simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY mzabuni wa utengenezaji Jezi

    Kampuni ya JAYRUTTY imeshinda tenda ya zabuni ya utengenezaji na usambazaji wa jezi za Simba SC. Klabu ya Simba imesaini mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya Bilioni 38,120,400,000 na Kampuni ya JAYRUTTY kwa ajili ya kutengeneza na kusambaza jezi na vifaa vyenye nembo ya Simba. Kampuni ya...
  2. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kama itaingia fainali ya CAFCC, kwa hatua ya dharura, Simba SC ichukue hatua hizi za kuzuia maji uwanja wa Mkapa

    Iwapo Simba itaingia fainali ya CAFCC, hakuna mwanasimba au mpenda soka yoyote nchini anayejitambua atakayefurahi kuona Simba inakosa fursa ya kutumia uwanja wa Mkapa, hasa ukizingatia pia mechi ya pili ya kukabidhiwa kombe itafanyikia katika uwanja wa nyumbani. Litakuwa ni kosa la karne na...
  3. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba SC sasa ina profile kubwa sana Afrika na Duniani

    Kwa nafasi iliyofika kama klabu ya nne kwa ubora Afrika, Simba SC sasa ina profile kubwa isiyopingika wala kuwa na ubishi katika mpira wa Afrika na duniani. Rai yangu kwa wachezaji, viongozi na mashabiki walitambue hili na walilinde kwa nguvu zao zote. Sasa hivi timu zitakuwa zinaikamia Simba...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba SC na Stellenbosch kupigwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar

    Mechi ya kwanza ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho CAF kati ya Simba SC na Stellenbosch Aprili 20, huwenda ikachezwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Taarifa zisizo rasmi zinaeleza maandalizi yanaendelea, ingawa bado hakuna uthibitisho kutoka CAF wala klabu ya Simba.
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 3-1 Mbeya City FC | CRDB Bank Federation Cup | KMC Stadium | 13.04.2025

    Simba SC watashuka dimbani leo saa 10:00 jioni kuwavaa Mbeya City katika mchezo wa Robo Fainali ya CRDB Bank Federation Cup, ukitarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Mchezo huo utakuwa kipimo muhimu kwa Mnyama Simba SC ambao wanalenga kutinga hatua ya nusu fainali na kuweka rekodi ya kutwaa taji...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Simba msijisahau na kuendelea kusherehekea kuingia nusu,mkasahau kujiandaa na yajayo

    Historia inatuonesha Kuna watu walisherehekea mafanikio wakasahau kujiandaa kwa matukio yajayo,mwisho wa siku wakaja kupoteza kirahisi kabisa. Kitu ninachoweza kuwaambia, kwa kadri mtu anavyosonga mbele katika jambo lolote lenye faida, ndivyo anavyokutana na ugumu. Hivyo nawashauri Viongozi wa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Simba wana timu nzuri sana lakini uchoyo wa pasi kwa Washambuliaji unigharimu timu kila siku na hakuna mabadiliko

    Nimefuatila sana mechi za simba wanavyocheza! Straika wa simba wapo vizuri sana lakini kipengele cha utulive katika box la mpinzani hawana! Elie mpanzu ana speed nzuri lakini uchoyo ndani ya box unaigharimu timu asilazimoshe kushoot kila wakati . Ateba naye hivyo hivyo huwezi kuiona ile gusa...
  8. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Simba wanaweza kucheza ligi ya Egypt na kutoa upinzani, Azam FC wahamie ligi ya Zanzibar

    Simba wakisema wahamie ligi ya Egypt hawawezi kukosa tano bora.mpira wa Simba na timu za Egypt unarandana sana. Azam natamani wahamie ligi ya Zanzibar. Huku bara ibaki Yanga na nduguze
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said mbona humsaidii Haji Manara na linalomkumba sasa wakati Yeye alikusaidia katika Suala la Kutocheza na Simba SC?

