuwa miongoni mwa vilabu nane bora vinavyoshiriki michuano ya African Football League

  15. JamiiForums Tanzania Simba iombeni radhi Ngome FC

    π™π™Šπ™†π™€π™‰π™„ π™ƒπ˜Όπ˜Ώπ™ƒπ˜Όπ™π˜Όπ™‰π™„ π™ˆπ˜Όπ™†π™Šπ™‡π™Š Neno samahani ni dogo sana haswa kwa yule alieyefanya makosa,,Makolo msione aibu tokeni hadharani waombeni msahama tu Ngome kwasababu kudarisha logo haitoi uhalisia Kama mmekosea kutoa taarifa yenu kwa madunduka wenu. Ombeni msamaha [emoji1666]. Cc: castor Yanga NB: how...
  16. JamiiForums Tanzania Ngome Fc yakanusha kufungwa 6-0 na Simba

    Hii ndio taarifa ya Ngome Fc. Klabu hiyo imekanusha kufungwa goli 6 na wameiomba Simba Sc kuwaomba radhi.
  17. JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke wachezaji maarufu waliocheza timu zote mbili za Simba na Yanga

    Uzi huu una lengo la kutaja wachezaji waliopata kucheza vilabu vyote viwili vya Simba & Yanga. Naanza na Edibily Jonas Lunyamila, huyu alicheza Yanga na baadae alicheza Simba japo alivuma zaidi akiwa Yanga. Pia yupo Kelvin Yondan alicheza Simba na baadae Yanga na alijipatia umaarufu zaidi...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa mpira wa jana wa Tanzania sitaki kusikia tena dhihaka kwa Simba na story za papatupapatu

    Jana Tanzania imefuzu kwenda AFCON baada ya kutoka suluhu na Algeria. Imekuwa ni desturi iliyojengeka mitandaoni na vyombo mbalimbali vya redio kuisema vibaya Simba hata pale inapopata matokeo yaliyo katika malengo ya timu. Hili halijaanza msimu huu tu, tukirudi hata msimu uliopita hizi...
  19. JamiiForums Tanzania Australia wakamata ngozi halisi za Simba na Chui zilizotengenezwa kama mazulia kutoka Tanzania. TAWA yasema inafanya uchunguzi

    Ni nyara za Serikali zilizokamatwa kwenye makasha makubwa kwenye uwanja wa ndege nchini Australia, inasemekana zimepakiwa kutoka KIA nchini Tanzania, nani anahusika na uhujumu huu? Serikali itoe tamko. Tazama video. UPDATE TAWA kuchunguza Nyara za Serikali kukamatwa Australia
  20. JamiiForums Tanzania Utofauti kwenye ushabiki kati ya Yanga na Simba ni mkubwa sana

    Safari ya kwenda Rwanda kushangilia timu yao yanga wameshajaza mabus 6 , huku upande wa pili wamejaza mabus mawili , nataka nishuhudie huu mpambano mpk mwisho
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…