simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa ya Tunisia wakopi jezi ya Simba Sc

    Hapa kuna jezi ya Tunisia ya mwaka 2019-2020 na kuna jezi ya Simba 2021-2022. Jezi ya Tunisia imetengezwa na kampuni ya Kappa wakati jezi ya Simba imetengezwa na Vunja bei. Hongereni sana Simba na Vunja bei.
  2. Area 56

    JamiiForums Tanzania Jezi mpya za Simba kwa msimu wa 2021/22 zavuja

    Nimeziona jezi za ugenini bado sijafanikiwa kupata ile ya nyumbani. Unazipa alama ngapi chini ya 10?
  3. Cicadulina

    JamiiForums Tanzania Confirmed: Jezi mpya za Simba SC msimu wa 2021/2022

  4. M

    JamiiForums Tanzania Jemedari Said amuumbua Mubashara Maulid Kitenge kwa Kushadadia Kwake Kuvuja kwa Jezi bora ya Simba SC

    "Nasikitika kuona tunaacha Kupambana kwa Matokeo ya Uwanjani tuko katika Upuuzi wa Kushindanisha Jezi na Kushadadia kama zimevuja au hapana. Arsenal FC ndiyo Klabu yenye Jezi nzuri mno ila Uwanjani ina Matokeo mabovu na ya Aibu. Kama wana Habari sidhani tunapaswa Kushangilia Kuvuja kwa Jezi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kama Mchambuzi Bora wa Mpira na Mtangazaji wa EFM Oscar Oscar ameikubali Jezi mpya ya Simba SC, wewe ni nani ukatae au ubishe?

    "Sijawahi kuona Jezi yenye Quality ya Juu kama hii ya Simba SC na kiukweli nitoe Sifa nyingi kwa Mtengenezaji Fred Vunjabei na hakika hana mfano Tanzania Kwani ametisha mno na sasa ni wakati wa Mashabiki wa Simba SC kuitafuta na Kununua kwani ni Jezi nzuri na inaonyesha kweli Simba SC ni next...
  6. N

    JamiiForums Tanzania TBT: Mo Dewji na Ali Hassan Mwinyi kwenye kuipokea simba 2003

    ilikuwa 2003 mabingwa watetezi wa Africa walipotolewa na Simba SC iliyokuwa chini ya udhamini wa METL kwa usimamizi wa kijana mdogo aitwaye Mohamed Dewji akifuata nyanyo za Uncle wake azim dewji ambaye miaka 10 nyuma aliweza ifikisha simba FAINALI YA CAF Zamalek ya mwaka huo ilikuwa moto na...
  7. TAI DUME

    JamiiForums Tanzania Simba SC, sasa ni pira full package a.k.a "pira makolokolo"

    Simba nguvu moja, Kwa usajiri huu wa msimu wa 2021/22 nachelea kusema kikosi kitapiga pira full package (all flavors inclusive = makolokolo kama yote). Simba ile ilitupa ladha moja tuu "biriani" dunia ikashangaa na brand ikakua kwa speed ya foojii. Waarabu wakatetemeshwa, wakongoman...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa SIMBA SC - Simba ni noma noma kweli....

  9. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Admini wa Dodoma Jiji FC ana utani na nani kwa hili Fumbo alilolitoa baada ya Wazambia kutupa raha wana Simba SC leo?

    "Mchezaji unamvalisha Jezi ina Watu kibao halafu unataka awabebe wote na Kukimbia nao hizo nguvu atazitolea wapi?" Chanzo: Ukurasa wa Dodoma Jiji FC. Akhsante mno Admini kunywa Soda tu.
  10. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Anahoji Msemaji wa Simba wa zamani Haji Manara

    Nadhani Lipo Tatizo kubwa sana kwenye hii cheque [emoji1787][emoji1787][emoji1787] 1. Iyo cheque inakua authorize kwa signature upande wa kushoto [emoji15] lakin kwakua anaitoa mfuko wa kushoto kuingza mfuko wa kulia ndio maana labda na hakutakiwa kuweka media basi[emoji1787] 2. Maturity date...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kama hawa Wazee Wanne wa Simba SC wakifanya wanachotaka Kukifanya kwa Hasira waliyonayo, Haji Manara anakuwa Chizi au Marehemu upesi

    Nimejaribu Kuwasihi mno wasifanye wanachotaka Kukifanya kwa Kitendo cha Haji Manara wakanionya ninyamaze vinginevyo nami pia watanijumuisha katika Kafara lao Kubwa wanaloenda kulifanya kwa Usaliti mkubwa na Dharau dhidi ya Simba SC. Na Kilichonitisha zaidi kuna Wazee Wawili kati ya hawa Wazee...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wale Wanasimba SC Wanafiki kama Haji Manara na mliokuwa mkimtetea wakati wenye Akili tulishamshtukia mnahama nae au?

