simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Emil Mpanzu kwa Upuuzi ulioko Simba SC nakushauri kwa hizi Timu tatu kubwa ambazo zimeleta Ofa Kwako nenda na usibaki Simba SC kwani unapoteza muda tu

    Hizi ndizo Timu tatu ambazo tayari zimeshaonyesha Nia ya Kumsajili Mchezaji Emil Mpanzu tena kwa Fedha nono sana.... 1. KRC Genk 2. Brest FC 3. RS Berkane Ila Mimi kama GENTAMYCINE mwenye Jicho la USHAURI na kuona mbali kama Ndege Tai nakushauri uende KRC Genk ok?
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC nasikia mnataka kuwaacha Nahodha Zimbwe Jr na Kapombe. Kwa Kapombe nawaunga mkono ila kwa Nahodha Zimbwe nakataa 100%

    Na nimesikitika sana kusikia kuwa baadhi yenu Viongozi wa Simba SC ambao nawaheshimu Personally mkisema kuwa moja ya sababu Kuu ya kutaka kumuacha Nahodha Mohammed Hussein Zimbwe Jr Tshabalala ni kuwapiga Miba (Kuwaroga) Mabeki wazuri wa Nafasi yake ambao wanamzidi Uwezo. Ngojeni leo...
  3. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC unapaswa kujitokeza kuomba radhi Mashabiki kwa kudanganya thamani ya Kikosi cha Msimu wa 2024/25

    Mashabiki wa Simba SC msimu huu wameachwa na maswali mengi baada ya uongozi wa klabu hiyo kutangaza kuwa kikosi cha msimu wa 2024/25 kina thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 5. Hata hivyo, hali halisi uwanjani imeonesha tofauti kubwa kati ya maneno na uhalisia wa viwango vya wachezaji waliopo...
  4. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Simba imethibitisha Murtaza Mangungu kung'atuka kwenye uongozi Simba SC

  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC tumeshaanza 'Kupigishgana Shoti' halafu mwisho wa siku Yanga SC anakuwa Bingwa na tunabaki na Ubingwa wetu wa kuwa namba Nne CAF RANKS

    𝗧𝗥𝗔𝗡𝗦𝗙𝗘𝗥 𝗡𝗘𝗪𝗦: Simba wako kwenye mazungumzo na kiungo wa Bravos do Maquis ya Angola,Higino Epalanga Kapitango (22). Kiungo huyo anasifika kwa upigaji pasi mzuri na magoli ya mbali. Chanzo: Baraka 255 Tunaoujua vyema Mpira wa Kitanzania na hasa Siasa zake za ndani GENTAMYCINE tayari kuna...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wachezaji wanaotajwa kutemwa Simba SC dirisha hili la usajili, Ahoua, Manula, Ngoma, Mukwala na wengine

    Kuelekea msimu ujao, tetesi zasema Simba SC kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake. Kwenye dirisha hili la usajili, taarifa zinaeleza kuwa wachezaji kadhaa huenda wakaachwa au kuuzwa na klabu ya Simba SC. Orodha ya wachezaji wanaotajwa kuondoka ni kama ifuatavyo: MAKIPA: Aishi Manula...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua pamoja na Yanga SC kuchukua Vikombe vitatu kwa Msimu huu je, mpaka sasa katika Viwango vya CAF ipo ya ngapi kulinganisha na Simba SC?

    Na kwanini Simba SC pamoja na kutofanya vyema Msimu huu huku ikichekwa mno bado ipo katika 10 bora Barani Afrika?
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wote wa Mzee Hassan Dalali Simba SC Kitakwimu Yanga SC ilifungwa mfululizo na zaid ya mara 5 yao, angalieni Takwimu zenu vizuri

    Siku nyingine muwe mnawaambia hao Waandishi wenu walio katika Payroll zenu wajikite zaidi katika Data and Research Journalism ili wenye Akili kubwa tusiwafharau na tusiwaone Wapumbavu. Imeisha hiyo.....!!!!!!
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mangungu tayari uliyekuwa ukimuuzia Simba SC na kila mara wana Simba SC tunalia nao keshachukua Fomu ya Ubunge Kigamboni nawe yako unaichukua lini?

    Na GENTAMYCINE nina TAARIFA za uhakika kuwa yule MNAFIKI Mstaafu wa Chalinze Bagamoyo Kawe Beach katika moja ya Mkakati wake mkubwa nawe dhidi ya Simba SC alikuhakikishia kuwa hakikisha wana Simba SC wanalia kila mara wakikutana nao ili huu mwaka akufanyie Mipango kwa yule ANAYEMMUDU sasa...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimeipongeza Yanga SC kutufunga Simba SC na kwa mara ya 5 Mfululizo, ila nasikitika kuona huu Ukweli wa Kitakwimu umefichwa ili Kuikandamiza Simba SC

    Bado GENTAMYCINE naendelea Kuipongeza Yanga SC kwa Kutufunga hivi juzi (na kwa mara ya Tano mfululizo) na Kutwaa Ubingwa wa NBC Premier League ila kwa KUJIAMINI kabisa ninapingana na Watu ambao kwa AGENDA zao au kwa ama KUTOKUJUA wamekuwa wakisema kuwa Yanga SC imeweka Rekodi ya Kuifunga Simba...
  11. Franky Samuel

