simba

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kilichosababisha SIMBA kuingia AFL hiki hapa

    Habari zenu, Kumekuwa na sitofahamu baadhi ya mashabiki wa Tanzania wanajiuliza imekuwaje simba kuingia African footbal league wakati simba ipo nafasi ya 9 Africa kwa club Bora(sio club kubwa ni club bora nieleweke hapo msichanganye bora na ukubwa). Katika CAF FOOTBALL CLUBS RANKING simba ipo...
  2. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa point za Simba kwa miaka mitano iliyopita kimataifa na harakati za Yanga kumpita

    Mimi huwa napenda sana namba na hesabu Kwani hazidanganyi, haziongopi wala hazipendelei Jinsi Simba alivyojizolea point 35 katika msimamo wa vilabu bora Afrika 1) Msimu wa 2018/2019 aliishia robo fainali Klabu Bingwa hivyo akajizolea point zake 3 2) Msimu wa 2019/2020 alipata point 0 Sijui...
  3. JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati Sahihi wa Simba na Yanga Kuunganisha Silaha, Kupambana na Waarabu

    Miaka ya hivi karibu timu zetu hizi mbili zimekuwa kwenye kiwango angalau kinachoridhisha kwenye michuano ya kimataifa. Pamoja na mafanikio hayo tumejikuta Usimba na Uyanga unatupumbaza kiasi ambacho tunashindwa kungamua kuwa mshindani wetu mkuu kwenye soka kwa sasa ni mwarabu pekee. Sasa ni...
  4. JamiiForums Tanzania Jonas Mkude aishtaki Mohammed Enterprises kwa kutumia picha yake bila idhini, adai fidia Tsh. Bilioni 1

    Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Jonas Mkude amefungua kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam akiidai Kampuni ya Mohamed Enterprises Tanzania Limited (METL) fidia ya Sh 1 bilioni kwa kutumia picha zake katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo Instagram na Twitter (sasa X) bila idhini...
  5. JamiiForums Tanzania Shida ya Moses Phiri ni kuwa position yake haijulikani pale Simba

    Hili jambo nililiona siku nyingi za nyuma nikaamua kulikaushia ila ngoja tu leo niliseme. Ukipitia profile za wachezaji wote wa Simba katika website ya timu, Moses Phiri ndiye mchezaji ambaye ana taarifa fupi na chache kuliko mchezaji yoyote. Wakati wachezaji wengine katika profile zao...
  6. JamiiForums Tanzania Simba yangu kinachoniuma tunautaka utamu halafu tunautafuta kulee?

    Mimi ni mmoja wa watu ambao nimeipigania sana Simba huku mitandaoni ila ikafika wakati nikaamua kupumzika maana kuna mambo yanakatisha tamaa sana ndani ya Simba yangu. Simba ina wachezaji bora sana shida ni jinsi wanavyotumika. Kuna mentality inabidi ibadilishwe pale kuanzia kwa viongozi...
  7. JamiiForums Tanzania Simba kupata sare na Al-Ahly ni uimara wa Simba au udhaifu wa Al-Ahly?

    Simba imepata sare ya 2-2 na Al-Ahly kwa Mkapa na 1-1 Cairo kwenye AFL mwaka huu. Kwa muda mrefu Simba huwa inaishia Robo Fainali kwnye Mashindano ya CAF, na sasa wameishia hapohapo kwenye robo ya mashindano kwa kutolewa na Al-Ahly kwa kanuni ya bao la ugenini. Wadau wa Simba wanadai kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Djibril Sylla: Kutinga hatua ya robo fainali mara kwa mara kumeifanya Simba kuwa klabu maarufu Afrika

    Wakati wengine wakibeza kitendo cha Simba cha miaka kama mitano ya hivi karibuni kuishia hatua ya robo fainal ya michuano mbalimbali ya Afrika maarufu kama 'mwakarobo' (CL x3, CC x1 na AFL x1), kumbe jambo hilo kwa wachezaji wenyewe wa nchi mbalimbali za Afrika (sio washabiki wa Bongo)...
  9. JamiiForums Tanzania GUMZO: Al Ahly ageuka kibonde baada ya mechi na Simba

    Je, Simba SC kutolewa na Al Ahly SC ilipaswa kuwa story kubwa?. Majibu ya swali hili yanaweza ibua mijadala mingi sana, ambayo si yataleta tofauti kwa mashabiki (watu kushikana mashati) bali italeta hisia tofauti kuanzia kwa ngazi ya uwekezaji, uongozi hata wachezaji kwa ujumla. Lakini kuna...
  10. JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba na sub za kizamani

    Mimi sio Mchambuzi wala Kocha, natoa maoni yangu kwa uzoefu ninaoona kwa kile kinachofanywa na makocha wengine. Katika mchezo wa jana Ahly na Simba, Sub ya Kenedy ilikuwa sub muafaka kwa wakati sahihi, lakini nimeona makocha wengi wakitaka kuzuia, nasi option ya kwanza ni kumiliki mpira. Sasa...
  11. JamiiForums Tanzania Sidhani kama simba wamefanya sahihi kwenye hili!!

