Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.
Mimi kama mzee wa za ndaaani, nimepata taarifa kuwa kikosi cha Simba kikiwasili leo wana mipango ya kwenda moja kwa moja makao makuu ya Yanga pale Jangwani.
Wachezaji wa Simba wameshaandaliwa kimbinu na kisaikolojia kuwa iwapo itatokea kina Aziz Ki na Pacome wapo viunga vya hapo bondeni na kama...
Mungu ibariki Simba Sc nzima
Heshima kwa wachezaji wote, bench la ufundi, uongozi na mashabiki dunia nzima, mmetuheshimisha sana.
Pamoja na timu nzima kutupeleka fainali lakini wapo watu ambao majina yao inabidi yaandikwe kwa wino mwekundu wa moto..Majina yao yaandikwe sio kwenye kuta za Simba...
Kuna Watu hapa JamiiForums ni Wapumbavu (Mapopoma) hadi basi. Hivi unajijua kabisa Wewe ni mwana Simba SC na unajulikana hapa lakini kwa CHUKI ZAKO TU ZA KISIASA (za CHADEMA na CCM) unaiombea Simba SC mabaya huko Afrika Kusini katika Mechi yake ya Jana dhidi ya Stellenbosch FC na hadi Kuilaani...
Mimi sio mchambuzi wa soka,sio mtabiri wala sio mganga,Bali ni mtu ninaependa kuangalia mambo kwa kina.
Sababu zinazonifanya nione kabisa kua, safari hii na mwaka huu wa 2025,ni mwaka wa Simba kutwaa kombe la shirikisho ni hizi:
Ni kweli Simba bado inajenga timu,hili wala hakina ubishi.
Lakini...
Kombe la shirikisho limefutwa rasmi.
https://www.jamiiforums.com/threads/caf-kuyafuta-mashindano-ya-kombe-ya-shirikisho.2309878/
Simba ina chance ya kulihitimisha kombe hili kwa kuiheshimisha nchi kwa kushinda na kuwa timu ya kwanza nchini kuleta kombe la kimataifa la CAF.
Yanga waliwahi...
Kwanza napongeza sana uongozi wa Simba, bodi na mashabiki pamoja na serikali kwa kufanikisha Simba kuingia fainali na hivyo kuendelea kuweka rekodi.
Mchezo wa Leo vs Stellebosch ulikuwa mzuri kwa sababu tumetoka share na hivyo kikanuni tumeweza kufuzu kwa BAO letu la home.
Hata hivyo, kwa mtu...
Kwa heshima na taadhima, tunapenda kuwapongeza Yanga kwa kuweka historia ya kuwa watalii rasmi wa fainali za CAF Confederation Cup! 🎖️😂
Kwa muda mrefu mmekuwa mkihubiri injili ya "medali, medali", sasa tumewasindikiza rasmi kwenye kaburi la hadithi hiyo! ⚰️🏅
Simba tunaenda fainali, tutavaa...
Naona baadhi ya wachambuzi na mashabiki wa Simba wasio na ufahamu wa masuala ya Soka wanalinganisha kufuzu Kwa Simba Leo kuwa amefika record ya Yanga
Tukumbuke mashindano ya CAFCC ambayo alishiriki zilikuwemo nchi ambayo ni mabingwa wa mataifa Yao kama Yanga, Rivers united, Club Africain n.k...
Yanga mna ruhusa zote kubeba makombe yote ya ndani Ligi kuu, FA na hilo la Muuungano.
Hayo makombe ya ndani yapo tu wala hayana stress,
Simba tujikite na kombe la kimataifa ikiwezekana hata huko FA tujiengue
Mechi ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika mkondo wa pili kupigwa leo Jumapili.
Mnyama Simba SC atakuwa dimba la Moses Mabhida akicheza na Stellenbosch.
Mnyama anaingia katika mchezo huu akiwa na mtaji wa goli 1 - 0 alilopata kwenye mchezo wa kwanza pale Zanzibar.
Mechi hii itapigwa...
Ndiyo natembea bila nguo kifuani....watu waone manywele yote kifuani. Na kwa kitendo hicho nipigwe ban ya mwezi mzima kavu. Bila mbambamba.
Sioni Simba ya kushinda match ya leo na washambuliaji kama akina Ateba na Ahoua anabaki na goal anapiga nje....nlicheka sana. Mshambuliaji migulu baja...
Mnyama kesho anafuzu nusu fainal bila shaka yoyote, narudia kesho mnyama anafuzu pale Durban.
Utake usitake au kwa kisambaa Inye Iche tunakwenda final.
Tujiandae kwa wingi kwenda kuipokea pale Airport, am on the way to Durban
Mimi naomba nipingane na mashabiki wote wa simba na wachambizi wa mchele hapa Bongo wanaojiita wachambuzi wa soka.
Kibu, Mpanzu na Ahoua hawa watu wanatabia moja ya kupenda sifa, mapicha picha, camera na ujiko
Uchezaji wao ni kama wa boka au kibwana shomari tena afadhali boka na kibwana maana...
Leo baada ya ushindi kiduchu tunaanza kudanganyana kuwa mechi za nusu fainali hazina magoli mengi, pumbavu kabisa.
Hazina magoli mengi wakati RS Berkane anaongoza bao 2 huko hadi sasa half time halafu wewe unaleta uchawa wako wa kijinga jinga.
Wengine sisi tumeanza kwenda kuishangilia Simba...
Uongozi wa club ya Simba SC tafadhari huyu kocha wenu tutamzomea kuna sababu gani Deborah, Awesu na Nouma wanaanza Bench kila Mechi, inaumiza sana mechi zinazohitaji hao wachezaji kocha anafanya mchezo.
Tusipofika fainali lawama mtazibeba kwa haya machungu yetu inatia hasira sana huyu kocha...
Tuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.
Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri walikuwa na 2 shot on target na wakapata goli 2 .
Huwa wachezaji wa SSC hawajui maana ya Fursa, too...
Kuna wakati inabidi mashabiki wa Simba wawe na shukrani, Maana kama hiki ndicho kikosi chao cha kwanza, na aina hii ya uchezaji, basi nina uhakika 100% wasingeweza kufuzu hatua ya makundi katika mashindano ya Mabingwa wa bara la Afrika.
Wanapaswa kuoshukuru sana Azam na kushukuru kudondokea...
Hii ID ni moja ya ID zinazogombewa sana humu ndani. Watu wanapanda dau niwaachie. Wengi baada ya kugundua kupitia ID hii siri kubwa sana.... Niliache hili.
Naangalia hapa kwenye kioo sioni. Naangalia tena sioni hata kwa kuibia ibia. HAMNA KITU YAANI ZERO KABISA. SIMBA HAIENDI SHINDA HATA NUSU...
Ule msemo wa uchawi aupandi ndege inawezekana ukaja kutimia kule bondeni kwa madiba!
Simba pamoja na kuwa kwenye uwanja wake wa nyumbani na kufanya Kila aina ya ushirikina bado wamepewa mechi ngumu na vijana wa madiba!
Kama kawaida yao na jadi yao ya ushirikina ndio vimewanusuru Leo kupata...
Wakuu sijamaliza, muendelezo ni ule ule baada ya leo wale Makolo kufunga goli la Offside ya mchongo kutoka kwa Kibu akipewa assist na refa.
Sasa game inayofuata kwa Madiba miamba Stellenbosch wanaenda kuukata mzizi wa fitna. Simba SC kwa Stellenbosch hafui dafu nyumbani kwa Stellenbosch. Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.