    Hebu nawe msaidie Rafiki yako wa wasiwasi kwani ANAUMBUKA tu sasa Mitandaoni japo huwa Unamtumia kama Condom. hasa katika Kukufanikishia mambo yako ya Yanga SC na akishayatimiza kwa 100% na Wewe kuona Ufanisi wake huwa Unamtupa na hata Kumpiga Majungu na Rafiki yangu mwana Yanga SC lia lia...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nawaonyeni mapema kuwa leo shindeni kwani mkitoka tu Sare au Mkifungwa jueni mapema kuwa Simba SC anaenda kuwa Bingwa 2024/2025

    Msije kusema sikuwaonyeni mapema kwani kwa Moto wa sasa Watu hawatolala tena na sasa ni mbele kwa mbele tu Ok?
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally: Yanga SC ilifuzu Fainali CAFCC kwa kupita katika Migongo ya Maiti ila Simba SC imefuzu kwa Kucheza na Wanaume wa Kweli

    "Ukitaka kujua kuwa Yanga SC ilifika Fainali ya CAFCC kwa kupita katika Migongo ya Maiti kazitafute zile Timu zote alizocheza nazo kisha njoo uniambie kama hata kwa sasa zinafanya vizuri katika Ligi Kuu za Kwao au hata zimeweza tena kuwepo CAFCC kwa Msimu huu. Simba SC tuna haki ya Kujivunia...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Simba SC yatikisa kwa ubora Afrika, yapanda hadi nafasi ya 4

    My Take Lipokuja swala la kuiheshimisha Nchi na Ligi ya Tanzania Kimataifa,Simba ni Timu ipewe maua yake.
  13. Chibike

    JamiiForums Tanzania Simba wanaogelea kwenye pesa, kila pahala ni pesa tu

    Simba Oye! Rais wa Heshima Dewji Oye..Wazee wafupi wa kazi Oye! Fadlu Oye! Simba SC inaogelea kwenye pesa msimu huu haswa upande wa kimataifa. Hongera kwa viongozi, benchi la ufundi, wazee wafupi na warefu, wachezaji pamoja na mashabiki kwa kuhakikisha timu inaingia kwa kishindo kikuu Nusu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 niliyoyaona leo Simba ikitinga Nusu Fainali na Kuivaa Stellenbosch ya Afrika Kusini

    1. Kipa wetu Pin Pin Camara ndio usajili namba moja mzuri uliofanywa na viongozi wa Simba, ni kipa ambaye hata kama anafungwa huwa anafungwa kama wanavyofungwa makipa wengine duniani lakini haiondoi ukweli kuwa kipa huyu ni bora mno na Aishi Manula atafute changamoto timu nyingine. 2. Shomari...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba SC kuivaa Stellenbosch baada ya kuitupa nje Zamalek SC, Nusu fainali Aprili 20

    Simba SC itakutana na Stellenbosch FC ya Afrika Kusini baada ya kuwatoa Zamalek SC, Stellenbosch kashinda bao moja sifuri ugenini palepale Cairo. Soma, Pia: FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025 Mechi za nusu fainali zitapigwa April 18-20 na...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Ahmed Ally amwaga chozi baada ya Simba SC kufuzu Nusu Fainali CAF

  17. T

    JamiiForums Tanzania Jumapili Tunaenda Kushukuru Mungu Kanisani kwa Mwamposa!

    JUMAPILI TUNAENDA KUMSHUKURU MUNGU KWA MWAMPOSA!" Mashabiki wote wa Simba Sports Club, ushindi wetu si wa kawaida – ni wa kiroho! Ni lazima tumrudishie Mungu utukufu kwa neema, nguvu na ushindi aliotujalia. Jumapili hii (Tarehe 13 Aprili, 2025) Mahali: Kanisa la EFATHA, Ubungo – Dar es Salaam...
  18. ngara23

    JamiiForums Tanzania Hongera mtani, ni dhahiri hii Simba Wacha itambe huko Shirikisho

    Mashindano ya shirikisho Yana timu dhaifu mno. Kama hawa Waarabu wamelegea Mno Nawaza tu hii Simba mbovu ingekuwa kwenye mashindano ya wanaume yaani CAFCL achana na haya waliyomo ya akina mama Simba ndo ikutana na Al Hilal, Mc Alger au TP Mazembe kudadek laZima 5imba ingepigwa 5 Kaduguda...
  19. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Wale wote waliosema Mnyama akifungwa wapigwe Ban, wale Ban Fasta

    Wapigwe Ban Wiki Nzima Nguvu Moja Ubaya Ubwela Ni hayo tu!
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa aitakia heri Simba SC dhidi ya Al Masry

    Waziri Mkuu Majaliwa akisoma bajeti yake aitakia heri Simba SC dhidi ya Al Masry
Back
Top Bottom