Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.
Mwanachama wa Yanga SC, Mzee Magoma amesema ni bora timu iingie uwanjani kuikabili Simba SC kuliko kupoteza alama 15.
Asisitiza mechi ipigwe bora wafungwe kuliko kuliko kupoteza mechi 15. Na aliyesema timu isipelekwe uwanjani ili alama 15 zipotee huyo ni mtu wa Simba na siyo wa Yanga tena.
Pia...
Nimeangalia kwa umakini haya marekebisho ya ratiba naona siyo rafiki kabisa kwa Simba. Sijajua ushirikishwaji wa wadau wa hizi timu upoje kabla ratiba haijatolewa au kufanyiwa marekebisho ila naona kuna mapungufu makubwa.
Tukianzia, nimeshangaa kuona game ya KMC vs Simba ya tarehe 11/05 bado...
Bodi ha Ligi imetoa ratiba za viporo vilivyobaki, huku ikifanyia pia marekebisho ya tarehe kwa baadhi ya michezo.
Jambo kubwa zaidi ni kuwa derby ya Kariakoo bado ipo palepale, itapigwa Juni 15, 2025, saa 11:00 Jioni uwanja wa Benjamin Mkapa.
Hii inajiri masaa machache baada ya Klabu ya Yanga...
Wazee wana michezo habari zenu.
Bila kupoteza muda niende kwenye hoja,kumekua na maamuzi mengi ya hovyo yanayofanywa na marefa na baadhi ya wachezaji na benchi la ufundi la timu pinzani pindi simba ikicheza ilimradi kuiharibia simba mwana lunyasi inakera sana.
Sisi Simba hatuihitaji busta yenu...
Karibu Wadau Wa Soka uweke utabiri wako Wa tukio la kustaajabisha litakalokuacha mdogo wazi (kupigwa bumbuwazi) kwenye Mchezo Wa JKT Tanzania vs Simba SC kati ya haya yafuatayo.
(1) Penati ya mchongo Baada ya mchezaji kujiangusha kwenye Penati box
(2) Kadi nyekundu yenye utata na...
Ama Kwa hakika Simba hua anashiriki mashindano ya Kimataifa katika mazingira magumu sana tofauti na wapinzani wao wote,yaani wa ndani na nje.
RS Berkane wao walishamaliza ligi Yao siku nyingi TU na Sasa kazi Yao ni moja TU,kujifunza kuisoma Simba na kufanya mazoezi dhidi ya Simba TU.
Wakati...
FT Simba 2-1 Azam
Nimefarijika sana kuwaona wachezaji wakongwe wa Simba. Nikiri kwamba hawa ndio watu waliofanya nianze kushabikia Simba SC enzi za RTD na mtangazaji Juma Nkamia na Bin Swed
Dua Bin Saidi
Pamba Lufo
George Masatu
Kipa Kelvin Mhagama
Chombo Redondo
Haruna Boban
Adam Kingwande...
Poleni sana Mashabiki wenzangu Wa Simba SC!!
Ukitoa mafanikio ya kufika nusu fainali shirikisho tena mafanikio ambayo wenzetu (Yanga SC) walishavuka,
ukitoa mafanikio ya Yanga SC kushindwa kesi huko CAS na tulipata furaha mno tena mno
na ukitoa mafanikio ya sisi wanasimba (Mashabiki)...
Kama kuna timu imejifunga goli leo ni Mashujaa FC. Dakika za mwanzo wamegeuza uwanja kuwa sinema ya kuchelewesha mpira—kipa analala juu ya mpira, mabeki wanatembea kama wanaenda sokoni, na kocha anapiga makofi kana kwamba wanaongoza ligi!
Lakini Simba SC si ya kufanyia maigizo! Tulikaa kimya...
Mambo ya kushangaza na kustaajabisha kabisa hata kama ni kubebwa Lakini hii ni too much
Mashujaaa FC wamezurumiwa wazi kabisa na Refa aliyechezesha Mchezo dhidi ya Simba SC na Mashujaaa.
Dakika kumi na tano za nyongeza na Penati isiyo halali Refa kafunika mkwaju Baada ya kuambiwa na mchezaji ...
Kuna upotoshaji unaendelea ati Yanga ameshindwa kesi, sio kweli Bali Yanga amepewa mwongozo kuwa aanzie kwenye kamati ya Rufaa ya TFF
Kanuni za CAS ni kuwa tukio linalolalamikiwa linapotokea CAS hutoa siku 21 liwe limefika mezani kwao
Baada ya bodi ya ligi kuhairisha mechi kihuni, Yanga...
Kuna video clip nimeiona jana ya mtu ambaye inasemekana ni Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Geita, anayejulikana kama Manjale akiitumia timu ya Simba na mafanikio yake kukinadi chama chake. Hii video inatia kichefuchefu maana huyu bwana anaongea kama vile yeye ni kiongozi pale Simba...
Mtangazaji wa Wasafi FM, BabaLevo aweka ahadi kama Simba wakishinda Kombe la Shirikisho Afrika, mashabiki wa klabu hiyo waende kuvunja ghorofa lake.
Credit: Wasafi FM
Hata Mimi ntaweka ahadi ya gari langu Land cruiser v8
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Poti wangu Crescentius Magori, Msemaji Ahmed Ally, Mwenyekiti Mangungu, Meneja na Mtani wangu wa Kihaya Patrick Rweymamu, Wajumbe Salim Abdallah Mhene Try Again, Swedi Nkwabi na Dada yangu Asha Baraka bila kusahau na Wadau wengine wa Simba SC najua huwa mnanisoma mno GENTAMYCINE hapa JamiiForums...
Simba hii ya mwaka 2025 ni Simba ya maajqbu.
Imefanya mambo yaliyofanywa na baba zao miaka 32 iliyopita.
Kwangu Mimi Simba hii ni moja kati ya kikosi Bora kabisa Cha Simba,hii ni Kwa sababu ya namba zake.
Sikatai ubora wa vikosi vya Simba vilovyopita,lakini kikosi hiki ni Cha maajabu sana...
Sisi kama mashabiki og tunaoenda uwanjani mechi zote za Caf kma mechi za mtoano hakukuwa na Tajiri aliyetununulia tiketi za bure basi fainali napo tunaomba kila mtu alipie ili wapenzi.halisi wa simba tupate nafasi ya kuona fainali
Hii mechi mkiitumia kisiasa sijui mtu.mmoja anunue tiketi 30,000...
Mimi kama mzee wa za ndaaani, nimepata taarifa kuwa kikosi cha Simba kikiwasili leo wana mipango ya kwenda moja kwa moja makao makuu ya Yanga pale Jangwani.
Wachezaji wa Simba wameshaandaliwa kimbinu na kisaikolojia kuwa iwapo itatokea kina Aziz Ki na Pacome wapo viunga vya hapo bondeni na kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.