    JamiiForums Tanzania Andiko la kwanza la Ahmed Ally baada ya Simba kufugwa, hata Madrid amefungwa EL CLASSICO 4 mfululizo

    ANDIKO LA KWANZA LA AHMED ALLY KUHUSU SIMBA YA SASA..!! . Nianze na pole kwa Wana Simba kumaliza msimu bila ubingwa katika mashindano tuliyoshiriki hususan ligi kuu ya NBC Wana Simba tuepuke presha za wanaotuaminisha tumefeli kupita kiasi Ni kweli hatujapata ubingwa lakini sote ni mashahidi...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GENTAMYCINE nikiulizwa nataka Simba SC iachane na Wachezaji wangapi ili ya Msimu ujao iwe Tishio nitasema wakubakia wawe 3 tu ila wengine wafukuzwe

    Camara, Mukwala na Mpanzu kwa Wageni wabaki na kwa Wenyeji abakie tu Kagoma, Tshabalala ila wengine Watemwe.
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nilisikitika sana tu kuona wana Simba SC wengi wakiyadharau Maneno ya Mchezaji Obrey Chirwa kelekea Mechi yetu tuliyoadabishwa ki haki jana kwa Mkapa

    Na kilichoniuma zaidi ni kwamba 95% ya waliokuwa 'wakimbeza' Mitandaoni hata Mpira wa Chandimu tu hawajacheza!!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Simba imesababisha watu wapoteze ajira zao, gharama za kuleta marefa wa nje, hasara kwa Azam tv na mashabiki na bado imecheza mpira mbovu sana

    Habari wadau. Ukweli simba ya msimu huu ilipaswa wachezaji wote na viongozi wachapwe viboko. 1. Simba kugoma tarehe 8 kwa sababu ya kipuuzi ya mazoezi ya nusu saa, imesababisha ma bosi wa bodi ya ligi wamejiuzulu. Wazee wa watu wamepoteza ajira yao. Watoto wao wanateseka sababu baba hana kazi...
  15. Voltaire

    JamiiForums Tanzania Coach Fadlu: Simba hii haivutii kuitazama ikicheza

    Frankly speaking, mimi kama shabiki wa Simba,naona kabisa tunapoelekea na aina ya uchezaji wa team ni ngumu sana kwenye mechi za Champions league baada ya makundi!(Kama tutapita). Tuna expect kukutana na Mamelodi,Ahly,Esperance,Wydad na berkane! Hakuna muunganiko kuanzia nyuma kuja katikati na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kipigo cha 5 mfululizo dhidi ya Simba kinatoa majibu Yanga ni timu bora kwa sasa na sio vinginevyo!

    Ni ngumu sana kutegemea propaganda kukuvusha badala ya kufanya usajili Bora na makini, Ni ngumu sana kutegemea waandishi machawa kukufanyia promo kwamba timu yako ni Bora wakati wanakupoteza! Na auwezi kuukwepa ukweli kwamba yanga ni Bora dhidi yako kwasababu amakupiga mechi 5 mfululizo Tena...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kabla ya mchezo wa Yanga SC dhidi ya Simba SC wachezaji wa timu zote kupimwa kama wametumia dawa zisizofaa michezoni

    Inaelezwa kuwa kabla ya mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC wachezaji wa timu zote mbili watapimwa kama wametumia dawa zisizofaa michezoni. Ikumbukwe kuna mwaka Jana, kuna video ambayo ilizua mijadala na kuibua tuhuma mbaya kwa klabu ya Yanga kuwa hudungwa Sindano...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Simba wathibitisha kupeleka timu uwanjani

    Simba imemaliza utata wa Dabi ya Kariakoo baada ya kuweka taarifa za kuwa tayari kucheza mchezo huo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii. Simba ilikua kimya kwa muda mrefu kuhusu mchezo huo, hali ambayo iliibua maswali kwa mashabiki wengi waliokuwa wanataka kufahamu msimamo wa timu hiyo...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC Wenzangu hapa JF hivi huyu Shabiki Mandala siyo 'Pancha' kweli?

    Kila Siku ninavyozidi kumtizama katika Mitandao mbali mbali naona kama vile simwelewi na kama vile ni Pancha Kubwa.
  20. Bueno

    JamiiForums Tanzania Leo Ndio 25.06.2025 Leo Ndio ile Siku Simba SC anaenda Kukichapa na Yanga. Je! Watacheza?

    Ya Ngoswe tumwachie Ngoswe. Leo ndio siku ile iliyokua inasuburiwa kwa hamu na Wadau na Mashabiki wa timu hizi mbili, hapa naizungumzia Dabi ndio ni Dabi ya Kariakoo, huku Simba SC kule Yanga SC nani atamtwanga mwenzie siku ya leo? Je! Ni kweli leo Simba SC hawataingiza timu yao uwanjani yaani...
Back
Top Bottom