    Wengine tulikuja na Threads za kila aina hapa JamiiForums za Kumsema Haji Manara huku tukiwa na Taarifa za Kutosha tu kuwa alikuwa ni Msaliti ndani ya Simba SC tukadharaulika na Kupuuzwa hatimaye leo tumegeuka kuwa ni Mashujaa na huenda hata tunastahili Tuzo za Heshima. Haya wale wana Simba SC...
  13. Viol

    JamiiForums Tanzania Manara alikuwa jipu Simba, ukweli umejitenga

    Tulijiuliza sana kwanini Yanga wanamtetea Manara humu? Mtu avunje miiko ya kazi halafu kundi la wahuni linamtetea. Uongozi wa Simba sio wajinga, leo manara anatangaza tamasha la Yanga kuonyesha hadharani usaliti aliokuwa anafanya. Unajua siku zote ukisingiziwa kama huhusiki haikuumi, Manara...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania MwanaSport acheni kujificha kwenye mgongo wa mashabiki wa Simba Sc

    Mashabiki wa Simba ndio sisi hatukuwahi kulalamika popote kwamba kwa nini hamrushi habari za Simba Sc ikiwa kambini. Kwanza tunapongeza uongozi kwa kutoruhusu waandishi kambini. Huu ni utaratibu mzuri. Kambini timu inaweka mikakati,mbinu za kutoboa. Simba Sc ilikuwa inaendelea na zoezi la...
  15. demigod

    JamiiForums Tanzania Kweli kuwa Luis Miqquiesone kavunja mkataba?

    Kuna fununu za chini ya kapeti kuwa dogo kashawishiwa na wakala wake anaye msimamia kuwa avunje mkataba kwa maelewano ya pande kuu mbili ili kijana apate kujiunga kwenye upande atakao pata maslahi zaidi. Tetesi zanasema hizi pande kuu mbili zina surprise kubwa sana kwa mashabiki wao, kwamba...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Soma Hiyooo: Usajili Simba Sc kusimamisha bara la Afrika leo

    Leo Simba Sc inaenda kufanya utambulisho ambao bara la Afrika na mabara ya jirani yataenda kusimama. Bonus Mambo anayofanya Peter Banda huko kambini ni hatari mpaka wenzake wanabaki wanashangaa
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ezekiel Kamwaga ni mtalaam, apewe mkataba

    Msikilize Easy E -Ezekiel Kamwaga akiongea kwa staha, weledi na umakini mkubwa. Anaongea kama msomi na mtu mwenye exposure. Hakuna porojo, povu wala mapovu. Anaeleza issues na vipengele kwa kina katika mipaka yake ya usemaji. Hata kwenye page yake ya Insta mashabiki tunapata facts zilizonyoshwa...
  18. Kichwa Kichafu

    JamiiForums Tanzania Simba SC mnalijipa hukumu gani baada ya madudu mliofanya kwenye usajili wa Yusuph Mhilu

    Habari. Hizi habari naona Simba SC wanazichukulia poa sana kwa haya madudu waliyofanya juu ya mchezaji wa Kagera Sugar, Yusuph Mhilu. Wamemsajili na kumtambulisha kabisa kwa wanachama wao wote kupitia social media kama walivyofanya kwa wachezaji wao wengine. Japo Yusuph Mhilu bado ana mkataba...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Wekundu wa Msimbazi wamekuwa wapole mno mtaani

    Tokea tetesi za usajili zimeanza na hali ilivyoendelea hadi jana mtaani hawa jamaa zetu wamekuwa wapole kuliko kawaida hata zile jersey zao wamepunguza kuzitinga hii ni kwa utafiti mdogo ulofanyika. Mbaya zaidi ni baada ya juzi wachezaji wao wawili wawategemeao saaana kuthibitika kuondoka ndio...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Sc yasajili "Play Station" Pape Ousmane

    My Take Al Ahl na waarabu wengine tengeni bajeti kabisa, Simba Sc kama Academy ya Afrika tutawapa na huyu mwakani Bonus
Back
Top Bottom