    Zimepita siku kadhaa, Simba SC walitangaza Jezi ambazo watazitumia kwa ajiri ya Michezo ya AFRICAN Football League ambazo Zilitakiwa kuwa na Logo za Wadhamini wa Mashindano na Logo ya shindano lenyewe. Lakini Cha Kushangaza Katika Mchezo Wa marudiano hapo Jana Dhidi ya Al Alhly, Simba SC...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa nini hivi karibuni mechi za Simba na Yanga zinafanana?

    Kuna jambo ambalo nilianza kulinotice msimu uliopita. Nakumbuka kuna kipindi ambacho Simba akishinda 4, Yanga anashinda 4, Yanga wakifunga goli kama la Mudathir Yahya dhidi ya TP Mazembe, Simba wanakuja kufunga goli hilo hilo. Kwa wale waliobahatika kuangalia mechi za kwanza za Simba vs Power...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Simba mliukamata mchezo mkafeli kuumaliza!

    Salamu hazina maana tunazeeshana bure. Ukiangalia mechi ya kwanza hapa kwa Mkapa wenyewe mtayaamini maneno yangu, Simba walikuwa vizuri sana, Waarabu wapo hovyo, upangaji wa kikosi wa Robertinho umewafelisha Simba kushinda nyumbani. Unaanza na Luis Miquissone wa kazi gani na kumuacha Baleke na...
  14. JamiiForums Tanzania Simba njoeni mjifunze kwa Mamelodi Sundowns jinsi ya kumtindua Al Ahly

    Mapema mwaka huu Al Ahly walitukwepa Na kidondokela wakachukua kombe la CAF CL dhidi yaWydad Na jana refa akawa anafanya kila mbinu ili mtukwepe tena kwa kumpa a straight red card beki wetu kisiki M.Mvala ili mpate kamserereko kwa Atletico de Luanda Mungu si Selemani,tumekutana Enyi Simba...
  15. JamiiForums Tanzania Simba njoeni mjifunze kwa Mamelodi Sundowns jinsi ya kumtindua Al Ahly

    Mapema mwaka huu Al Ahly walitukwepa Na kudondokela wakachukua kombe la CAF CL dhidi ya Wydad Na jana refa akawa anafanya kila mbinu ili mtukwepe tena kwa kumpa a straight red card beki wetu kisiki M.Mvala ili mpate kamserereko kwa Atletico de Luanda Mungu si Selemani, tumekutana. Enyi Simba...
  16. JamiiForums Tanzania Simba njoeni mjifunze kwa Mamelodi Sundowns jinsi ya kumtindua Al Ahly

    Mwaka jana mke wetu Al Ahly alitukwepa kwenye CAF CL Akapata kombe la ndondokela dhidi Wydad Sasa tunakutana kwenye AFL,mjiandae na muupake kabisa mafuta Enyi wana simba njoeni mumuone kaka yake na Yanga anavyompiga nje ndani Al Ahly Tena siyo kwa goli chache,kuanzia tano kwenda juu...
  17. JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba na Al Ahly ni kama ilikuwa maigizo

    Hii mechi ilivyokuwa ni kama ni maigizo kwa namna ilivyokuwa timu zinacheza. 1) Al Ahly wameonesha wana accuracy ndogo sana kwenye final third ya mpinzani. Mechi zote mbili, wachezaji wa Al Ahly wameonesha uwezo mdogo sana katika umaliziaji kama sio wachezaji professional vile. Mipira...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Wanaoichukia Simba kubalini tu maumivu, Al Ahly atawaangusha!

    Nawaheshimu Al Ahly, lakini si kwamba hawafungiki, leo watalazimika kulitema tonge kabla hawajalimeza! Hii itapelekea wanaoichukia Simba kuumia sana! Ila sina jinsi ya kuwasaidia itabidi wajiandae tu kisaikolojia! Niwaombe tu akina Laban Og, Nalia Ngwena, Genta nani vile…. na wengineo...
  19. JamiiForums Tanzania Unaijua Simba? Mnyama…

    Ifike muda tukubali kuwa Simba SC ni timu kongwe na bora ila wale wengine ni timu kongwe. Sasa cha kushangaza leo kwenye pita pita zangu nimeona kuna kampuni ya kubet imeipa odds 20 kama Simba SC watashinda mechi ya leo! Naombeni mnisaidie kuitaja nimesahau jina!
  20. JamiiForums Tanzania FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

    Haijakamilika Mpaka ikamilike. Leo 24.10.2023 Muda wa saa 11 jioni kwa saa za Africa Mashariki. Itapigwa Match ya marudiano kati ya hawa mabingwa wa Africa. Ni Al Ahly ya Misri dhidi ya Simba ya Tanzania. Ikumbukwe kwenye 1st Leg Iliyopigwa Dar es Salaam 20.10.2023. Timu hizi zilitoka sare...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…